kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Bunge huteuliwa na Rais na kula kiapo cha utii kwa Rais, sio Spika. Hatakubali ratiba ya kumhujumu Rais iingie Bungeni

    Katibu wa Bunge huteuliwa na Rais, na ndiye humwapisha, hatakubali ratiba iingie Bungeni ya kumhujumu SSH, atatoa taarifa mapema ili mapambano yaanze. Askari wa Bunge wanatoka kwenye majeshi ambayo Amiri wake ni SSH, wanamtii, hii ni pamoja na maafisa usalama wa pale Bungeni, Wana utii moja kwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Chaguo la Magufuli (Naibu Spika) mkao wa kula

    Baada ya beef za Ndugai kwa Rais Samia naibu spika amekuwa mkimwa sana akisubiri spika ajichimbie shimo mwenyewe. Sasa huu mwanja ni mzuri kwake. Ndugai hata Magufuli alikuwa hampendi
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye akili timamu hawezi kula kumbikumbi

    Haiwezekani mtu na akili zako timamu ukala kumbi kumbi
  4. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wa shangazi ana kiburi kwenye kufata sheria zangu nyumbani kwangu, nitatue vipi?

    Nyumbani kwangu ikifika wakati wa chakula cha usiku (dinner) ni lazima tule pamoja kwenye chumba kimoja, Sasa kuna mtoto wa shangazi ni kama miaka 20 hivi hapendi kufata sheria ya mda wa dinner. Sheria ya muda wa mlo wa usiku ni kwamba simu hazitakiwi kutumika, simu inabidi ziachww vyumbani...
  5. vnn

    JamiiForums Tanzania Kama kuna zuio la kuingiza mafuta ya kula kutoka nje, Tunaomba liondolewe wananchi tutakufa jamani

    Nadhani kuna zuio la kuingiza mafuta kutoka nje ya nchi jamani zuio hili kama lipo liondolewe maana hali saivi ni hatari sio siri jana nimeuziwa mafuta ya kula lita moja 7500/= nimeshangaa sana, hivi mbona mambo yanakua magumu kiasi hiki, sasaivi tumerudi enzi za kupika chakula bila mafuta...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa hivi ni wa kula tu, usioe

    Hapa hakuna chuki, tunatoa maelekezo kwa vijana wanaotafuta wake. Wanawake wa namna hii ishia kula tu, usidhubutu kuoa. 1. Wanaovaa vikuku. Kama unabisha mpeleke kwa mama yako akiwa na kikuku. 2. Waliotoboa pua. 3. Wanaovaa suruali za kubana na vimini. Kama unabisha mpeleke kwa baba yako...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Entebe kuchukuliwa na China kwa ajili ya Mkopo, Mashabiki wa Bagamoyo kaeni mkao wa kula

    Jisomeeni wenyewe === Faced with the need to expand the transport sector in tandem with regional infrastructural development, Uganda launched an aggressive and ambitious 20-year civil aviation masterplan which included the upgrade of its only international airport in Entebbe along the shores...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hivi wakazi wa Dar huwa hamuoni kinyaa kula mboga za majani zilizomwagiliwa maji machafu?

    Mnakula sana bamia na mboga za majani maana ndio chakula kikuu. Sio kama mikoani kuna vitoeo kibao. Lakini mboga za majani mnazokula zinalimwa mabondeni na humwagiliwa maji machafu ya kinyesi. Mimi nikiwa zangu Igunga ni kula kuku,nyama ya ng'ombe na mbuzi. Mboga za majani zinakuwepo kama...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kuanza kula nyama ya kenge

    Nyama ya mamba inaliwa na inauzwa ghali Sana kg 1 ni 30,000/= pale kibaha kwa mzungu Sasa mamba na kenge ni ndugu je Kuna tatizo naomba ushauri. Naishi pembeni ya mto Kuna kenge wengi Sana.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Viongozi wa dini wazuie Quran na Biblia kutumika mahakamani kwa mashahidi kula viapo

    Wakuu, nimekuwa nikifuatilia mashahidi wengi mahakamani Wanakula kihapo kwa hivi vitabu, na kudai watasema ukweli mtupu. Na kumalizia Mungu awasaidie. Lakin mwishowe kwenye ushahidi wanasema uongo live live. Kitendo hicho mm naona nikuvinajisi vitabu vitakatifu. Kwa mfano tu mzuri, hivi...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Demokrasia kuwa kula kwa kura ni kuchelewesha maendeleo

