Mathalani,
Umepata Rafiki au Mchumba kwenye miongoni mwa mitandao ya kijamii, kwa mfano ulipokea simu ya aliekosea namba au ulipiga simu kwa kukosea namba akapokea asie husika, then mpokea simu ama wewe mpiga simu kimakosa mkatamani mjuane zaidi na baada ya hapo mkawa Marafiki, tena huenda ni wa...
Baada ya Simba Day na Yanga Day kutamatika, sasa ni zamu ya watani wa jadi kukutana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 8 Agosti 2024. Mechi hii itakuwa ya kuvutia sana kwa sababu ya historia na ushindani mkali baina ya timu hizi mbili kubwa za Tanzania.
Chanzo: Mitandaoni
Timu ya Simba SC...
Hope Jumapili iko njema kwa wote,. Kwa ambao hamko sawa nawaombea mrejee kwenye hali zenu za kawaida..
Iko hivi, imi hua nakutana na hii kitu sijui niiwekaje,. Yaani unakuta maybe mtu ana shida na kitu fulani labda kuelekezwa au kumpatia namna ya kukipata au kukijua. Na ninao uwezo labda wa...
Walaghai wa Mitandao ni watu wanaofanya uhalifu wa mtandaoni kwa kuwasiliana na mlengwa kupitia barua pepe, simu, au ujumbe wa maandishi (SMS), wakijifanya wanatoka taasisi halali.
Lengo lao ni kuwarubuni watu kutoa taarifa nyeti kama vile taarifa binafsi, maelezo ya benki na kadi za mkopo, na...
Wadau hamjamboni nyote?
Hizo ni habari mpya kabisa kutokea ndani ya kikundi cha kigaidi cha Hamas
Kwamba magaidi hao hawajakata tamaa kabisa
Kwamba Baraza/ Shura ya Maimamu yenye wawakilishi wa kikundi hicho kutokea sehemu mbalimbali watakutana muda wowote kuanzia sasa kumchagua mrirhi...
Nchi hii tumetoka mbali sana na it is as if tulikuwa washamba nchi nzima mpaka Kenya walikuwa wanatucheka.
Nchi imetoka mbali hii.
Ingekuwa hata mama kila anachonunua au kujenga anapiga promo zile hii nchi ingekuwa ya masela.
Unakuta ndugu zako kabisa wa kuzaliwa nao, achilia mbali hao wa upande wa baba au mama mnakuwa hamna maelewano mazuri; kupeana fursa hakuna, wakati mwingine ata kujuliana hali mpaka mtafutane sana.
Ila ukitokea msiba sasa, ndio mnaanza kutafutana na kwenda kwa mbwembwe.
Kwa mtazamo wangu...
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imekubali ombi la Mabalozi wa nchi mbalimbali walioomba kikao cha kujadili masuala ya kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa lengo la kujadili malalamiko yalitolewa na baadhi ya wawekezaji kutoka...
Mwaka 2027 kutakuwa na michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)ambayo yatafanyika katika mataifa 3,miongoni mwa mataifa hayo na Tanzania ikiwemo.
Kila nikijaribu kuangalia na kutazama namna mambo yanavyoendeshwa kwenye hii nchi na watu ambao tuliwaamini kiukweli nakosa majibu na napata...
Mwonekano
1. Mrefu
2. Mweupe
Umri
Kuanzia miaka 20-27
Dini
Mkristo (Msabato)
Kabila
Msukuma ( hasahasa Mnyantuzu), Muha au Mhehe.
Elimu
Diploma/ Degree
SIFA ZANGU
Mwonekano
1. Mrefu
2. Mweusi
Umri
Miaka 28
Dini
Mkristo (Msabato)
Kabila
Msukuma (Mnyantuzu)
Elimu
Diploma
Kazi...
Uswisi inaratajia kuwaalika washiriki zaidi ya 160 kutoka mataifa mbalimbali katika mkutano utakaolenga kuleta amani na upatanishi wa Ukraine na Russia.
Mkutano huo unatarajia kufanyika kwa siku mbili kuanzia Juni 15 hadi 16 katika Hoteli ya Bürgenstock Hotel nchini humo.Taarifa iliyotolewa na...
Habari za Jumatatu wanajamii.Pia hongereni kwa pirika za kutafuta pesa za mahitaji yako.
Ninajua mpaka kufika katika umri ulionao kuna makosa kadhaa ushafanya na pengine ukawa unajutia.
Hapa nina swali fikirishi
Eti, kama ikatokea ukapewa fursa ya kurudi miaka 10 au 15 nyuma na kukutana na...
"Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi nikaachwa nimesimama. Kibaya zaidi hata kwenye gari hakushuka. Sikuweza kujua yule kijana alikuwa nani...
E bana jana kwenye bajaji nimekutana na jamaa mmoja anakipaji cha kuchekesha, angepata exposure sipati picha kwenye stage angekalisha sana.
Tulikua abiria watatu na dereva, pikipiki ikapita kwa speed sana ndio akaanza kuelezea mkasa wake wa ajali wakiwa wamepakizwa kwenye fekon huko mkoani...
Habari za muda huu,ndugu zangu simba fans tujipe pole najua Wengi haijawaumiza kihivyo sabu kushinda mbele ya yanga hii ilivyo sasa lilikua jambo la kubahatisha..all in all timu imecheza vizuri,makosa ya mchezo wa mpira ndo yameamua mechi.
Twende Kwenye mada:
Kwenye Maisha yako ushawahi...
Naona Makonda amechukua mwelekeo ambao utarahisisha kazi yake, mwelekeo wa kwenda pamoja na wadudu (masela,) wa Arusha.
Masela (aka wadudu) wa Arusha ni wababe hakuna mfano. Ndiyo maana RC kaamua kukaa nao na kufuata wanachotaka. Mkoa gani masela wamewahi kukaa na RC?
Wadudu hoyeeee!
Sasa...
Habari WanaJF,
Leo nimepita pale maeneo ya St. Peters karibu na Mbuyuni Jijini Dar es Salaam nimekutana na bango hili kubwa sana likiwa na maandishi mamubwa “Visit South Africa” inaweza kuwa sio jambo baya ila najiuliza na sisi kwenye nchi za Wenzetu tunafanya kujitangaza hivi?
Nawaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.