Asante sana Mkuu nitaufanyia kazi ushauri wako.Kuroiler F1 huwezi kupata kwa mikoa hiyo uliyotaja, utapata f2 na kuendelea.
Kama unataka F1 pure agiza Dar kampuni mbili tu KUKU PROJECT NA AKM GLITTERS japokuwa hawa akm bado hawajaanza batch ya kutoa vifaranga.
Nimeingia chap mtandaoni nimeshapata namba zao na pia nimeingia youtube kucheki profile zao. barikiwa sana,Ukihitaji namba zao nipm ntakutumia
Ila kama unataka kweli kuroiler F1 basi makampuni hayo pekee ndiyo yamepewa kibali na wizara cha kuingiza mayai kwa ajili ya parent stock kwa hiyo hakuna kampuni nyingine ya kuroiler watakaokupa f1 pure
Vizuri mkuuNimeingia chap mtandaoni nimeshapata namba zao na pia nimeingia youtube kucheki profile zao. barikiwa sana,
Unajua huku mtaani tunadanganywa sana. mtu anakuambia ana F2, lakini kumbe ni F3 unachukua vifaranga unakuta hawakui vizuri na hawakupi matokeo tarajiwa
Tofauti kati ya f1 f2 na f3 ni IPI?Nahitaji kujua wapi naweza kupata kuku aina ya kuroiler ambapo naweza kupata vifaranga wa F1. hii ina maana huyo supplier yeye awe na Parent stock ya F0.
Location iwe kati ya Morogoro, Iringa au Dodoma

Ukihitaji namba zao nipm ntakutumia
Ila kama unataka kweli kuroiler F1 basi makampuni hayo pekee ndiyo yamepewa kibali na wizara cha kuingiza mayai kwa ajili ya parent stock kwa hiyo hakuna kampuni nyingine ya kuroiler watakaokupa f1 pure
Kwanza unataiwa kujua kabla ya F1 kuna parent stock au F0 (F zero). Kwa kuroiler hawa wanapatikana kwa kufanya cross breed lati ya broiler na layer. Then hao F0 wakitaga na mayai kutotoleshwa ndo unapata uzao wa kwanza F1 . Watoto wa F1 wanaitwa F2. Kama hujaelewa lipia twisheniTofauti kati ya f1 f2 na f3 ni IPI?
Kuku Project wana F1?Kuroiler F1 huwezi kupata kwa mikoa hiyo uliyotaja, utapata f2 na kuendelea.
Kama unataka F1 pure agiza Dar kampuni mbili tu KUKU PROJECT NA AKM GLITTERS japokuwa hawa akm bado hawajaanza batch ya kutoa vifaranga.
Hawa nazani wamesitishaAkm glitter utapata na wana muda sokoni wanazalisha vifaranga F1
F0 ndo nini? Kuna Grand Parents then F1Kwanza unataiwa kujua kabla ya F1 kuna parent stock au F0 (F zero). Kwa kuroiler hawa wanapatikana kwa kufanya cross breed lati ya broiler na layer. Then hao F0 wakitaga na mayai kutotoleshwa ndo unapata uzao wa kwanza F1 . Watoto wa F1 wanaitwa F2. Kama hujaelewa lipia twisheni
Una uhakika F1 ya Kuroiler ni cross breed ya Layers na Broiler?Kwanza unataiwa kujua kabla ya F1 kuna parent stock au F0 (F zero). Kwa kuroiler hawa wanapatikana kwa kufanya cross breed lati ya broiler na layer. Then hao F0 wakitaga na mayai kutotoleshwa ndo unapata uzao wa kwanza F1 . Watoto wa F1 wanaitwa F2. Kama hujaelewa lipia twisheni
Ndio wanao mkuu, mwanzoni walikua hawana ila kwa sasa wana parent stock ya Grand Parents ya kuroiler, pia wana broilers na layers aina ya lohman brownKuku Project wana F1?
Walisitisha kutokana na changamoto za kupata mbegu ya kuku wazazi iliyotokana na COVID-19 ila tayari wanakaribia kuanza kuuza vifaranga. Mara ya mwisho kuwasiliana nao parent stock yao walikua na miezi minneHawa nazani wamesitisha
ntakuchukulia kwenye kampuni ya wachina wapo mkuranga, unataka wangapi nikuleteeNahitaji kujua wapi naweza kupata kuku aina ya kuroiler ambapo naweza kupata vifaranga wa F1. hii ina maana huyo supplier yeye awe na Parent stock ya F0.
Location iwe kati ya Morogoro, Iringa au Dodoma
ana maanisha fertile One yeye anaita F0, ambayo ndiyo F1.F0 ndo nini? Kuna Grand Parents then F1