Kujenga hoteli ya kifahari kwenye roundabout

Boss la DP World

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
1,997
7,552
Wakuu kwema,

Katika mizunguko yangu hapa Dar nimeona sehemu roundabout nzuri, nimepata idea ya kujenga hotel ya kifahari na njia za juu za kufika bila kusababisha ajali pia ntajenga parking angani.

Naanzia wapi kupata vibali?
 
Wakuu kwema, katika mizunguko yangu hapa Dar nimeona sehemu roundabout nzuri, nimepata idea ya kujenga hotel ya kifahari na njia za juu za kufika bila kusababisha ajali pia ntajenga parking angani.

Naanzia wapi kupata vibali?

Kwani hujui vibali vya ujenzi hutolewa na mamlaka ipi au bado unaishi nyumba za kupanga?
 
Wakuu kwema, katika mizunguko yangu hapa Dar nimeona sehemu roundabout nzuri, nimepata idea ya kujenga hotel ya kifahari na njia za juu za kufika bila kusababisha ajali pia ntajenga parking angani.

Naanzia wapi kupata vibali?
kuna uzi unaitwa ukajibu kuhusu wafanyakazi wa bandari
 
Wakuu kwema,

Katika mizunguko yangu hapa Dar nimeona sehemu roundabout nzuri, nimepata idea ya kujenga hotel ya kifahari na njia za juu za kufika bila kusababisha ajali pia ntajenga parking angani.

Naanzia wapi kupata vibali?
Vibali vya kumiliki bandari ulipata wapi?
 
Wakuu kwema,

Katika mizunguko yangu hapa Dar nimeona sehemu roundabout nzuri, nimepata idea ya kujenga hotel ya kifahari na njia za juu za kufika bila kusababisha ajali pia ntajenga parking angani.

Naanzia wapi kupata vibali?

Vipi boss, hope karibuni mnakuja kulianzisha pale port, hali mbaya mizigo nasikia inachelewa sana kutoka, unaonaje ukanda wa kaskazini mkapewa ili angalau papendeze kama ilivyo kwa Dar na Mwanza with dodoma jiji?
 
Africa hakuna utaratibu maslumu, si unaona bandari mmenipa bure.

Ujio wenu utaturahisishia sana utoaji wa bidhaa, watu wanakosa imani na uendeshaji wa sasa, mizigo inakaa muda mrefu pale bandarini, ujio wenu utarahisisha sana, halafu nikuambie kitu, kuna wapigaji hawakupenda ujio wenu, karibu sana bosi kubwa, jisikie upi nyumbani
 
Wakuu kwema,

Katika mizunguko yangu hapa Dar nimeona sehemu roundabout nzuri, nimepata idea ya kujenga hotel ya kifahari na njia za juu za kufika bila kusababisha ajali pia ntajenga parking angani.

Naanzia wapi kupata vibali?
Achana nahotel Jenga petrol station
 
Back
Top Bottom