kulipa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Marco Polo

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kulipa witholding tax kwenye mfumo wa TRA taxpayer portal

    Kuna majengo ya serikali nasimamia kama mtumishi wa umma sasa katika kuwalipa mafundi na suppliers Kuna Kodi inatakiwa kulipwa TRA, kwakuwa sina uzoefu na haya mambo nikasema niende ofisini kwao hawa TRA kupata ufafanuzi ila mtumishi wao niliyemkuta anifahamishe namna ya kufanya haya malipo...
  2. Jerry001

    JamiiForums Tanzania Google walipa wamevunja rekodi ya kulipa faini kubwa kwa kukusanya na kufuatilia taarifa za watu bila idhini. Hatupo salama

    Google Yalipa Dola Bilioni 1.375 kwa Jimbo la Texas kwa Kufuatilia na Kukusanya Taarifa za Biometria Bila Idhini Google imekubali kulipa jimbo la Texas nchini Marekani kiasi cha dola bilioni 1.375 ili kumaliza mashitaka mawili yaliyokuwa yanaituhumu kampuni hiyo kwa kufuatilia mahali walipo...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ibraah aomba msaada wa Bilioni 1 kwa Watanzania ili kulipa Harmonize na kujiondoa Konde Gang

    Kupitia Ukurasa wa Instagram msanii wa Bongofleva ambaye mwaka 2020 alitambulishwa rasmi kuwa Msanii wa Label ya Muziki ya Konde Gang, Ibraah ameandika ujumbe wa kuomba msaada kwa watanzania kiasi cha B 01 ili aachane na Kondegang "Sio mbaya kukubali kuwa mimi ni kijana niliyetokea kwenye...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuja na Mpango wa Kulipa Posho Wazee

    SERIKALI KUJA NA MPANGO WA KUWALIPA POSHO WAZEE Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amesema Serikali inaangalia uwezekano wa kuwanusuru wazee na lindi la umasikini kwa kuanza kuwalipa posho kila mwezi endapo hali ya uchumi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi Mitandaoni wameanza kuzungumza kulipa visasi-Hivi Samia anatupeka wapi?

    Nimekuwa nikisoma mitandao ya kijamii, maneno ya wananchi yameanza kuniogopesha na kwa kweli kama hili jambo halitafanyiwa kazi hii nchi inaenda kubaya, tena inaenda kubaya kwelikweli. Nchi hii matendo ya mauaji ya watu kama (Mzee Kibao), Kutekwa kwa watu kama vijana (Deusdedith Soka)...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

    Taarifa zilizopo ni kwamba tangu jana asubuhi wanajeshi walishalipwa mishahara yao ya mwezi April huku watumishi wengine mpaka leo bado. Binafsi nafikiri hili haijakaa vizuri na ni bora wasingelipa kuliko walivyofanya japo inaweza kuwa ni kwa nia njema kabisa Wanapaswa kutambua wanajeshi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Star Tv, Aloyce Nyanda aamriwa kumlipa fidia DED Tsh bilioni 2 kwa udhalilishaji wa mtandaoni

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imemhukumu Mwandishi wa habari kituo cha runinga cha Star Tv, Alocye Nyanda kulipa faini ya Sh 2 bilioni baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kufanya udhalilishaji wa kimtandao. Hukumu hiyo iliyosomwa leo Aprili 11, 2025 na Hakimu Mkazi Mwandamizi Mkoa wa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania ikichukua mkopo, asilimia fulani lazima iende Zanzibar kama serikali inayojitegemea; lakini katika kulipa deni la Taifa, Zanzibar haihusiki?

    Kuna kitu hapa nimeelezwa kama ujanja fulani unaofanyika ambao kama ni kweli basi Tanzania bara tuna kila sababu ya kupiga kelele. Nimeambiwa hii mikopo mingi tunayomshangilia mama, kimsingi ni kwa ajili ya kuwainua Zanzibar. Inasemwa kila mkopo unaochukuliwa na Tanzania, Zanzibar lazima...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania KERO: Mwananchi Chanika amawangukia Waziri wa Nishati baada ya TANESCO kushindwa.kumuunganishia umeme zaidi ya miez 6 ya kulipa gharama zote 1.9M.

    NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126 Niliipia kupitia control Number ya TANESCO, nguzo...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania KERO: Mwanachi Chanika amawangukia waziri wa nishati Baada ya TANESCO kushindwa kumuunganishia umeme licha ya kulipa gharama zote 1.9M zaidi ya miezi.

