kukutana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. greater than

    JamiiForums Tanzania Ikitokea ukapewa fursa ya kukutana na wewe mwenyewe wa miaka 10 nyuma. Je, utajishauri nini?

    Habari za Jumatatu wanajamii.Pia hongereni kwa pirika za kutafuta pesa za mahitaji yako. Ninajua mpaka kufika katika umri ulionao kuna makosa kadhaa ushafanya na pengine ukawa unajutia. Hapa nina swali fikirishi Eti, kama ikatokea ukapewa fursa ya kurudi miaka 10 au 15 nyuma na kukutana na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje mara ya kwanza ulipokutana na mtu mliyechati mtandaoni kwa nia ya kuwa wapenzi?

    "Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi nikaachwa nimesimama. Kibaya zaidi hata kwenye gari hakushuka. Sikuweza kujua yule kijana alikuwa nani...
  3. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jina gani la bar umewahi kukutana nalo?

    Kuna majina mengi ya bar ya ajabu mengine yana maneo makali sana Nitaanza na mfano 1. Kidimbwi 2. Toroka uje Weka jina unalofahamu
  4. masai dada

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukutana na mtu anachekesha sana bila kutumia nguvu?

    E bana jana kwenye bajaji nimekutana na jamaa mmoja anakipaji cha kuchekesha, angepata exposure sipati picha kwenye stage angekalisha sana. Tulikua abiria watatu na dereva, pikipiki ikapita kwa speed sana ndio akaanza kuelezea mkasa wake wa ajali wakiwa wamepakizwa kwenye fekon huko mkoani...
  5. Ritchy Breezy

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kukutana na hii hali?

    Habari za muda huu,ndugu zangu simba fans tujipe pole najua Wengi haijawaumiza kihivyo sabu kushinda mbele ya yanga hii ilivyo sasa lilikua jambo la kubahatisha..all in all timu imecheza vizuri,makosa ya mchezo wa mpira ndo yameamua mechi. Twende Kwenye mada: Kwenye Maisha yako ushawahi...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Makonda aahidi kukutana na "Wadudu"

    Naona Makonda amechukua mwelekeo ambao utarahisisha kazi yake, mwelekeo wa kwenda pamoja na wadudu (masela,) wa Arusha. Masela (aka wadudu) wa Arusha ni wababe hakuna mfano. Ndiyo maana RC kaamua kukaa nao na kufuata wanachotaka. Mkoa gani masela wamewahi kukaa na RC? Wadudu hoyeeee! Sasa...
  7. w0rM

    JamiiForums Tanzania Wenzetu mnaosafiri nje ya Tanzania mmewahi kukutana na tangazo letu kama hili huko?

    Habari WanaJF, Leo nimepita pale maeneo ya St. Peters karibu na Mbuyuni Jijini Dar es Salaam nimekutana na bango hili kubwa sana likiwa na maandishi mamubwa “Visit South Africa” inaweza kuwa sio jambo baya ila najiuliza na sisi kwenye nchi za Wenzetu tunafanya kujitangaza hivi? Nawaza...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kero gani umewahi kukutana nayo kutoka kwa abiria mwenzio wakati unasafiri?

    Ebana Kuna Jamaa hakupiga mswaki alafu story aziishi na maswali yasiyo eleweka. Vipi wewe Mkuu?
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi sana kukutana na 'Makomandoo' wa Chuoni Kiharaka Mapinga Bagamoyo wakiwa Wanafanya mazoezi yao Barabarani Mbweni

    Hakika kwa nilivyowaona wakiwa Vifua wazi wamejengeka Kimwili Wamekomaa na wana Morali ya hali ya Juu ya Kimedani hakika si Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda na hata Israel, Marekani, Cuba na Uingereza ambao watatuweza Tanzania kama wakituchokoza. Hongereni sana JWTZ kwa Uimara!!!!
  10. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Usiwaamini sana marafiki wa ukubwani na ambao mmepotezana kipindi kirefu kisha kukutana tena

