Haya ndiyo makundi yanayoongoza kwa kuwafunza wanawake kuwaandaa waweze kuishi kwenye ndoa

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Jamii zinazoendelea kufunza wanawake kitamaduni, kwa wale tulioweza kuzaliwa kabla ya 90s tuliweza kujionea kina mama wengi waliofundishwa na mama zao kitamaduni jinsi walivyoweza kuzimudu ndoa zao., kwa sasa huu utamaduni umekuwa adimu sana wazazi wanajali mtoto asome elimu ya darasani tu ila ukibahatika kumpata aliepikwa kwa style hii basi kuna uwezekano mkubwa (sio guarantee) akatimiza majukumu aliyofundwa

Mabinti wa dini ya kiislam hasa wale ambao hawajalelewa mazingira ya uswazi, hawa kwa utamaduni wao mama zao, mashangazi, n.k. huwa wanawafunza tangu wadogo waweze kuijua nafasi ya mwanaume na kujua namna ya kuishi nae, ukibahatika kumpata ambae anafata mafundisho aliyopewa hutapata stress za kuanza kupigishana kelele kuhusu kupika, kufuliwa, kupashiwa maji, n.k.

Wakristo wanaofunzwa kitamaduni, makanisani kutokuwa na mafundisho maalum ya kuwaanda mabinti wa kike kuweza kuishi kwenye ndoa ama kujua namna ya kuishi na wanaume kumekuwa pigo zito sana, hapa, kwa kukosa maarifa haya wanawake hujijengea sheria vichwani kwamba wapo sawa na wanaume ndani ya ndoa, hutaka wanaume wafanye majukumu ya mwanamke, n.k. ila ukimpata ambae kalelewa kwenye familia ambayo mama ama mlezi anamfunda kitamaduni hutopata shida sana.
 
Back
Top Bottom