kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watu 420,000 hufariki kila mwaka kwa kula chakula kisicho salama

    SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limesema watu wa wanaokadiriwa milioni 600 huugua kutokana na kula chakula kisichosalama na kati yao takribani watu 420,000 hupoteza maisha kila mwaka Takwimu zinaonyesh kuwa wahanga wengi wa chakula kisichosalama ni watoto walio chini ya umri wa miaka mitano...
  2. Saint_Mwakyoma

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya kula maisha Tanzania

    Maisha ya binadamu huwa hayana maana kama kumbukumbu za furaha zitazidiwa na kumbukumbu za huzuni, ili kupata furaha kuna njia nyingi sana mojawapo ni kutoka nje ya eneo ulilolizoea. Karibuni wakuu kushare locations kali mnazopenda kwenda kupunguza misongo ya mawazo au kupata happy moments na...
  3. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Today is the big day, Lamu port inazinduliwa. Wadau kaeni mkao wa kula

    Hayawi hayawi huwa. Leo ndio siku ya kuzinduwa mradi wetu tukufu wa Lamu port. Wivu batallion mpo wapi? Kujeni mumwage povu tutapanguza.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa kitaifa hupenda kula Sikukuu DSM badala ya Dodoma yalipo makazi yao?

    Nauliza tu maana Dodoma wamebakia akina mzee Mgaya na mzee Ndugai wengine wote wametimkia Dar es salaam kula sikukuu ya Eid El Fitr. Ni kwamba Dodoma ni padogo au bado ni mashambani hakufai kusherehekea sikukuu zenye amsha amsha?!! Eid Mubarak!
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Unapenda mboga gani ya majani?

    Mboga za majani ni muhimu sana kwa afya. Tunashauriwa kula mboga za majani kila siku. Binafsi napenda kula mboga za majani na mboga zangu pendwa ni tembele, chainizi, majani ya maboga na kisamvu. Tupe zako na ukiweza na jinsi ya kuziandaa.
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

    Leo Novemba 25, 2020 katibu mkuu wa CHADEMA amezungumza na vyombo vya habari makao makuu ya chama hicho eneo la Ufipa, Kinondoni mada kuu ikiwa uteuzi wa wabunge wa viti maalum ambapo uapisho wao ulifanyika jana bungeni jijini Dodoma jana. Yafuatayo ni maelezo kwenye mkutano huo kuanzia mwanzo...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Faida 10 za kula Matango

    Ulaji wa matango na matikiti maji husaidia kuboresha kiwango cha maji ambayo huitajika mwilini, hii ni kutokana na matango kuwa na kiwango kikubwa cha maji ambayo husaidia kuondoa taka mwili pamoja na sumu mbalimbali ambazo miili yetu huzipata kupitia vyakula, madawa na hata vinywaji...
  8. He Is Him

    JamiiForums Tanzania Je, Kula kucha ni tatizo?

    Wasalamu, Mtu anayependa kung'ata kucha na kuzila kuna madhara yeyote kwa huyo mtu. Na je kipi afanye ili aache hiyo tabia.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Suala la mafuta ya kula lisipotezewe

    Kuna wengine wakienda supermarkets pesa iko na kubaki inabaki wanawapa tipu wahudumu kwahiyo hata mafuta yauzwe 10,000 Lita moja wala haiwasumbui pesa iko sio tatizo ni hivi to whom it may concern. Sijui ni Waziri wa kilimo au viwanda mafuta yako juu mno Au mko group ya pesa sio tatizo kwahiyo...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kama uliwahi kula mishkaki ya mia mia, Morogoro basi uliwahi kula mbwa, jamaa wamekamatwa huko

    Mbwa ni mnyama ambaye amekuwa akitumiwa na binadamu kwa muda mrefu kwa ajili ya ulinzi katika maeneo mbalimbali, ikiwamo majumbani. Ni mnyama ambaye amekuwa akitumia nyama kama chakula chake kikuu. Pamoja na kuwa na sifa hizo, miaka ya zamani mnyama huyo alikuwa akitumiwa kama kitoweo na kabila...
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi hapa Hatari za Kula Tunda kimasihara

    Nimekua JF kitambo lakini jukwaa langu pendwa ni kule Siasa, ila masiku ya karibuni nikaanza kuingia humu na kwakweli nimejikuta nnapapenda kutokana na story za kuvunja mbavu zilizopo. Kuna huu uzi wa kula tunda kimasihara na hakika story za humo zinahadithiwa kiushujaa lakini ukiangalia...
  12. The MaskmaN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume: Ilikuwaje mara yako ya kwanza 'kula tunda'

    Hello Guys Leo ningependa tushee visa, hisia, vituko n.k Ilikuwaje kwa mara yako ya kwanza kupata utamu/kuingiliana na mwanamke/ku do /kula tunda /kuonja papuchi? Mie nakumbuka ilinichukua takribani Nusu Saa kusimama kwa Hofu niliyopata mpaka mdada wa watu akaanza kuingiwa na Wasi wasi lakini...
  13. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Watu nane wakamatwa na Polisi kwa kosa la kula mchana mwezi wa Ramadhani

    Watu wanane wamekamatwa na polisi wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini mwa Nigeria Kano kwa madai ya kukataa kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Polisi wa Hisbah wanasimamia sheria za Kiislam huko Kano – moja ya majimbo 12 ya Waislamu kaskazini mwa Nigeria wanaotumia mfumo wa sheria wa...
  14. Kelela

    JamiiForums Tanzania Matunda gani unaweza kula na wali/ubwabwa?

    Tukiacha parachichi na ndizi ambayo ni maarufu, je ni matunda gani mengine tunaweza kula sambamba na ubwabwa?
Back
Top Bottom