kuku

  1. Political stability

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa huu wa kuku nawezaje kuudhibiti?

    Huu ugonjwa unaitwaje? Unasabishwa na nini? Na jinsi gani naweza kuudhibiti?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ukiweka ushabiki pembeni; Wanaume tumeumbwa ili kupiga bao moja tu kama kuku wafanyavyo na kusepa

    Ukiachilia mbali mwanamke kutakiwa kuingiliwa kingono siku za mimba! Wanaume tumeumbwa kwa mfumo uleule wa wanyama na ndege! Kikawaida mwanaume unatakiwa ukisimamisha ndipo utafte wa kumla, na ili uone radha unatakiwa ufanye bao moja tu usepe zako, uzungukee wee halafu ufike tena ukamate upige...
  3. Livingson1

    JamiiForums Tanzania Aina za ujasiriamali zinazoweza kumtoa kijana kimaisha

    1. ufugaji wa kuku. Ufugaji wa kuku wa kienyeji ama kuku wa kisasa. Faida zake zinatokana na uuzaji wa mayai, nyama ya kuku, kuku wenyewe, vifaranga, mbolea n.k _ Ndege wengine wenye faida kama za kuku ni kanga, bata wa aina tofauti, njiwa, kware n.k 2. Ufugaji wa mbuzi. Mbuzi faida zake...
  4. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Utashi wa kuku na mustakabali wetu wa uongozi

    Kuku ni kiumbe chenye utashi wa ajabu kama walivyo viumbe wengine ambao ni tofauti na binadamu. Mtu anapotaka kumtega kuku aliyepo katika kundi la kuku wengi hurusha punje za mahindi, mchele au mabaki mengine ya chakula. Kundi la kuku litaanza kumfuata taratibu mpaka ndani, kisha anafunga mlango...
  5. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Napata wapi hizi racks za kuku na wanauzaje

    Hizo hapo za kuku wa mayai wanauza wapi na kwa bei gani
  6. T

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuku mpya tatu kwa moja inapatikana wapi kwa Mbagala, Kariakoo na Buguruni

    Wadau Habari zenu. Kuna dawa kuku mpya nilisikia muda kidogo ikitangazwa kwenye redio jina sikumbuki vizuri maana nilisikia kwa mbali tatu kwa moja yaani inakuwa na newcaster na mchanganyiko wa dawa zingine mbili na kufanya kuwa mchanganyiko wa dawa tatu kwa pamoja sasa swali langu kwa kisiwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kuna athari gani kutumia mayai/ nyama ya kuku wa kisasa?

    KUNA ATHARI GANI KUTUMIA MAYAI/NYAMA YA KUKU WA KISASA? . Kumekuwa na imani kwamba nyama au mayai ya Kuku wa Kisasa vina madhara mwilini. Madhara ambayo yamekuwa yakitajwa sana ni pamoja na kunenepa kupita kiasi, kupungua kwa nguvu za kiume, n.k. Imani hii imekuwa ikihusishwa na dhana kwamba...
  8. Quavohucho

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ufugaji wa kuku wenye tija na matumizi ya teknolojia

    Ni jioni tulivu ,jumapili ya tarehe 14/7/2021 ni siku niliyoamua kwenda kumtembelea mjasiliamali anayejihusisha na ufugaji wa kuku wa kisasa , ilikuwa safari nzuri sana toka maeneo ya iringa mjini hadi iringa vijijini, kwa mfugaji na mjasiliamali huyu maarufu kama mzee mwenda , Ilikuwa ni...
  9. theriogenology

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa ufugaji wa kuku wa nyama (Broiler)

    HATUA KWA HATUA UFUGAJI WA KUKU BORA WA NYAMA (BROILER) Lengo la makala hii ni kukuwezesha wewe mkulima kupata kuku wa nyama wenye uzito sahihi kukuwezesha wewe kupata faida. Hivyo basi wewe kama mfugaji ni vyema ukajua ya kwamba wiki mbili za mwanzo katika uleaji wa kuku wa nyama ni muhimu...
  10. MkulimaAgriClinic

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuku ghali zaidi duniani

    Kuku Wa kabila la Dong tao ambao wanatambulika kwa kuwa na miguu minene ndiyo kuku ghali zaidi duniani.Kuku hawa huuzwa kwa bei hadi kufikia dola za marekani 2000. Wanapatikana kwa wingi nchini Vietnam. Awali kuku hawa, walitumika kama mapambo katika nyumba za kifalme, sasa hivi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ukiwa vegetarian ghafla unafika ukweni, unakuta wamechinja mbuzi na kuku kwa heshima yako

