Mediator Hamza
New Member
- Sep 19, 2023
- 3
- 2
Wanafunzi wa kidato cha sita waliomaliza Shule ya Sekondari Mbweni Teta iliyopo kata ya Mbweni wilaya ya Kinondoni mkoa wa Dar es Salaam wanapitia changamoto ya kunyimwa Result slip zao kwa kutakiwa kulipa Ada ya kidato cha tano ambayo Ilifutwa na serikali Ndipo wapewe slip hizo za matokeo zinazowawezesha kuripoti vyuo mbalimbali walivyochaguliwa.
Tunaomba Jamiiforums mtusaidie.
Tunaomba Jamiiforums mtusaidie.