kukutana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Je, ushawai kukutana na Doppelganger (Double walker) na ilikuwaje?

    Habari wadau..! Wanasayansi wanaamini kwamba katika dunia kwa kila sura moja ya mtu basi kuna sura sita zinazofanana na mtu huyo na hiyo kwa kijerumani ikaitwa Doppelganger (Double walker). Double walker siku zote wanaweza wakawa hata hawana undugu lakini wanafanana kama mapacha (identical...
  2. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Hili la kukutana na viongozi wa kisiasa, linajenga hatima ya Tanzania ijayo

    KUKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA NI JAMBO MHIMU KWA MAENDELEO YA TAIFA Na Elius Ndabila 0768239284 Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan aliwahutubia Watanzania kupitia Bunge. Hotuba yake ilichukua dakika 98. Sikubahatika kuitazama hotuba hiyo mbashara...
  3. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kukutana na viongozi wa Vyama vya Siasa

    Rais Mama Samia Suluhu ametangaza atakutana na kuzungumza na vyama vya Upinzani chini. katika kujenga muktadha wa demokrasia nchini.
  4. UZZIMMA

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ukiolewa au kukutana na mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi utachukuliaje?

    Habari zenu humu ndani. Baada ya kushiba daku nimeamua kuja na uzi huu. Kwa sisi wanaume tukioa kisha tukapata mwanamke ambaye hajawahi kuguswa, mwanaume anajiona fahari. Wanaume tunaona tumepata kizuri cha kupata. Na hata katika jamii inakuwa ni jambo jema. Sasa swali ni kwa upande wa pili...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Madahara ya kukutana kimwili nje ya ndoa au pasipo kuwa katika ndoa

    MADAHARA YA KUKUTANA KIMWILI NJE YA NDOA AU PASIPO KUWA KATIKA NDOA Kukutana kimwili nje ya ndoa ni lango linalotumiwa na adui kuharibu vipawa vya Mungu ndani ya watu, Kwani tendo la ukutana na mtu kimwili si kujifurahisha tu kama wengi wanavyofikiri bali hiki ni kifungo cha Nafsi Na...
  6. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Ni changamoto gani unaweza kukutana nayo kwa mara ya kwanza unavyotambulishwa ukweni?

    Kwa wale ambao wameshapitia hii hatua tayari na wana uzoefu hebu tupeane experience ni changamoto gani unaweza kukutana nayo siku utakapokwenda ukweni kutambulishwa. Na jinsi gani unaweza kuiepuka hii changamoto ili usije ukaonekana kituko? Pia soma...
  7. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Ukibahatika kukutana na Rais Samia utamuuliza swali gani la msingi?

    Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi? Rais wa sasa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu ni mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hapa nchini...
  8. britanicca

    JamiiForums Tanzania Je, wewe umewahi bahatika kukutana na kiongozi yeyote wa Taifa hili na umepata kuongea naye kuhusu nini na mtazamo wake uliuonaje?

    Ni wanasiasa gani umewai kutana nao Live na Mliongea nini Mkashauriana nini. Mwaka 2003 nilikutana na Mzee Hassan Mwinyi kabla sijaanza kufanya kazi na serikali kwa Ukaribu, tuliongea Mengi na nikamkumbusha mambo Mengi ya Nyuma ya History yake binafsi ambayo Wengi hawajui kwakuwa niliipata...
Back
Top Bottom