Morning,
Ambao tumeishi kwa ndugu nikiongea hivyo mnanielewa bora akunyanyase mama mwenye nyumba kuliko baba mwenye nyumba.
Nimeshaona kitu kama hiki kimewahi nitokeaga mpaka leo sitamani mwanangu aende kwa ndugu yoyote yule, sio kwenda likizo wala kumsalimia.
Nilikaaga kwa aunt yangu kulala...
Tena Julius Malema si tu anatakiwa apewe Tuzo ya Ushujaa, Ukweli na Uthubutu dhidi ya Imperialists kwa Kuwachana 'live' bali anatakiwa Ajengewe Mnara katika kila nchi Barani Afrika.
Afrika ingekuwa na akina Malema Kumi ( 10 ) tu nina uhakika si tu ingefika mbali Kimaendeleo bali pia...
Taarifa ya TFF ndio hiyo, yani hapo ndio wametowa ufafanuzi Sasa ufafanuzi wao unazalisha maswali zaidi kuliko awali.
1. Kuna makocha wamehitimu mafunzo na wana Leseni class A ya CAF, halafu kuna orodha ya makocha 21 akiwemi Juma Mgunda wamehitimu mafunzo lakini hawana Leseni.
Sasa swali la...
Nimejaribu kufanya uchunguzi na kugundua kwamba watanzania wana mapenzi sana na vyama vyao kuliko mapenzi kwa taifa lao.
Ukitaka kulielewa hili kirahisi ni pale utakapoweka hapa mjadala wote wote wenye maslahi mapana ya kitaifa, huo mjadala utatekwa na kuwa malumbano ya kivyama.
Hivi vyama...
Kwa bahati babu, bibi, baba na mama yangu wote walikuwa ni walimu, na mimi mwenyewe nikafuata nyayo kwa miaka 10 kabla sijakimbia nilichoona kipindi kile cha zamani.
1. Makazi/Nyumba za walimu zilikuwepo, walimu walikaa kwenye maeneo ya shule na hata kama hakukuwa na nyumba basi kijiji au...
Kumekuwa na mtazamo wa kimazoea hasa Katika nchi za Afrika, Kuwa mwanamke hawezi kusimamia jamii na nchi kwa ujumla, maranyingi mwanamke huonekana kama mtu ambaye uwezo wake wa kusimamia hutegemea muongozo wa mwanaume na Kuwa mwanamke mwenyewe hawezi kusimamia na kufanya maamuzi hata Katika...
Maoni yangu binafsi kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Hapa Nina orodha ya Watanzania wenzetu,wanasiasa ambao Kwa namna moja au nyingine huenda miongoni mwao watakuwepo wenye tamaa ya kutaka kuwania kiti cha urais uchaguzi mkuu utakapofika.
Hii ni sehemu yangu ya kujiwekea kumbukumbu Ili nisije...
Kwenye nchi za Ulaya na Marekani ni rahisi sana kuona Waafrika (Siyo wamarekani weusi) wasio na historia na nchi za Ulaya ama Marekani wanapata nafasi za kisiasa kwenye nchi hizo. Lakini mpaka Mzungu achaguliwe Afrika kuwa Kiongozi, huwa ni shida sana.
Je, sisi waafrika linapokuja suala la...
Pamoja na kwamba soka ni ajira, soka pia ni kielelezo cha taifa. Soka huitangaza nchi yoyote iwayo; kuiheshimisha na kuiaibisha. Kwa muda mrefu sasa, timu zetu za taifa za soka za wanaume zimekuwa hazifanyi vyema ukilinganisha na zile za wanawake.
Timu zetu za soka za wanawake zimekuwa...
ACHA kujiona BORA kuliko WENGINE
Je, huwa una tabia ya kujiona bora kuliko wengine? Basi ngoja nikuchane mwanangu... Mafanikio uliyonayo yasikupe kiburi ukaanza kujiona kuwa umemaliza na kuanza kudharau wengine.Ebu elewa kwamba....
Kama ni pesa, kuna watu wana pesa kuliko wewe.
Kama ni elimu...
Mashimba Ndaki Waziri wa kwanza wa mifugo Tanzania tangu Uhuru kuanzisha utambuzi wa mifugo kielektroniki apongezwe na kutiwa moyo zaidi
Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Tangu Tanzania ipate Uhuru wake Dec 1961, Nchi hii haijawahi wala kujaribu kutambua mifugo yake kama ilivyo kwa Mataifa...
Kwa jinsi Zanzibar ilivyo, nadhani Ina ukubwa sawa na Dar es salaam. Lakini naona Rais Mwinyi kama ana "struggle " kuiongoza.
Kuna mawili, anataka publicity au ameshindwa kufit katika jamii ya wazanzibari.
Rais Mwinyi anaitisha vikao na waandishi wa habari kuliko hata Rais yeyote wa afrika...
Awali ya yote, nipende kumshukuru Mungu mwenyezi atupae uhai na uzima bure, pamoja na afya kwa wana jamii forum wote. Afya njema iko juu ya mali na utajiri. Afya bora ni zaidi ya umaridadi au umashuhuri, na tena afya ni zaidi ya kutokuwa na ugonjwa. Zipo tafsiri mbalimbali juu ya afya ikiwemo...
UTANGULIZI
Mfumo wa elimu ya Tanzania ni mfumo unaomuweza mwanafunzi kuelewa mambo mengi sana lakin asijue namna ya kuyafanyia kazi.
ELIMU YA NADHARIA. Elimu ya nadharia ni elimu ambayo hutolewa kwa njia ya maandishi vitabu na maelekezo ya mdomo kutoka kwa mtoaji wa elimu husika(mwalimu),mfumo...
Moja ya mambo muhimu sana kwenye nchi wakati wa sensa ni serikali kujua wananchi wake wanakula milo mingapi kwa siku, nilitumai nitaulizwa lakini nikaulizwa kama nina tatizo la kiafya!
Ni vipi unamuuliza hali ya afya yake mtu ambaye hata kupata mlo mmoja kwa siku hana uhakika!
Bahati mbaya...
Licha ya mapungufu machache, mfano karani na mwenyekiti wanazunguka bila hata reflector na kofia utadhani ni bibi na bwana wanatafuta shamba hapa Kijijini lakini hii Ni sensa super Sana.
1: Maswali yanayoulizwa yakifanikiwa Serikali itakuwa na taarifa nyeti Sana za raia wake kila Kona. Kila...
Heshima na burdani kwa wanasingida inayoletwa na team ya singida big stars ni kubwa mno
Team imesajili wachezaji ghali inawalipa mishahara mikubwa sana hapo pia kuna wa brazil watatu wanaajua mpira saanaa
Pongezi kwa mzalendo wa tozo ubunifu wako umefanikiwa team yako ya kitajiri tozo...
nina kaka yangu alienizidi miaka 8, kiukweli hatujazoeana sana nadhani hii imesababishwa sana kwa yeye kunionea utotoni maana nimekula sana vipigo vyake, hii hali ilinifanya nimchukie na ikapelekea mpaka mawasiliano yetu kuharibika hadi sasa maisha ya ukubwani... nipo karibu na dada yangu.
Yani...
Vituo vya msaada wa kisheria vilianzishwa ili kumsaidia asiye na uwezo wa kuajili gharama za wakili wa kujitegemea!
Wizara na serikali kwa ujumla!
Tazameni upya vituo vya misaada ya kisheria!
Wanasheria waliopo kwenye vituo hivyo Wanafanya kazi kwa visirani kama wamelazimishwa!
Wako too...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.