    Maana kuna jamaa ni mfanyakazi mwenzangu nimekuwa na urafiki naye wakikazi kwa muda wa miezi mitano ila sijawahi kukaa naye sehemu hata moja kula naye bata, ila juzi tukiwa kwenye kikao cha kazini tukaenda kupanga lodge moja kila mtu room yake sema zinaangaliana milango. Sasa mimi nilimwamini...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Urusi kukutana na makundi yote ya kipalestina kwa mashauriano. Ni mchakato wa kuundwa taifa huru la Palestina

    Urusi baada ya kupata ushindi mnono kule Advidika dhidi ya Ukraine imejiona ina wajibu wa kushauriana na makundi yote ya kipalestina wakati ambapo vita vya Gaza navyo viko ukingoni kumalizika. Inawezekana harakati hizo za Urusi ni kupiga hatua za mbele za mbele katika mchakato wa kuundwa kwa...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu maandalizi yangu haya kabla ya kukutana faragha na shemeji yenu

    Hata ndio maandalizi huwa nayafanya kabla ya kukutana faragha na shemeji yenu (mke)
  13. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana ana kwa ana na mnyama gani mkali?

    Mimi kuna siku niko na Pikipiki nimetoka site huko Nyengedi napanda Milima ya Rondo mida ya saa 2 usiku aisee Mara simba huyu hapa nilianguka na Pikipiki nikainyanyua sikugeuka nyuma nilipofika kijijini palepale nilizimia. Kuna siku tena natoka Makangaka naelekea Kiranjeranje kupanda basi saa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Taja jina la mtu ambaye hujawahi kukutana nalo zaidi ya mara moja

    wakuu mambo ni vipi Embu Leo Taja jina la mtu ambaye hujawahi Kulisikia tena baada ya kukutana na mtu analitumia. Mimi nilikutana na jamaa anaitwa drufiano lile jina sijawahi kulisikia sehemu nyingine hata gugo halipo. Taja jina ambalo ulikutana na mtu analitumia hujawahi kulisikia tena mahali...
  15. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Ungependa kukutana na hawa JF members?

    Yupi kati yao hasa ungependa kukutana nae? Ungepata nafasi ya kukutana nae ungemwambia nini kuhusu mtandao huu? Nini kiboreshwe zaidi? Nini kipunguzwe? ====
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aalikwa na Baba Matakatifu Francis Mjini Vatican kwa mazungumzo rasmi ya siku mbili

    Kufuatia mualiko wa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani na nchi ya Vatican Papa Francis, Rais Samia Hassan atafanya ziara ya kitaifa tarehe 11 hadi 12 Februari, 2024. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Hivi mshawahi kukutana na hawa jamaa

    Habari. Je ni matapeli au wa kweli??
  18. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Ni mauzauza gani ulishawahi kukutana nayo barabarani?

    Nakumbuka tulikuwa tunatoka kijijini Kibungo wilaya ya Kigamboni, tunaelekea Pemba Mnazi kuogelea. Tulipokuwa tunaingia Pemba Mnazi, barabara imefunikwa na kivuli kikali cha miti mikubwa ya miembe. Katikati ya kivuli ukatokea mwanga mkali sana kiasi cha kutufanya tusiweze kuona mbele. Basi...
  19. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na watu wa ajabu kwenye maisha yako? Walikuwa watu wa aina gani?

    Kulikuwa na mtu huyu, wakati wa kusoma chuo cha ufundi, alikua ni mtu ambaye tulikuwa darasa moja pindi tupo chuo, alikuwa ni mkimya sana na hajawahi kuchangia chochote wala kuzungumza na mtu yeyote darasani. Alikuwa Hana makundi, alikuwa hana ushirikiano, alikuwa hana marafiki. Hakuna mtu...
  20. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Nimeghairi kumpatia ujauzito Shamsa baada tu ya kukutana na mabinti wawili wakikicharanga kimombo

    Mipango yangu mimi pamoja na Shamsa imeingiwa kidudu maji. Tulipanga kupeana ujauzito, kisha tumtunze mwanetu mpaka pale atakapofikisha umri wa kwenda shule ili tumnunulie kiufagio na kidumu cha lita 5 akaanze vidudu, aje kutusaidia baada ya miaka 20 ijayo Baada ya kukutana na hawa mabinti...
Back
Top Bottom