Choo kurudisha harufu ndani. Je, vyoo vya kukaa ni bora kuliko vya kuchuchumaa?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,239
12,756
Choo kurudisha harufu ndani. Je vyoo vya kukaa ni bora kuliko vya kuchuchumaa?

Eti wakuu, kuna vyoo vya kukaa vina ahueni kwenye hili suala?
 
Punguza kula vyakula mchanganyiko mchanganyiko. Utanishukuru baadae. Ila harufu normally inazuiwa na maji yanayobaki chooni. Unless kama hiyo p-shape haiko vizuri, ila harufu ya kwenye bomba haipaswi kuja ndani ila unaposhusha mabomu makali hilo halikwepeki
 
Cheki system ya kutolea hewa kutoka kwenye shimo la maji taka huenda imeziba so hewa inashindwa sehemu ya kutokea inarudi ndani.
 
Punguza kula vyakula mchanganyiko mchanganyiko. Utanishukuru baadae. Ila harufu normally inazuiwa na maji yanayobaki chooni. Unless kama hiyo p-shape haiko vizuri, ila harufu ya kwenye bomba haipaswi kuja ndani ila unaposhusha mabomu makali hilo halikwepeki
😅😅😅daa nimecheka sana
 
1.Hapao itakuwa hakuna trap chini ya bidet.
2.Hakuna bomba la kutolea hewa chafu.
3.Bomba la kutolea hewa chafu limewekwa vibaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom