Picha: Unaweza kuishi kwenye hii nyumba?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Kwenye maisha kila mtu ana uchaguzi wa mahali pa kuishi, kwa jinsi unavyoona utaweza kuishi kwenye nyumba hii?

20240115_180412.jpg


20240115_180416.jpg


20240115_180420.jpg
 
Huyu bwana anataka ajenge nyumba kama hii hivyo anapima wazo lake yupo sahihi,basi bwana Mjanja we jenga tu ila kama uko daslamu hakika utakua kama hindi la kuchoma lile joto la daslamu na kibanda hiko majirani watasikia harufu ya mishkaki kumbe ni wewe unaungua tu ndani kwako mwenyewe
Nimekuwa south africa muda kiasi,tena sasa hii si ile shack niliyowahi kuishi,hii ni appartment kabisa, kwa mabaharia wa nchi kavu huu ni mjengo kamili,na unavimba kabisa.
 
Back
Top Bottom