Vita ya Syria na Ukraine imeonyesha kuwa Silaha za magharibi (NATO) zimeonyesha uwezo mdogo sana dhidi ya zile za nchi za Magharibi. Nchi nyingi sasa zinawaza kwenda kununua silaha na mifumo ya ulinzi ya Urusi zenye ufanisi mkubwa kwenye uwanja wa vita kuliko zile za NATO.
NATO sasa inawaza...
GSM ilikuwa kampuni ambayo watu wengi atuijui zaidi ya mo. Na Azam lakini kwa sasa GSM imeshika kasi kubwa kwenye kujitangaza wangekuwa sasa na washauri wazuri ndio kipindi Chao sasa kuingia kwenye ushindani wa biashara za vyakula mfano ngano na biashara zingine naamini wala awahitaji nguvu...
Tokea utangaze kurejea rasmi CCM ni kama vile umerukwa ghafla na Akili kwani 'unabwabwaja' mno mpaka 'Unaboa' na wengine tunajiuliza hivi huyu huyu ni Membe yule yule aliyekuwa Waziri wa 'Foreign Docket' au?
Na nyie Watoto wa Mzee Membe hebu mshaurini basi Mshua wenu atulie tu ale Pensheni zake...
Wiki iliyopita, niliamua kutoka nje ya mji kidogo kwenda kujipumzisha.
Nilipofika huko, nikawa natafuta nyumba ya wageni iliyojificha, ili nipate utulivu wa kutafakari, maisha ya hapa duniani.
Kuulizia nafasi, zimejaa; nikaenda nyingine tena kama tatu, zimejaa; daah, nikatamani nirudi mjini...
OFISI YA WASEMAJI WA KISEKTA
HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MALIASILI NA UTALII- ACT WAZALENDO NDG. JULIANA DONALD KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI NA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KWA MWAKA 2022/23.
Utangulizi
Kufuatiwa na taarifa ya utekelezaji wa mujukumu na...
Pombe inafaida sana kwenye afya ya mtu. Lakini kama kitu kingine chochote, ukizidisha ina madhara sana. Sayansi iligundua zamani kwamba wanaokunywa pombe kiasi wana afya kuliko wasiokunywa.
Nimeona juhudi za Kutangaza nchi (Ni Vema na Haki) ila kuna hili Tangazo la Kutangaza Utalii la Royal Tour nimeona kama sasa linatangazwa na kupewa juhudi yaani ya kuangalia Filamu zaidi hata ya kuhamasisha watu wafanye / waangalie kile ambacho kinatangazwa kwenye hilo Tangazo.
Sio vibaya...
Kilimo vs ufugaji, hapa nimejifunza jambo, kilimo ni chepesi ila mafanikio yapo mbali, ufugaji ni mgumu sana ila umejaa fedha, kilimo na ufugaji kwa mikoa ya kusini ukivifanya pamoja lazima upate hela, huu ni udhoefu nilioupata field.
Utafiti mpya uliotolewa jana umeonyesha kuwa, mchakato wa mabadiliko ya hali ya hewa duniani una kasi zaidi kuliko ulivyotarajiwa na hatua za haraka zinahitajika ili kupunguza uharibifu.
Kwenye utafiti huo uliotolewa na jarida la Nature Claimate Change, watafiti kutoka taasisi ya sayansi ya...
Wakuu,
Waziri wa fedha alitangaza tozo zilizopitishwa na Bunge letu,na kujinasibu kuwa tumekusanya fedha nyingi Sana za tozo.
Kwa kuwa lengo la tozo hizi zilikuwa kujenga madarasa na vituo vya afya nchini lakini tulikopa tena kwa ajili ya ujenzi huo.
Kwanini tozo zile tusitumie kushusha bei...
Habari za wakati huu wadau, naimani mko fresh na mnaendelea vyema kukimbiza gurudumu la utafutaji.
In fact comedians wa Kenya wako vizuri sana kwenye tasnia hiyo, yaani si watu ambao wanaforce lakini automatically tu unajikuna unawafurahia, hasa content zao, the way they play a particular role...
Rais Samia Suluhu ametaja changamoto tatu ambazo amekutana nazo tangu awe Rais wa Tanzania lakini ameonyesha nguvu ya Mwanamke kwa kuongoza Nchi vizuri na katika hali fulani amezidi hata kile kilichofanywa na Wanaume ndani ya mwaka mmoja.
Akizungumza wakati akishiriki Mdahalo wa Wakuu wa Nchi...
Msimamo wa Tax regime ya nchi yetu ina matatizo Ya kimtazamo.
Tax-kodi inakuwa set for maximum extraction, yaani kodi zetu zinajaribu kufyonza fadha kubwa iwezekanavyo toka kwa mfanyibiashara au any business deal kiasi ambacho bei ya bidhaa zetu zinapanda bei hadi kukosa ushindani.
Hili ni...
Ni kwamba,
1. Hii filamu tunaambiwa imegharamu Tshs 7 bn. Mpaka Leo hatujaambiwa ni kina nani wamechangia gharama hizi.
2. Tunaambiwa Peter at el ndiyo wenye hati miliki yaani copyright. Hivyo filamu ni yao na watalipwa wao. Sasa kwa Tanzania ina tafsiri IPI?
3. Huyu Peter ameshafanya Royal...
Mayele ana miss " Njaa" . N jaa ya kutaka kufun ga magoli mengi ndani ya mechi moja. Mayele akifunga goli moja kwenye mechi huwa anaridhika kabisa na huwa haonekani kama ana nia au lengo la kuongeza goli la pili kitu ambacho kinampunguzia credit ya kuwa...
Chadema wamesimama imara na misimamao Yao imewafanya waitwe ikulu Kwa heshima na siyo kwenda tu: lakini pamoja na nguvu waliyonayo kwanini wanavifanya vyama vingine kama siyo wapinzani? Akina Lipumba na Zito hata Mbatia wamepotelea Wapi kwenye ramani ya siasa?
Lakini pia kuitwa kwao ikulu...
Imajini watu tunagongea hadi vocha za simu halafu kuna bwege mmoja anafanya kazi na kujiita mwanasheria halafu anatuma msg anataka mchango wa birthday yake mwezi ujao.
Huyu jamaa ni hasara taslimu. Yaani kuzaliwa kwake yeye iwe kero kwa wengine? Na mimi toka azaliwe sijaona faida yake kwangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.