Hekima ni Mwalimu
Member
- Jan 30, 2015
- 78
- 169
Kwenye kizazi hiki tuna ishi na watu Siyo waaminifu kabisa ,
Watu wengi wamepoteza marafiki na ndugu wa karibu kwa ajili ya kukopa na kukopeshana
Una mkopesha MTU pesa hakulipi alafu wengine walivyo na dharau ana kuja kukukopa pesa tena .
MTu asiye na ufahamu atakopesha tena ,akitumainia kuwa atalipwa na mwishowe hata ambulia kitu.
Note .
Usimwamini mtu Hadi umkopeshe pesa kwanza
Maana mtu akiwa mwaminifu kwenye pesa anaweza kuwa mwaminifu kwenye mambo mengine pia.
Mimi kama Hekima Ni Mwalimu , katika uchunguzi wangu nika baini Sheria ambazo zinanilinda
ili nisidhurumiwe na ata kama nisidhurumiwa ni Kwa kiasi kidogo.
Elimu au Ushauri ni Jambo linalo tolewa Bure , lakini wenye busara peke yao ndiyo wanao faidika kwani hawadharau mashauri au elimu ya kufaa.
*NJIA ZA KULINDA KILICHOPO MFUKONI MWAKO *
1. Usikopeshe zaidi ya Nusu ya hazina zako ,
Hapa Nina maanisha Kwa mfano wewe mshahara wako ni laki 6 , akija mtu umkopeshe laki 3 kataa ,Kwa sababu uwezi uka hatarisha nusu ya utajiri wako .
Hata kama mtu una mwamini kiasi gani usimkopeshe ,
Kitendo Cha wewe kumkopesha mtu nusu ya hazina yako ni kwamba wewe ( hujipendi ) ana sema hekima aliye Mwalimu.
2 . Usimkopeshe mtu pesa kubwa ikiwa hujawahi kumkopesha peda ndogo akarudisha .
- yaani asiye kuwa mwaminifu Kwa mambo yaliyo madogo awezi akawa mwaminifu Kwa jambo lililo kubwa.
3. Kamwe Usimwamini maskini
- hapa utamkuta mtu anajua kabisa kuwa mtu hana kipato Cha uhakika , lakini ana mkopesha mwisho wa siku mtu ana dhurumiwa Kwa sababu alikuwa hana jicho la tatu au ufahamu mahili.
* Japo zipo nyingi point ninazoweza kuzitaja , lakini hizi zinakutosha, zita kusaidia kulinda hazina zako.
Hekima kama jina lake lilivyo siyo mchoyo wa maarifa maana ataka kufurahia jasho lake la kazi yake na siyo kutumiwa na watu wasiyo faa .
Mwandishi ( Hekima Ni Mwalimu)
Kwa Ushauri waweza kunitafuta Kwa
0757-148458.