Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 25,438
- 46,187
Mwanamuziki TID amekanusha vikali madai ya kushindwa kulipa bili ya takribani Sh500,000 katika bar ya Kitambaa Cheupe, Tabata.
Amedai sakata hilo lilopelekea kukamatwa na Polisi, ulikuwa mpango wa kumchafua.
TID ameeleza kama kweli alikuwa anadaiwa, basi wangekata deni lao katika fedha aliyokuwa akiwadai ya show ambayo walimpa.
Vilevile amesisitiza kuwa hakunywa vinywaji vingi kiasi hicho hadi kufikia Sh500,000, na atawachukulia hatua za kisheria kwa kumchafua.
Pia soma:Mwanamuziki TID akamatwa kwa kushindwa kulipa bili Bar