    Mchumba ulikutana nae kazini. Wazazi walisikia uwepo wako katika maisha ya binti yao. Kilichokupeleka ghafra ni taalifa ya ugonjwa wa mama yake. Mezani mnakuta vyakula vyote na kilichokosa nyama ni kachumbali tu. Unaishia kula wali na kachumbali.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kuku wangu wanavimba macho

    Wajuzi naomba mnisaidie, kuku wangu wanavimba macho! Yanafumba! Wanasinzia! Pia wanapata choo cha rangi ya kahawia! Niwape dawa ipi!? ======== Zaidi soma: Msaada: Kuku wangu wanavimba sehemu za usoni
  13. njule

    JamiiForums Tanzania Mpishi wa kukaanga chips na kuku

    Habari wana JF Anahitajika haraka mpishi aliye kua mtalamu waku kaanga chips na kuku, kuchoma kuku na mishkati na mapishi mengine aina hio ya jiko. Anatakiwa awepo Dar. Tuwasiliane 0789155571
  14. Planett

    JamiiForums Tanzania Indonesia: Miji yazawadia wananchi kuku kwa wanaopata chanjo

    Habari wakuu, Huko nchini Indonesia katika mji wa Cipanas wamebuni mbinu ya kuwashawishi wazee (watu wenye umri mkubwa) wabishi wasiotaka kupokea chanjo ya COVID 19 kwa kuwazawadia kuku mmoja pale watakapokubali kuchanjwa chanjo hiyo. Mbinu hiyo imezaa matunda kwani wazee wengi wamejitokeza...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kanusho la kuwepo kwa Mayai ya Kuku kutoka nje ya Nchi yaliyosababisha kushuka kwa bei ya Mayai Nchini

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Dodoma, Juni 17, 2021 A: UVUMI KUHUSU TAARIFA ZINAZOZUNGUKA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII (SOCIAL MEDIA) JUU YA UWEPO WA MAYAI YA KUKU KUTOKA NJE YA NCHI YALIYOSABABISHA KUSHUKA KWA BEI YA MAYAI NCHINI Ndugu waandishi wa Habari, Tarehe 14/06/2021 Wizara ya...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Gharama kiasi gani kulisha kuku 500 wa nyama kwa Dar es Salaam mpaka kuuza?

    Habari wadau wa ufugaji Naomba kujua gharama za kufuga kuku wa nyama idadi 500 kuanzia siku ya kwanza mpaka hadi kufikia mwezi kwa mtu ambaye anafanya shughuli hizo au alishawahi kufanya kwakipindi kisichopungua miezi 8 iliyopita.
  17. Cards Fantasy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Partner au Partners 2 Tufanye biashara ya Kuuza Kuku Pamoja

    Habari za Leo Wanafamilia! Pole na Majukum, Mm naitwa Hussein, naishi Tandika Magorofan, nna miaka 34, nna mke na watoto watatu. Nnajishughulisha na Ufugaji, utengenezaji dawa za Asili za Kuku na uuzaji wa Kuku, kwa Sasa nimejikita zaidi kwenye Kuku wa nyama kwa kuwanunua directly kwa Wafugaji...
  18. Tom lee Ab

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanda cha chakula cha kuku Dar es Salaam

    Natafuta kiwanda cha chakula cha kuku DSM, pia nawezaje kuuza damu ya ngo'mbe iliyokaushwa?
  19. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Naombeni machimbo ya kuku wa kienyeji tafadhali

    Naomba kufahamishwa wapi/mkoa upi nitapata kuku wa kienyeji kwa jumla na kwa bei nzuri? Pamoja na aina ya usafiri toka huko masokoni /minadani kuleta mjini. Asanteni
  20. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua sehemu wanapouza kuku wa kisasa wa mayai Jijini Dodoma

    Wadau habarini, Msaada kwa mtu anaeishi jijini Dodoma na anajishughulisha na uuzaji wa kuku wa kisasa wa mayai wanaotaga mwezi kwa mwezi ,kama yupo tuwasiliane tafadhali nahitaji hio bidhaa.
Back
Top Bottom