GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,542
- 108,852
Majibu yenu ni muhimu Kwangu kwani kuna Mtu nasikia analalamika Maagizo yake hayafanyiwi Kazi haraka kama ya Waziri mwenye Wizara ambayo hapo kabla Yeye ndiyo ilikuwa Wizara yake na aliimudu vilivyo kwa Kutubania Fedha Watanzania hadi ikawa Ngumu kuipata ila Yeye na aliyemteua ( sasa kalala mazima ) wakawa Wanazitumbua tu watakavyo na Mjomba Mtu Mmoja wa zinakotunzwa.