Comediams wa Kenya wanafanya poa kuliko wa Tanzania

Zero Conscious

JF-Expert Member
Apr 23, 2022
254
508
Habari za wakati huu wadau, naimani mko fresh na mnaendelea vyema kukimbiza gurudumu la utafutaji.

In fact comedians wa Kenya wako vizuri sana kwenye tasnia hiyo, yaani si watu ambao wanaforce lakini automatically tu unajikuna unawafurahia, hasa content zao, the way they play a particular role and how they pronounce Swahili words.

Tanzania ni nchi yangu lakini in fact kwenye upande wa comedy hawajawahi kabisa kucapture attention yangu kufuatilia maana kama wanavyosemwa ni waropokaji tu. Though I respect what they are doing.

Kwa mfano kuna jamaa anaitwa NJUGUSH, the guy is so gifted na ndio the best kwangu. Nenda mtafute YouTube uone, utakuja kunishukuru.

NB: They Are so many but I have chosen to start with him. You'll never regret to spend your Megabytes
 
Attachments

  • images (26).jpeg
    images (26).jpeg
    17.6 KB · Views: 38

Haya...!

Unalo Lingine Pro Kenyans..?
 
♦️Mzee Ojwang✅

♦️Olexanda josephat

♦️ Nyukakota

♦️Makhoha

♦️ Masakuu

♦️Mwala

♦️Mama kayayii

Hawa wote wa sasa kuanzia omondi na wote wa chunchil hakuna kitu
 
Hivi yule jamaa anaesemaga Akili MTU wangu anaitwa nani yule. Hatumii nguvu kabisa
 
♦️Mzee Ojwang✅

♦️Olexanda josephat

♦️ Nyukakota

♦️Makhoha

♦️ Masakuu

♦️Mwala

♦️Mama kayayii

Hawa wote wa sasa kuanzia omondi na wote wa chunchil hakuna kitu
Alexander Josephat kama ndo yule masai namkubali sana kwenye vituko mahakamani
 
Kenya stand up comedy wapo vizuri sana.
1. MCA Tricky
2.Professor Hamo
3.Dj Shiti
4. Yule wa news ni news ( R.I.P)
5. Yule wa "Akili mtu wangu"
Number 4. Emmanuel Makori, sikuwa najua kama ameshavuta kitambo. Hiyo list yako, ni dj shit tu simuelewi. Wengine wote umewapanga accordingly
 
nawafuatilia mkuu hasa Churchill show ina comedians wazuri,ndo walikotokea kina Eric Omondi.
Sema Eric na yule mdogo wake walilewa sifa wakawa na comedy za kuigana halafu kama marudio hv. Inshort walikosa ubunifu kwemye stage ndio Erick akahamia kwenye music
 
Back
Top Bottom