kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yehoyada Yedidia

    JamiiForums Tanzania Je, tunataka comedy tucheke sana au kujenga nchi yetu?

    Kwanza kabisa ni vyema unaposoma huu uzi upanue uelewe wako na kiwango chako cha kuyaangalia mambo kwa mapana na marefu. Kwa miaka miwili mpaka mitatu sasa kumeibuka wimbi kubwa la vijana wachekeshaji (comedian) kila kona ya Tanzania. Ukiwakuta vijana wana camera mtaani lazima tu watakuwa...
  2. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Kujenga Utajiri wa Kudumu (Generational Wealth)

    Habari wanajamvi, Natumaini kuwa tuko salama katika shughuli zetu siku ya leo. Hongera kwa kufanya sehemu yako katika kusukuma gurudumu la maisha na la taifa pia. Nchi hii inakutegemea (endelea kupigana, iko siku). Leo nimeleta mada ambayo imekuwa ikinisumbua kichwa kwa muda mrefu. Endapo wewe...
  3. Kv-london

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu: Nataka kujenga frame ya biashara kwa mkataba

    Habar wakuu huku ndani, Hapa kijijini kwetu Moshi kuna eneo zuri potential kwa ajili ya biashara hasa ya duka la reja reja, hardware au site ya tofali za block wamiliki wa hili eneo ni chama cha ushirika wa kahawa KNCU. Changamoto iliyopo ni kuwa hamna frame yeyote ya kufanya hiyo biashara ni...
  4. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kiongozi kujenga tabaka lako dhidi ya wale unaowaongoza ni hatari kwa maendeleo ya taifa

    Unapokuwa kiongozi na ukashindwa kujishusha mpaka chini kwa wale unaowaongoza, kwa kisingizio kwamba wapo viongozi husika katika kila eneo, maana yake unatengeneza picha na unatuma ujumbe kwa wale walioko chini yako kwamba nao wanao watu chini yao hivyo hawapaswi kuwajibika! Mfano kiongozi wa...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bilioni 9.88 Kujenga Lami Barabara ya Dareda Mjini - Dareda Mission Babati

    BILIONI 9.88 KUJENGA LAMI BARABARA YA DAREDA MJINI - DAREDA MISSION BABATI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu Wakala wa Barabara (TANROADS) kumsimamia Mkandarasi kampuni ya Jiangxi Geo Engineering kukamilisha kwa wakati ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tsh. Trilioni 10.69 zimetumika kujenga Reli ya SGR Dar mpaka Moro

    Serikali imeendelea kutoa fedha za utekelezaji wa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR) wa kilomita 1,219, kwa kutoa jumla ya Sh10.69 trilioni na kwa ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam – Morogoro. Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa azungumza na Vyombo vya Habari

    Mkutano wa Mawaziri na Vyombo vya Habari Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. 🕰️ 7:00 Mchana. 📆 3 Aprili, 2024. 📍 Dodoma, Tanzania.
  8. Njugu mawe

    JamiiForums Tanzania Nataka kujenga

    Wakuu, mimi ndoto yangu nije niishi kwenye nyumba ya ghorofa hata ikiwa ghorofa mayai, ni sawa tu, Sasa nauliza kwa wataalumu hapa wa Jamii forum, nikiwa na Million 5 siwezi kujenga ghrofa? Sio lazima niimalize ukarabati, lakini niwe na uwezo wa kuifikisha hatua ya kuhamia hata vyumba viwili...
  9. Dr. Said

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujenga Mashine ya Kunasa Wateja

    Nikikwambia kuwa unaweza kumiliki mashine yenye uwezo wa kukuletea wateja kwenye biashara yako utaniamini? Wateja wenye pesa mkononi tayari kununua bidhaa/huduma unazotoa? Wengi nikiwaambia hili jambo nyuso zao zinakunjika kwa mshangao na kuona kama jambo lisilowezekana kabisa. Wakati...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa imewasilisha Makadirio ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2024/25

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa imewasilisha Makadirio ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge, Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama, tarehe 25 Machi, 2024.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Manispaa Hadi Kulipishwa Faini ya Kujenga Bila Kibali

    Wakuu heshima kwenu Nahitaji msaada kuhusu utaratibu wa Manispaa pale ambapo mhusika amegundulika kuwa ameanza ujenzi wa nyumba ya makazi ya kawaida isiyo ghorofa kwenye kiwanja chake halali kisicho na mgogoro wowote lakini bila ya kuwa na kibali cha ujenzi kuoka manispaa. Jee, ni sawa kama...
  12. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Kituko: Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo abanwa maswali na Mtangazaji wa StarTv na kushindwa kutetea Kauli zake, Wabunge wafundishwe kujenga Hoja..

    Alipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata.. Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Epuka kujenga uadui na mwenzio kisa eti anaunga mkono chama tofauti na chako

    Salaam Wadau, Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo katika mfumo wa Vyama vingi vya Siasa. Kwa maana hii, Wananchi wamekuwa wafuasi wa Vyama mbalimbali. Baadhi ya Vyama vina ushawishi Mkubwa na wafuasi wengi kuliko wengine. Kumekuwa na tabia baadhi ya Wananchi (Wanachama) hasa wa Vyama vikubwa...
  14. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania BIL 1.8 zapelekwa kujenga Hospitali ya Wilaya ya Moshi

    Serikalai yamwaga Bilioni 1.8 ujenzi Hospital ya wilaya Moshi SERIKALI imetoa shlingi Biliioni 1.8 kwa ajili ya ujenzi wa Hospital ya wilaya ya Moshi inayojengwa Kata ya Mabogini ukanda wa tambarare itakayohudumia wananchi Zaidi ya 535803 kutoka majimbo ya Moshi Vijijini na jimbo la Vunjo...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bilioni 101.2 kujenga Barabara ya Kahama-Kakola KM 73 kwa kiwango cha lami

    Serikali imesaini Mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama-Bulyanhulu Jct - Kakola (km 73) kwa kiwango cha lami ili kufungua fursa za kiuchumi za madini, Kilimo, Misitu na Utalii katika mikoa ya Shinyanga, Geita, Tabora, Kagera na Kigoma. Mkataba huo umesainiwa kati ya Wakala wa Barabara...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bilioni 101.2 Kujenga Barabara ya Kahama - Kakola (KM 73) kwa Kiwango cha Lami

    BILIONI 101.2 KUJENGA BARABARA YA KAHAMA-KAKOLA KM 73 KWA KIWANGO CHA LAMI Serikali imesaini Mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama-Bulyanhulu Jct - Kakola (km 73) kwa kiwango cha lami ili kufungua fursa za kiuchumi za madini, Kilimo, Misitu na Utalii katika mikoa ya Shinyanga, Geita, Tabora...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kijiji chaamua kujenga Zahanati, Mbunge Prof. Muhongo achangia mifuko 200 ya saruji

    Kata ya Bugoji yenye vijiji vitatu (Bugoji, Kaburabura na Kanderema) inayo zahanati moja tu iliyoko Kijijini Bugoji. Jana, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo alifanya ziara ya kikazi Kijijini Kaburabura kwa malengo makuu matatu, ambayo ni: (i) kupokea kero za wananchi na...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani kujenga bandari Gaza ni kuzuga. Hana nia nzuri na Wapalestina

    Watu wanakufa sasa kwa njaa Gaza na kuna malori ya misaada kwa mamia kwenye mipaka ya Gaza ambayo yameshindwa kuingia huko kikwazo ikiwa ni ruhusa ya Israel. Marekani kwa kujionesha kuwahurumia wanaokaribia kufa njaa imekuwa ikidondosha misaada michache ya michache ya chakula na sasa imesema...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Jacob kwa kupambana kwa jasho na damu na kufanikiwa kujenga kasri lako; watu kama ninyi ni vigumu kununulika na watawala

    Kuna mwizi serikalini ameishia kumiliki mademu wengi kwa sababu anajua akijenga au kuwekeza ipo siku atakamatwa kwa wizi. Wapo viongozi wa kisiasa wamefanya nchi kama shamba na wanawekeza fedha nje ya nchi Kijana BoN Yai alipokoseshwa ubunge aliamua kwa dhati kuingia kwenye ufugaji. Amefanya...
  20. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Kujenga hoteli ya kifahari kwenye roundabout

    Wakuu kwema, Katika mizunguko yangu hapa Dar nimeona sehemu roundabout nzuri, nimepata idea ya kujenga hotel ya kifahari na njia za juu za kufika bila kusababisha ajali pia ntajenga parking angani. Naanzia wapi kupata vibali?
Back
Top Bottom