Kuishi na Mchepuko mwaka 2024

Hassanjk

Senior Member
Feb 24, 2023
168
379
Kama unaye Mchepuko ni vizuri kujitambua kuwa unavyo ishi naye unatumia akili au umeshatekwa akili na kuwa hamnazo;

Fuatilia yafuatayo;
  1. Ukishaona unagharamia mchepuko kuliko familia yako; Jua unastahili kupelekwa Mirembe ukatibiwe ugonjwa wa akili.
  2. Ukishaona unagharamia mchepuko kuliko wazazi wako kijijini; Jua tu wewe kichwani hamnazo
  3. Watoto wako wanafukuzwa shule kwa kukosa Ada huku uko bize na mchepuko, wahi mirembe ukatibiwe ugonjwa wa akili
  4. Watoto wanasoma shule za kata huku unatumbua na mchepuko; jua wewe hamnazo
Nyongeza;
  1. Ukiona Mchepuko haendi Msikitini/kanisani jua huyo ni Danga/M*laya!
  2. Mchepuko hataji chochote kizuri/positive kuhusu familia yako jua huyo ni Danga/M*laya!
  3. Mchepuko anadai hela tu kama ETM (kila siku anabadilisha tatizo) hilo ni Danga/M*laya!
  4. Mchepuko hawazii kujitegemea, kufanya chochote cha kumpa kipato; Danga/M*laya!
Angalizo: Mungu hapendi kabisa hii tabia ya Kuishi na watu ambao sio wake zetu hivyo kama unamchepuko, fanya utaratibu wa kumhalalisha awe mke wako au umuache kabisa ili ujiweke karibu na Mungu na kupata wakati mzuri siku za Mwisho!
 
Shida ni kwamba huwezi tambua hayo yote, labda mpaka mtu akuambie.
Mfano budget ya kutoka na mchepuko kwa kujibana
  • Lodge 50k
  • Chakula 30k
  • Usafiri 30k
  • Yeye utamuachia min 50k
  • Hapa kuna ambao wataanza kula bata kwanza unakuta vinywaji tu yaweza fika 100k
Jumla hapo 160k hiyo ela huwezi ona ni kubwa but ukiileta na kwa familia ni pesa ambayo wanaweza kula na kujigalagaza mwezi mzima kama siyo nusu mwezi, but unaispend kwa siku moja.
 
Shida ni kwamba huwezi tambua hayo yote, labda mpaka mtu akuambie.
Mfano budget ya kutoka na mchepuko kwa kujibana
  • Lodge 50k
  • Chakula 30k
  • Usafiri 30k
  • Yeye utamuachia min 50k
Jumla hapo 160k hiyo ela huwezi ona ni kubwa but ukiileta na kwa familia ni pesa ambayo wanaweza kula na kujigalagaza mwezi mzima kama siyo nusu mwezi, but unaispend kwa siku moja.

Kama umeacha mke nyumbani na unafanya haya, unastahili kupelekwa Mirembe kwa uchunguzi wa akili!
 
Shida ni kwamba huwezi tambua hayo yote, labda mpaka mtu akuambie.
Mfano budget ya kutoka na mchepuko kwa kujibana
  • Lodge 50k
  • Chakula 30k
  • Usafiri 30k
  • Yeye utamuachia min 50k
Jumla hapo 160k hiyo ela huwezi ona ni kubwa but ukiileta na kwa familia ni pesa ambayo wanaweza kula na kujigalagaza mwezi mzima kama siyo nusu mwezi, but unaispend kwa siku moja.
We nae sio mjanja kama mchongo ni nyege tu hyo ya lodge tu inacover kelele zote ulizoandika hapo
 
Mungu angeruhusu na sisi wakristo kihalali kabisa tuwe na wake wawili(angalau), mke mmoja ni adhabu kwa afya ya akili ya mwanaume.

Hoja zako zote nazikubali, nadhani wadau watazipotisha. Family first.
 
Shida ni kwamba huwezi tambua hayo yote, labda mpaka mtu akuambie.
Mfano budget ya kutoka na mchepuko kwa kujibana
  • Lodge 50k
  • Chakula 30k
  • Usafiri 30k
  • Yeye utamuachia min 50k
Jumla hapo 160k hiyo ela huwezi ona ni kubwa but ukiileta na kwa familia ni pesa ambayo wanaweza kula na kujigalagaza mwezi mzima kama siyo nusu mwezi, but unaispend kwa siku moja.

Watu wanataka pilika pilika za micheps...

Kuepuka hizo gharama, unapata mcheps anapangiwa chumba, kodi laki 1...
 
Kuna mchepuko wangu wiki jana, eti anaomba ale kuku..nikajiulizaa nyumbanj kwangu nimeacha mate mbele na dagaa halafu huku ng'ombe anatak kula kuku...aiseee nilimwambiaa wiki ijayo ntakununulia ambayo ni jana. Akanikumbushaa jana nikamwambia hela hio nimenunua kuku mke wang na family yangu..hajanitafuta mpk sasa..😆
 
huyo sio mchepuko wako
 
Hapo kifupi umeamua kuachana naye, ni hatua nzuri
 
Back
Top Bottom