kulipa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania Diplomasia ya uchumi chini ya Rais Samia inazidi kulipa. Rostam ruksa Kenya

    Baada ya kukwama mara ya kwanza hatimaye Mfanyabisahara maarufu nchini Tanzania, Rostam Aziz anatarajia kuanza rasmi utekelezaji wa mradi wake wa gesi nchini Kenya huku akisifia mazingira bora ya uwekezaji katika nchi hiyo. Rostam kupitia kampuni yake ya Taifa Gas ameruhusiwa kutekeleza mradi...
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Tiki ya bluu Instagram, Facebook kupatikana kwa kulipa

    Kampuni ya Meta ambayo inamiliki mitandao hiyo imebainisha kuwa watumiaji wenye Tiki ya Bluu watalazimika kulipa Dola 11.99 (£9.96) kwa mwezi au Dola 14.99 kwa watumiaji wa iPhone Huduma hiyo itaanza kupatikana wiki hii kwa wateja wao wa Australia na New Zealand ambapo Mtendaji Mkuu wa Meta...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kukosa bima ya chombo cha moto kwasababisha nyumba zipigwe mnada kulipa majeruhi

    Kuna jamaa kule maeneo ya Ununio nasikia ni mgambo pale Kunduchi Pwani, mwaka 2020 aliwagonga watu wawili na gari lake akawajeruhi vibaya, na gari haikuwa na bima. Juzi Mahakama imetoa amri, zimepigwa mnada nyumba zake tatu ili kuwapa wahanga fidia ya milion 105, nyumba tatu zishauzwa...
  4. The unpaid Seller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali: Kimaadili ya dini je mtu alietoa mahari nusu humalizia kulipa iliyosalia kwa taratibu zipi ?

    Peace, Wakuu ningependa kujuzwa kwa misingi ya dini zetu Uislamu na Ukristu, je mahali iliyolipwa nusu humaliziwa kulipwa kwa utaratibu upi kimaadili ya dini zetu ?! Kwa majibu yatakayotolewa ningependa kupata rejea za maandiko najua jambo hili limeelezwa vyema katika vitabu vya dini hasa Uislamu.
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania House girl ataka kutorosha mtoto ili kulipa kisasi kwa mwajiri wake

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limeanza uchunguzi wa tukio la mtoto ambaye jina lake limehifadhiwa (10) anayedaiwa kukamatwa na wasamaria wema katika stendi ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza katika harakati za kutoroka na mtoto wa mwajiri wake kwenda mkoani Mbeya. Taarifa ya mtoto huyo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna wabahiri kama Wakenya kwenye kulipa mishahara?

    Hawa watu wanapenda sana kitonga, yani wanataka ufanye kazi kubwaaaa kwa ujira mdogo. Sio hivyo tu pia wana tabia ya kufanyisha watu kazi masaa mengi bila kulipa overtime. Kama unafanya nao kazi hawa raia hakikisha michango yako ya HESLB na makato ya NSSF yanapelekwa sehemu husika kila mwezi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Genge la wahuni liliko nyuma ya feisal limchangie pia pesa za kwenda CAS na akishindwa na uko pia liwe tiyali kumlipia fidia atakayotakiwa kulipa

    Mjadala wa feisal kwa hapa nchini umefungwa rasmi na kamati ya sheria na hadhi za wachezaji baada ya kutoa uamuzi wake kuwa ni mchezaji halali wa yanga kwa mujibu wa mkataba wake aliosaini akiwa na akili timamu, na kesho jumatatu watatoa ufafanuzi wa kisheria uliopelekea feisal abakishwe yanga...
  8. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Umekopa pesa za watu umeshindwa kulipa eti unaenda kwa Mwamposa uombewe! Lipa pesa za watu

    Ndugu zangu hawa watumishi wa Mungu wana mizigo mizito mtu kakopa pesa za watu kazilia bata kashindwa kulipa kaona isiwe tabu, kwa kuwa ameona wengine wakishuhudia kuwa walikuwa na mizigo mikubwa ya madeni eti baada ya kuombewa madeni yote ya yaneisha. Ndugu zangu dawa ya deni ni kulipa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Komanya Kitwala ahukumiwa kulipa fidia ya Tsh. milioni 80

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tabora imemhukumu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Komanya Kitwala kumlipa fidia ya shilingi milioni 80 Alexander Ntonge mkazi wa kata ya Ipuli Tabora mjini, baada ya kupatikana na hatia katika mashitaka aliyofunguliwa ya kuwaamuru Askari Polisi...
  10. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruzuku ya Umeme kusitishwa Desemba 31, wananchi kulipa zaidi kuanzia Jan 1, 2023

