kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kijiji chaamua kujenga Zahanati, Mbunge Prof. Muhongo achangia mifuko 200 ya saruji

    Kata ya Bugoji yenye vijiji vitatu (Bugoji, Kaburabura na Kanderema) inayo zahanati moja tu iliyoko Kijijini Bugoji. Jana, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo alifanya ziara ya kikazi Kijijini Kaburabura kwa malengo makuu matatu, ambayo ni: (i) kupokea kero za wananchi na...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani kujenga bandari Gaza ni kuzuga. Hana nia nzuri na Wapalestina

    Watu wanakufa sasa kwa njaa Gaza na kuna malori ya misaada kwa mamia kwenye mipaka ya Gaza ambayo yameshindwa kuingia huko kikwazo ikiwa ni ruhusa ya Israel. Marekani kwa kujionesha kuwahurumia wanaokaribia kufa njaa imekuwa ikidondosha misaada michache ya michache ya chakula na sasa imesema...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Jacob kwa kupambana kwa jasho na damu na kufanikiwa kujenga kasri lako; watu kama ninyi ni vigumu kununulika na watawala

    Kuna mwizi serikalini ameishia kumiliki mademu wengi kwa sababu anajua akijenga au kuwekeza ipo siku atakamatwa kwa wizi. Wapo viongozi wa kisiasa wamefanya nchi kama shamba na wanawekeza fedha nje ya nchi Kijana BoN Yai alipokoseshwa ubunge aliamua kwa dhati kuingia kwenye ufugaji. Amefanya...
  4. JamiiForums Tanzania Kujenga hoteli ya kifahari kwenye roundabout

    Wakuu kwema, Katika mizunguko yangu hapa Dar nimeona sehemu roundabout nzuri, nimepata idea ya kujenga hotel ya kifahari na njia za juu za kufika bila kusababisha ajali pia ntajenga parking angani. Naanzia wapi kupata vibali?
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafuwe: Milioni 300 Kujenga Daraja Machame

    MBUNGE SAASHISHA MAFUWE: MILIONI 300 KUJENGA DARAJA MACHAME Daraja la Makoa lililopo Machame, ambalo limejengwa kipindi kirefu na ambalo lilikua ni kero kubwa imeanza kujengwa upya kwa gharama ya shilingi Milioni 300. Akizungumza baada ya kufika kukagua ujenzi wa daraja hilo, mbunge wa jimbo...
  6. JamiiForums Tanzania Kama tunajenga expressway Dar to Dom kuna kila sababu ya kujenga race circuit, uwanja wa golf wa kisasa pamoja na winery katikati ya Dom na Moro

    Tanzania ni nchi iliyojaliwa madhari za kuvutia pasina shaka , kuanzia kaskazini kwenda kusini, magharibi mashariki, sijawahi kupata kigugumizi kusifia juu ya uzuri wa nchi yangu! Kwa kuzingatia hoja yangu kwa tuliopata fursa ya kusafiri kwa njia ya barabara Dom-Moro-Dom tunaweza shuhudia hili...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Minza Mjika Ahoji Mkakati wa Serikali wa Kujenga Vituo vya Afya kwenye Kata za Mkoa wa Simiyu

    Mbunge Minza Mjika Ahoji Mkakati wa Serikali wa Kujenga Vituo vya Afya kwenye Kata za Mkoa wa Simiyu Katika kipindi cha miaka mitatu ya fedha 2021/22, 2022/23 na 2023/24 serikali imejenga jumla ya vituo vya afya 466 vilivyogharimu shilingi bilioni 718.1 katika maeneo ya kimkakati kote nchini...
  8. JamiiForums Tanzania Tuliambiwa tozo ni kwaajili ya kujenga barabara za vijijini. Vipi barabara zinajengwa kweli?

    Salaam Tozo za miamala ya simu ni jambo lililoanzishwa na kuzua tafrani miongoni mwa Wananchi wa Tanzania. Raia wengi walizipinga lakini viongozi wengi wa Chama Tawala walitetea na kuziita ni tozo za kizalendo sababu zimelenga kutumiwa kujenga barabara za vijijini. Soma: Serikali yatangaza...
  9. JamiiForums Tanzania Misri yaanza kujenga hema za Wapalestina watakao ondolewa Rafah, maana ni dhahiri Israel wanapiga

    Israel imekua kichwa cha mwenda wazimu, wamegoma kumskliza yeyote na wameanza mapigo Rafah, raia wema wanaondolewa na kupelekwa kwenye hema, watakaobaki ni magaidi ya dini akina HAMAS na hawana sehemu nyingine ya kukimbilia. Misri wameona isiwe tabu, wasaidie kwenye kujenga hema, wao kwanza...
  10. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Misri kujenga ukuta mwengine upande wake kina maana gani. Wana njama na Israel au ni huruma kwa wapalestina