    NA FADHILI MPUNJI Katika kipindi cha miongo mitatu hadi minne demokrasia ya China imekuwa inafuatiliwa kwa kina na wachambuzi wa maswala ya kisiasa. Ufuatiliaji huo umetokana na miujiza ya kiuchumi iliyofanywa na China, na wachambuzi wanajaribu kujua ni kipi China imekifanya na kufikia hapa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mnaofikiri kumnanga Hayati Magufuli ndio kula yenu basi subirini muone yatakayotokea

    Hayati Magufuli Mungu amlaze mahali pema peponi. Amekufa na siri nzito za Taifa hili na ameacha cheche za mapinduzi ndani ya watanzania na cheche hizi hazito waacha watu salama wanao dhani kifo cha Hayati Magufuli ni fursa kwao. Hili ni kama ndoto Magufuli atafufuka na atakapo fufuka kila mtu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wakulima jifunzeni kula mazao mnayolima

    Kuna msemo kuwa. Unakula usichozalaisha, na unazalisha usichokula! Juzi nimeshangazwa na majibu ya Mkulima mmoja wa Dengu aloponiambia kuwa hajui dengu zinliwaje!? Hiini baada ya mimi kumuuliza bei ya dengu kwa kuwa nilijuwa nahitaji Kama Kg 20 kwa matumizi ya nyumbani. Tafadhalini wakulima...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Swali: Hivi ni nani aliyetufundisha Waafrika kula rushwa na kufanya ufisadi?

    Habari! Karibu nchi zote za Afrika rushwa na ufisadi viko katika kilele. Hata hapa ninapoandika wasomaji wengi mmewahi kutoa au kupokea rushwa. Haijalishi ulitoa elfu 5 ya brush kwa afande Juma ulipozidisha mwendokasi au ulitoa elfu 10 kwa mhudumu wa mahakama akugongee muhuri documents zako kwa...
  15. Lily Tony

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kukosa hamu ya kula

    Habari za majukumu wakuu,poleni na majukumu ya kila siku. Wakuu nina changamoto ya kukosa hamu ya kula ,ingawa nina hisi njaa lakini ninakula chakula kidogo sana, nashiba. Hili limekua tatizo la miaka na miaka lakini kadri siku zinavyoenda hali inazidi tete kiasi nakosa amani,Nitumie nini ili...
  16. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Wazo Fyatu: Serikali Ikubali kula Hasara

    Tuseme ukweli tu... Hadi pale Serikali itakuwa na mfumo na vyombo vizuri vinanyoweza kuchunguza, kupeleleza a kuleta mashtaka yenye kuweza kusimama Mahakamani ni bora kuachana na kesi zisizoweza kushinda. #kesi ya Mbowe ifutwe, #Serikali ile hasara. Watu watacheka lakini wataheshimu..
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Hanang Mhandisi Hayuma asisitiza wanafunzi kula Shuleni.

    Na John Walter-Hanang Mbunge wa Jimbo la Hanang mkoani Manyara Mhandisi Samwel Hayuma amewataka wazazi na walezi kutimiza wajibu wao wa kuhakikisha wanafunzi wanakula chakula cha mchana shuleni . Hayuma ametoa Kauli hiyo wakati wa mahafali ya 22 katika shule ya msingi Bassotughang iliyopo Kata...
  18. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya ulinzi: mshahara laki 1. Pesa ya kula elfu 30. Mbezi Dar

    Wahi chap nikuunganishe upate hii kazi. night shift kwenye lodge Taarifa muhimu nimeweka juu ukiona mshahara sio size yako acha povu. Mlinzi mlinzi mlinzi
  19. Superbug

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga

    Kwakweli nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga Yani unamtongoza Sasa hivi baada ya dk moja anaaanza kuomba hela ya kula au Kama Ana mtoto (singo maza) itaanza kusikia kesho nampeleka mtoto hospital Yani wanawake mnamaujinga mengi Sana mpaka mnatia kinyaaa. Acheni kuwa ombaomba uzeni hata ndizi...
  20. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kazi hizi hufanya Wanaume wengi kula tunda kimasihara

    Wachungaji / ma ustadh / waganga feki - wanawake wengi sana wanasukumwa na Imani na ndio maana idadi yao ni kubwa kanisani, kwa waganga na wanaoenda kwa maustadh kwa tiba, matatizo Yao huwa kwenye uzazi, ndoa, malimbwata, kuombewa miujiza, kuroga, kuondoa nuksi, n.k hapa sasa kuna watu tajwa...
Back
Top Bottom