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti Nishati na Petroli (EPRA) Daniel Kiptoo amesema #RuzukuyaSerikali ya 15% itasitishwa rasmi Desemba 31, 2022 na hivyo watumiaji watalazimika kulipia ongezeko hilo. Wanaotumia Uniti 50 kwa mwezi walikuwa wakilipa Tsh. 17,794, wanaotumia uniti 200 walilipa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania SMZ yaamriwa kulipa Tshs. 158bn likiwa deni la tani 39,900 za mchele

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yatakiwa kulipa deni la shilingi 158bn la mchele wa tani 39,900 za mchele ulioagizwa mwaka 1985. Shauri hilo lilofikishwa mbele ya Mahakama ya Rufani na kampuni ya Laemthong Rice Co. Ltd, inadai kuwa imekuwa vigumu kupatikana kwa malipo ingawa bidhaa hiyo ili...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TRA kukusanya Kodi kwa Machinga wote Kariakoo

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kuwasajili wafanyabiashara wadogo ‘wamachinga’ waliopo katika Soko Kuu la Biashara Kariakoo Akizungumza na wanahabari leo Jumatatu Desemba 12, 2022 Meneja wa Mkoa wa Kikodi, Alex Katundu amesema tayari machinga 5273 wameshasajiliwa ili kuingizwa kwenye...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Serikali Ya Rais Samia yapongezwa Na Wafanyabiashara, Waahidi kumuunga mkono kwa kulipa Kodi kwa uaminifu

    Ndugu zangu wafanyabiashara mbalimbali wameipongeza Serikali Ya Rais Samia kwa kuwasaidia kufanya Biashara kwa Amani na utulivu kwa kuzingatia Sheria kanuni na Taratibu,wafanya Biashara wamefurahishwa na namna wanavyopata ushirikiano kutoka kwa serikali yao,wanafurahishwa na namna Elimu hasa...
  14. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa tovuti za kiswahili wapi tutapata matangazo yenye kulipa zaidi? Hasa kwa wenye traffic ndogo

    .
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Harmonize atakiwa kuwalipa Tsh. Milioni 20 Killy na Cheed kwa kuvunja mkataba nao

    Oktoba 10, 2022, kupitia kurasa rasmi za mitandao ya kijamii za Konde Music Worldwide, Harmonize alitangaza kusitisha mikataba na waimbaji Killy (Ally Omar) na Cheed (Rashid Mganga). Harmonize hakutoa maelezo yoyote ya kusitishwa kwake ikiwa ni miaka miwili aimepitia tangu Harmonize atuhumiwa...
  16. MANKA MUSA

    JamiiForums Tanzania Serikali: Wahanga vyeti feki kulipwa mafao yao

    Watumishi wa Serikali katika Kada mbalimbali ambao waliondolewa kazini kutokana na tuhuma za kuwa na vyeti feki vya taaluma. Serikali imeagiza mchakato wa kuwalipa mafao yao uanze mara moja. Siku ya leo Mawaziri Wawili watafanya mkutano na waandishi wa habari kuhusu michango ya pensheni...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Mliokopa salio la kawaida kwenye Airtel mmekutana na hiki kitu kwenye kulipa?

    Salamu wadau. Kifupi sio kulipa labda niseme utaratibu wao mpya sio mzuri. Juzi kwa dharura nimekopa salio la kawaida nimpigie jamaa nikafanikiwa sasa kesho yake nimeenda kwa wakala niweke hela nashangaa ghafla napigwa na kitu kwamba salio lako ulilokopa limekatwa deni lako na hela iliyobaki...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagizwa kulipa Tsh. Bil 21.8 baada ya kupandisha bei elekezi ya Pamba

    Fedha hizo ni hasara iliyotokana na kushuka kwa bei ya kilo ya Pamba kwenye soko dunia mwaka 2019 kisha Serikali ikatangaza bei ibaki Tsh. 1,200 kutoka Tsh. 900 na kwamba Serikali itafidia hasara yote. Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), imesema Serikali iwajibike kulipa deni...
  19. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wa matajiri kulipa ada kubwa zaidi vyuo vikuu Kenya

    Kwa mujibu wa Bodi ya Ufadhili ya Vyuo Vikuu (UFB), lengo ni kupunguza Uhaba wa Fedha kwenye vyuo vya Umma, kuongeza ufadhili kwa wasiojiweza na kupunguza utegemezi kutoka Hazina. Bodi hiyo imesema itahakiki na kuwatambua wanafunzi wanaotoka familia za kitajiri, uhakiki huo utaathiri pia...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Yanga yapigwa faini ya Tsh. Milioni 345 kutoka FIFA, yatakiwa kumlipa Kocha Luc Eymael

    Naam, Njaakalihatari nakuletea habari mpasuko kwamba Young Africa ya Jangwani na Salamander imepigwa faini ya USD 148,000 kwa kumuachisha kazi Kocha Luc Eymael bila kufata taratibu. Faini hiyo inatakiwa ilipwe siku 45 kuanzia leo la sivyo watafungiwa kusajili kwa misimu 3! Yanga instructed...
Back
Top Bottom