    Hivi karibuni Benjamin Netanyahu alisikika akisema anataka jeshi lake liingie Rafah na kufanikisha mpango wake wa kuwamaliza Hamas kabla mwezi mtukufu wa Ramadhani haujaingia hapo Machi 10. Baada ya kitisho hicho Misri imekuwa ikitishia kuvunja mkataba wa camp david baina yake na Israel.Hata...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Toyota yasaini makubaliano ya Kuunda Magari yake nchini Kenya

    Kenya na Toyota Tsusho Corporation ya Japani wametia saini makubaliano ya mfumo wa ushirikiano katika utengenezaji wa magari na maendeleo ya nishati mbadala. Makubaliano hayo yatawezesha Toyota kuanzisha kiwanda cha kutengeneza magari nchini. kampuni imefanya uwekezaji wa awali wa Kshs 800...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali Iko Mbioni Kujenga Uwanja wa Ndege Zenye Uwezo wa Kubeba Abiria 50 Mkoani Singida

    Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni jijini Dodoma, Mhe. Martha Nehemia Gwau aliuliza swali lililojibiwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile na kusema kuwa Serikali iko mbioni kujenga uwanja wa ndege wa daraja 2C Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia...
  13. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Chelsea FC kutembelea Tanzania kwaajili ya kukuza michezo na utalii

    Klabu ya mpira ya Chelsea (Chelsea FC) kutoka England itafanya ziara nchini Tanzania siku chache zijazo. Lengo la ziara hiyo ni kukuza utalii pamoja na michezo ikiwemo kujenga akademi ya mpira wa miguu hapa Zanzibar na Tanznania Bara. Pia wageni hao watapata fursa ya kukutana na viongozi wa...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Barabara na Daraja la Zege Ruvuma Kuunganisha Tanzania na Msumbiji

    SERIKALI KUJENGA BARABARA NA DARAJA LA ZEGE - RUVUMA, KUUNGANISHA TANZANIA NA MSUMBIJI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali ipo katika hatua za mwisho ya kusiani mkataba na kumtangaza Mkandarasi atayejenga barabara ya Likuyufusi - Mkenda (km 122) sehemu ya kwanza Likuyufusi -...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia Amedhamiria Kujenga Madaraja Kusikofikika: Bashungwa

    RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUJENGA MADARAJA KUSIKOFIKIKA: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imejipanga kuhakikisha inajenga na kuboresha miundombinu ya barabara na madaraja katika maeneo yote yasiyofikika...
  16. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bashungwa: Rais Samia amedhamiria kujenga madaraja kusikofikika

    RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUJENGA MADARAJA KUSIKOFIKIKA :BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imejipanga kuhakikisha inajenga na kuboresha miundombinu ya barabara na madaraja katika maeneo yote yasiyofikika...
  17. JamiiForums Tanzania Tsh. Bilioni 113 kujenga KM 50 Barabara ya zege kuelekea Liganga na Mchuchuma

    Serikali imeanza kutekeleza ujenzi wa barabara ya Itoni-Lusitu (km 50) kwa kiwango cha zege, ambayo itagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 113 ili kurahisisha usafirishaji wa makaa ya mawe ya Mchuchuma na madini ya Chuma cha Liganga. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa...
  18. JamiiForums Tanzania Wanachokifundisha JKT/ Jeshi la kujenga taifa

    Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na agizo la serikali la kuwataka wanafunzi waliomaliza elimu ya kidato cha sita kwenda kujiunga na mafunzo ya miezi mitatu ya jeshi la kujenga taifa maarufu kama ''kwa mujibu wa sheria''. Sina uhakika kama mwanzilishi au serikali wakati inaanzisha mafunzo...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hivi nchi hii inashindwa kuwakaribisha Spain/Brazil/ England/ France kujenga academy hapa nchini ili kuvumbua, kulea na kukuza vipaji vya football?

    Kwann kama taifa hatuna mikakati?? Nakasirika sana kuona serikali inadandia treni ya mafanikio ya mpira kwa mbele. Nchi za Senegal, Mali, na Burkina Faso serikali za nchi hizi zimefanya uwekezaji mkubwa ktk soka. Na ndiyo tunayaona mafanikio yao. Badala ya kuwategemea vijana waliokulia chai na...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Namuona Dkt. Nchimbi akifanikiwa pakubwa kujenga utaasisi ndani ya CCM

    Kama Leo ingekuwa ni 2015 na Dkt.Ncimbi angekuwa ni Katibu Mkuu wa CCM naamini angepambana vya kutosha kumpambania Lowassa ndani ya CCM lakini Kwa Sasa ana mtazamo tofauti kabisa, mtazamo alionao Sasa ni maslahi ya CCM kwanza na maslahi binafsi baadaye. SG Nchimbi ana historia kubwa ndani ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…