Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,745
Utapata shida sana yaani uamue kuishi kwa kutumia akili? Utateseka na kila mtu atakushangaa sana na kukuoana kuwe wewe ni mtu wa ajabu sana maana haijazoeleka kabisa kwa watu kuishi kwa kutumia akili.
Hata sisi wenye akili nyingi humu JF tunachukiwa sana na members wengine.
Tunazodolewa kila sehemu na wanatuona kama ni watu wa ajabu si wa kawaida. Asilimia yetu sisi ni ndogo. Tupo wachache sana humu JF na DUniani hasa Tanzania. Ni wakati ambao nasi tunapaswa tutambuliwe na haki zetu za msingi za kutafakari, kufikiri na kutumia ubongo na akili zitambuliwe.
Msitunyanyapae na kutufanya tuishi kama vile sisi ni Aliens. Hatukupenda kuzaliwa na akili nyingi katikati yenu.
Hatukupenda kuwa na uelewa mkubwa wa mambo imetokea tu. na wakati mwingine tunatamani tungeishi nchi ambazo serikali zake zinawatambua wetu wenye uelewa mkubwa na kuwapa nafasi za kujenga nchi. Imekuwa kinyume kwa hapa nchini.
Kuna jamaa zangu wanasema kabisa kama ningekuwa nchi za watu wenye akili ningeweza kuwa hadi Rais wa nchi . lakini huku Tanzania ni kinyume. wenye akili ni wachache kuliko wasio nazo. Na hawa wasio ndo wanapiga kura kuchagua Rais na Wabunge....
Naona jinsi gani watu wananishangaa humu JF wanaona kama naandika mambo ambayo nilipaswa niwe nawaandikia watu wa nchi za kwanza duniani. Siyo hizi za tatu. lakini nitafanyaje ndugu zanguni. Naishi kwa mateso kila nikisoma wanachosema viongozi na watu mbalimbali naona kama vile nilikosea sana kuzaliwa nchi hii. Tuvumiliane tu sisi mbona tunawavumilia na ninyi mpo wengi sana?