    Hi Great Thinkers. NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126 Niliipia kupitia control Number ya...
  11. kijana wa leo

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Barick imeshindwa kulipa Wakandarasi, wazabuni na mafundi walitekeleza miradi ya ujenzi wa Madarasa, Mabweni na Vyoo katika shule t nchini

    Mnamo mwezi wa nne mwaka 2024, Kampuni ya kuchimba madini ya Barick walitoa barua kupitia wizara ya TAMISEMI kuwataarifu juu ya kufadhili ujenzi wa madarasa, mabweni na vyoo katika shule mbalimbali nchini. Serikali kupitia kwa wakuu wa shule na wakurugenzi wa halmashauli zote zilizopokea barua...
  12. Gordon Technology

    JamiiForums Tanzania SMART DOOR LOCK (KIBOKO YA WAPANGAJI WASUMBUFU KULIPA KODI)-0746373222.

    KWA NYUMBA ZA KUPANGISHA/APARTMENT. 📍Hii ni aina mpya ya teknolojia inayotumika ktk ku-control VITASA vya milango vifanye Kazi ktk muda ambao Kodi ya nyumba imelipwa iwe miezi3,miezi6 au mwaka. 📍Tarehe ikifika ya Kodi kuisha basi VITASA vyote vitajifunga mpk pale mmiliki wa nyumba aruhusu...
  13. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Wakati yanga wana screen protector(Diarra) simba mkaleta tapeli na kulipa jina spider.

    I salute you kinsmen. Inabidi tu tukubali kuwa diarra ndio role model wa makipa wote nchini kwa sasa na baadaye. Kama ilivyo kwa mchezaji fundi kuwahi kutokea Tanzania laudack Chasambi kukubali max ni role model wake why huyo tapeli camara asikubali kuwa diarra ni role model wake? Ifike muda...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania JANETH MAHAWANGA; Anauliza; Ni Upi Mpango wa Serikali wa Kuhakikisha Jamii Inapata Uelewa Kuhusu Umuhimu wa Kulipa Kodi na Kudai Risiti?

    JANETH MAHAWANGA, Mbunge wa Viti Maalum; Anauliza; Ni Upi Mpango wa Serikali wa Kuhakikisha Jamii Inapata Uelewa Kuhusu Umuhimu wa Kulipa Kodi na Kudai Risiti? Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad chande amesema kuwa Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kujenga uelewa kuhusu umuhimu...
  15. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania KULIPA PARKING WAKATI WA KUTOKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI.

    Wakuu za jumapili, Sijafika muhimbili muda mrefu yapata miezi sita toka mara ya mwisho nimefika pale. Jana nilipata emergency na kumpeleka mgonjwa wangu hospitali ile, nikafatilia kila kitu, na ilipofika jioni Nikaamua kutoka na kurudi nyumbani wakati mgonjwa wangu akiwa anaendelea na matibabu...
  16. mganda og

    JamiiForums Tanzania Baada ya kulipa Mahari kwao Ndipo nimegundua ana Majini

    Wakuu kwema? Ipo hivi, nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani Kwa muda wa miaka mitatu. Mwanzoni mwa mwaka huu nikasema sasa ni muda muafaka wa Mimi kwenda nyumbani kwao nikatoe mahari ili nimiliki mke rasmi. Kweli tarehe za mwanzo wa mwezi January mwaka huu, nilipeleka ujumbe wangu kwao...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika ampongeza Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA

    Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amempongeza Freeman Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA
  18. G

    JamiiForums Tanzania Bilionea Mulokozi hulipa kodi ya bilioni 7 kwa mwaka. Je, wewe una mpango wa kulipa Kodi kiasi gani kusukuma maendeleo ya nchi yetu?

    Kulipa Kodi ni wajibu wa kila mwananchi. Tulipe Kodi kwa maendeleo ya nchi yetu. Mkurugenzi wa MAT superbrand hulipa Kodi na tozo mbalimbali za thamani ya bilioni hadi Saba kwa mwaka. Je, wewe kama mtanzania mzalendo unapanga kulipa Kodi kiasi gani kama tozo na Kodi mbalimbali ili maendeleo...
  19. ranchoboy

    JamiiForums Tanzania Nimeacha Kazi Bila Mkataba, Sasa Nadaiwa Kulipa au Kufanya Kazi Bila Malipo – Naomba Ushauri wa Kisheria

    Habari wanajukwaa, Nahitaji msaada wa kisheria kuhusu suala linalonihusu. Nilikuwa nafanya kazi sehemu fulani bila kuwa na mkataba wa maandishi. Hivi karibuni niliamua kuacha kazi, lakini meneja wa kampuni amenipa chaguo mbili: Kulipa pesa ya mshahara wa mwezi mmoja. Kufanya kazi kwa mwezi...
  20. milele amina

    JamiiForums Tanzania Shule zimefunguliwa Leo: Viti special Kwa waliomaliza kulipa ADA za shule

    Karibuni!
Back
Top Bottom