kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Mwanza ikitengenezewa mazingira mazuri itakuwa sehemu nzuri ya kuishi hapa Afrika Mashariki

    Mwanza ni mji ambao unakua kwa kasi kiuchumi na maendeleo yake sio madogo pia, waliofika Mwanza miaka 10 iliyopita ukilinganisha na Leo ni vitu viwili tofauti kabisa na watakua pamoja na Mimi. Dar es Salaam ni jiji la biashara, pia Kuna mzunguko mkubwa wa pesa lakini sio sehemu rafiki ya kuishi...
  2. Objective football

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani ulitumia kuishi na kabila la wanguu? Moto wao sio mchezo!

    Hii nchi kubwa aiseeh, sikuwahi elewa kama kuna jamii zinazoogopwa na watu wengine namna hii! Yani kila mtu anakwambia hapa wamejaa wanguu huwezi ishi hapa kimbia haraka!
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Dhamira yao Ovu ya kutaka Kuivamia Israel ya Afrika (Rwanda) naona Tshisekedi na Ndayishimiye wamechoka Kuishi

    Nasikia kuna Rafiki yao Mwingine 'Taifa Nafiki Nafiki' la Afrika Mashariki nao Kisirisiri watakuwa Wanawasaidia Congo DR na Burundi katika Kuipiga Israel ya Afrika ( Rwanda ) ya Military and Intelligence Genius Rais Paul Kagame hivyo GENTAMYCINE nachukua nafasi hii Kuwaonya kwani hawatoamini kwa...
  4. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Katavi siyo salama. Kuna kikundi kinaitwa "Damu Chafu" ambacho kinafanya mauaji, ni hatari sana!

    Baada ya Salam. Ndugu zetu Watanzania wenzetu kwanza tunaomba Dua zenu. Huku Katavi Kuna mauaji sana mpaka inatisha. Karibia Kila wiki kuna mtu anauwawa kwa kuchomwa na visu. Kunakikundi kinaitwa "DAMU CHAFU" hiki ni kikundi cha mauaji hatari sana. Leo kupitia Azam TV nimeona taarifa ya...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kuishi na Mchepuko mwaka 2024

    Kama unaye Mchepuko ni vizuri kujitambua kuwa unavyo ishi naye unatumia akili au umeshatekwa akili na kuwa hamnazo; Fuatilia yafuatayo; Ukishaona unagharamia mchepuko kuliko familia yako; Jua unastahili kupelekwa Mirembe ukatibiwe ugonjwa wa akili. Ukishaona unagharamia mchepuko kuliko wazazi...
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nashukuru Mungu mwaka 2023 nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Masaki japo ni chumba kimoja

    Nilizaliwa nikajikuta niko mitaa ya Chole Oysterbay, Mwaka 1988 kufumba na kufumbua roli aina ya Bedford limekuja nyumbani kutuhamisha kuelekea Tabata, huwezi amini mizigo haikufika hata nusu ya roli lile, enzi hizo watumishi ukihamia nyumba ya Serikali unakuta vitanda, magodoro, sofa, dinning...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi na majirani wenye maisha ya chini/ Duni

    Kuna uzi humu tuliwahi kuchangia jinsi majrani wanavyoleta tafrani ya mipaka kwa sababu ya maisha yao duni. Hivi na nyie mmewahi kukutana na adha hii ya kujenga kamjengo kako ka ndoto zako lakini majrani wakakuchukia tu sababu ya nyumba zao kuonekana ndogo na zisizo na hadhi km yako? Mimi...
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuishi kwa Mateso na Majuto Tanzania uwe hivi

    Utapata shida sana yaani uamue kuishi kwa kutumia akili? Utateseka na kila mtu atakushangaa sana na kukuoana kuwe wewe ni mtu wa ajabu sana maana haijazoeleka kabisa kwa watu kuishi kwa kutumia akili. Hata sisi wenye akili nyingi humu JF tunachukiwa sana na members wengine. Tunazodolewa kila...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Kama unaona Dar kuna foleni hamia kijijini

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo Jumatatu Desemba 18, 2023 amesema kama kuna mkazi wa Dar es Salaam analalamika kuwapo kwa foleni katika jiji hilo, ahamie vijinini. “Kwa yeyote anayeendelea kulalamika mkoa huu labda una mambo mengi ikiwemo foleni, kuna vijiji vingi sana bado...
  10. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kutoa taarifa za covd 19 ,inaleta taharuki isiyo na sababu ,tulishakubali kuishi nao mtafukuza watalii kwa mambo ya hovyo!

    Huu ugonjwa hebu upotezeeni kabisa ,tulishakubali kuishi nao .kutuletea taarifa za covd ni kututisha na kuleta taharuki isiyo na tija hata inaweza kufukuza watalii kuja nchini achaneni na hizo stori tafadhali
  11. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Utawajengea wakwe zako nyumba?

    Kwa wengine ni kama mwiko kuwajengea wakwe nyumba. Lakini mimi sioni kama kuna ubaya wo wote ule kufanya hivyo, hasa kama hali ya kifedha inaruhusu. Kutaonekana na kasoro tu ikiwa utawajengea wakwe huku wazazi wako wa kukuzaa hujawatendea hilo. Kimsingi, wakwe zako ni wazazi wako, na wa kwako...
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Maisha ya kuishi kwa kuwaza msahara ni mateso

    Guys, Maisha hasa ya Watumishi wa umma kuishi wanawaza mshahara kila wakati ni mateso Sana. Baada ya kupata ajira waza sana kuwa na Uhuru Wa pesa yaani financial freedom Kwa kujifunza kuwekeza n.k Mfano unalipwa 700k baada ya makato yote how comes unashindwa kusave 150k Kila mwezi. Kama...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi unavyozidi kuwa tajiri ndivyo unaongeza muda wa kuishi chooni

    Matajiri wengi wanaishi zaidi zaidi bafuni na chooni kuliko kuishi kukaa sebuleni na chumbani. Miundombinu ya vyoo vya matajiri au hata hotel kubwa imewafanya matajiri kuishi chooni bila kujua . Chooni wanakaa, wanamaji ya moto, wana jakuzi, vifaa vya kunyolea , marashi nk. Hivyo ni jambo la...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Binadamu Mwenye Umri Mkubwa Kuliko Binadamu Wote Duniani ni Kane Tanaka, Mjapani Ana Umri wa Miaka 121, Atoa Siri ya Kuishi Umri Mkubwa

    Wanabodi This is C&P kutoka mtandao wa Quora. Story Time The Oldest Woman in the World Breaks Her Silence Before Her Death and Reveals Her Secret 2 years ago A video of a monk who was rumored to be 163 years old went viral a few days ago leaving people startled as a result some internet users...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Haya Kwa wale wanaotaka kwenda kuishi Amerika sikiliza hiyo video hapo chini

  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuishi kwa KK mbili ambazo ni kusikiliza na kutafakari

    Salaam JF, Hali ya ukimya wangu hivi karibuni katika jukwaa hili ni matokeo ya kuishi nadharia na vitendo katika KK mbili ambazo ni kusikiliza na kutafakari. Haijawa rahisi sana ila ndio hali halisi, sioni umuhimu wa kuainisha sababu, itoshe kusema naendelea kufurahia uamizi huu. Kila...
  17. Mhakiki

    JamiiForums Tanzania Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

    Wakuuu habari za usiku. Moja kwa Moja twende kwenye maada. Mimi kwa upande wangu mapungu yafuatayo kutoka kwa mama watoto wangu nimekubali KUISHI NAYO. 1. Kutopokea simu. Mke wa Mimi hapokei simu hata aione inaita hatashughulika NAYO Hadi amalize shughuli zake. Ukimpigia simu asipopokea...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kati ya nchi zinazotuzunguka, ipi ina mazingira rafiki kwa Mtanzania kuishi kitanzania?

    Nchi ambayo hata mtanzania akitoka huishi kijamaa (japo kiukweli hata Tanzania kuna ukabila kwa mbali). Nchi ambayo angalau kuna amani kama Tanzania Nchi ambayo waweza kuanzisha hata duka la mahitaji ya nyumbani bila bugudha nyingi endapo ukilipa kodi. Nchi ambayo suala la uchumba ama kuoana...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya kuishi na mpenzi (bila ndoa) au kufunga ndoa?

    Kuna scenarios nyingi ambazo kwa mtu mwenye uelewa anaweza jiuliza bila ya kupata majibu. Mfano; 1. Unakuta mwanamke amezaa na mwanaume watoto 3 na wanaishi pamoja ila mwanamke analalamika kwamba bado hajaolewa na anatafuta mwanaume wa kumuoa. 2. Mwanamke anaishi na mwanaume kwa zaidi ya miaka...
  20. Satirical Yet Awesome

    JamiiForums Tanzania Je, tunaweza kuishi kwa amani tukifatisha vitabu vyetu vya dini?

    According to the Koran; Koran 2;191 "Slay the unbelievers wherever you find them." Koran 3;28 "Muslims must not take the infidels as friends." Koran 3;85 "Any religion other than Islam is not acceptable." Koran 5;33 "Maim and crucify the infidels if they criticize Islam." Koran 8;12...
Back
Top Bottom