Maumivu ya upande wa kushoto wakati wa kula

mkuuwangome

New Member
Oct 7, 2015
4
2
Habari
Siku mbili hizi nimejihisi ninapata maumivu chini ya kabla ya kumalizika kwa mbavu upande wa kushoto wakati wa kula tuu maumivu sio makali kawaida tuu.
Kabla ya kwenda kufanya vipimo naomba kujua kama kuna mtu anafahamu tazizo hili.

Asanteni sana
 
Pole sana mkuu, nenda kawaone maDr haraka iwezekanavyo.

Naogopa kusema kitu/kubashiri huenda nikakuumiza mkuu.

Shukrani sana Mkuu nimeona ushauri wa Godoro na nimtu wa pili ananiambia wacha nibadilishe Godoro ikiendelea niende kupima sasa
 
Shukrani sana Mkuu nimeona ushauri wa Godoro na nimtu wa pili ananiambia wacha nibadilishe Godoro ikiendelea niende kupima sasa
Kwani godoro unalotumia liko vipi?? Gumu sana, linabonyea mpaka unagusa chaga au limeisha??

Na kwanini iwe wakati wa kula tu? (swali la kujiuliza)

Haya jaribu kubadilisha godoro tuone hali itakuwaje ila ikiendelea kawaone madaktari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom