Maisha ya kuishi kwa kuwaza msahara ni mateso

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,004
45,514
Guys, Maisha hasa ya Watumishi wa umma kuishi wanawaza mshahara kila wakati ni mateso Sana.

Baada ya kupata ajira waza sana kuwa na Uhuru Wa pesa yaani financial freedom Kwa kujifunza kuwekeza n.k

Mfano unalipwa 700k baada ya makato yote how comes unashindwa kusave 150k Kila mwezi.

Kama tatizo hauna financial education jitahidi umtafute mentor mzuri akutoe huko katika uhaba na kuwa broke

Umasikini sio mzuri , hata Mungu hapendi sisi tuwe masikini.

Kuwa Mchumi sana and GOD will save you
 
Guys , Maisha hasa ya Watumishi wa umma kuishi wanawaza mshahara kila wakati ni mateso Sana.

Baada ya kupata ajira waza sana kuwa na Uhuru Wa pesa yaani financial freedom Kwa kujifunza kuwekeza ...
Inspiration speakers

Haya yote akina Dr Mwigulu, akina Beno Nduru, Akina Prof Mkumbo wanayajua.

We dogo maliza shida zako kwanza usijifanye mshauri.

Hizo ajira watu wanazililia mtaani.

Makonda amepumzika Miama miwili tu nje ya ajira pamoja na kuwa ni Bilionea na karudishwa ameshukuru sana.
 
Guys , Maisha hasa ya Watumishi wa umma kuishi wanawaza mshahara kila wakati ni mateso Sana.

Baada ya kupata ajira waza sana kuwa na Uhuru Wa pesa yaani financial freedom Kwa kujifunza kuwekeza...
WATUMISHI WOTE HASA WA KIPATO KISICHOKIDHI MAHITAJI HAYO NDIO MAISHA YAO YA KILA SIKU

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
kwamba unalipwa 700k unasevu 150k

hapa umetoa kodi,chakula,afya,usafiri,wategemezi,dharula.bila kuhusisha kabisa starehe,maana hakuna starehe utaifanya kwa mshahara huo lazima utuibie kazini.

nimekutana na watu watumishj wenye uhuru wa kifedha,lakini hawakuupata kwa kusevu.
walikopa wakachanga karata vyema.
waliwahi kuiba kazini kiasi flani cha fedha.
walipata mtaji kutoka kwenye mirathi au migao.

asikwambie mtu,kusevu pesa ni kauli ya kisiasa sana,utatafuta kwanza uhuru kwa kipato nje ya mshahara ndipo uweze kusevu huo mshahara,vinginevyo hakuna uwezekano.

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Naunga hoja
 
Back
Top Bottom