kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Kamwe Mfugaji hawezi kuishi pamoja na Mkulima. Maisha hayawaruhusu

    ✍#GMdadisi Sijui ni lini WAFUGAJI na WAKULIMA watakuja kuelewana na waishi pamoja bila kuwa na migogoro wala chuki. Nadhani hii yaweza kuwa ni ndoto nzuri ambayo haitakuja kushudiwa katika kizazi hiki. Bahati mbaya sana ukimsikiliza mfugaji analalamika kuonewa na mkulima. Vivo hivyo mkulima...
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Picha: Unaweza kuishi kwenye Chumba hiki?

    Chumba chenye open Maliwato...!
  3. Half american

    JamiiForums Tanzania Kama hujawa tayari kuishi na kuiheshimu ndoa yako ni bora ubaki peke yako na uhuru wako

    Tazama Hapa tukio la FUMANIZI la jamaa mmoja ambaye alifanikiwa kumfuma mke wake wa ndoa akijivinjari na mwanaume mwingine nyumba ya jirani. Angalizo: Punguza Sauti Kama upo kwenye watu wengi https://www.instagram.com/reel/C5pbVlzIiGv/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg== Kama mtu hujawa tayari kuitumikia...
  4. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kama kijana nawezaje kuishi kwenye misingi ya dini(mlokole)

    Kuna wakati unafika unatamani kuishi katika misingi ya imani lakini ujana ni kama unakwamisha. Changomoto kubwa ni vishawishi vya uzinzi na ulevi nawazaga sana vijana waliokoka wanawezaje kushindana na dhambi ya uzinzi na ulevi tena katika mji ambao wanawake wanavaa vimini na suruali za kubana...
  5. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

    Nimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona kabisa huyu naenda kufanya nae maisha, yaani mtoto ni mweupeee waarabu flani wa kasulu huko. Lakini...
  6. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Binadamu anaweza kuishi bila dini ikiwa anafahamu mwanzo na kusudi la mwisho la kuwepo kwake

    Hii ni kwa Kiranga na mshamba_hachekwi , naomba maoni yenu 🤔 Dini lengo lake kuu ni kuwaunganisha watu kuwa katika udugu mmoja kwa ufunuo wa chanzo kimoja cha asili, lakini dini imekuwa tofauti imekuwa uwanja wa ubishani nani yupo sahihi? Lengo la jumla la dini halipo ila lipo lengo la...
  7. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Nchi hatari zaid kwa binadamu kuishi duniani! China, Iran & Saudi arabia

    Hizi ni nchi hatari zaidi kwa watetezi wa uhai.Hunyonga mamia kwa mamia kila mwaka. China watu zaidi ya 1000 kwa mwaka Iran watu zaidi ya 500 kwa mwaka Saudi Arabia watu zaidi ya 150 kwa mwaka. Makosa ikiwa ni wanasiasa wa upinzani,madawa,ushoga ,Rushwa na uhaini IRAN pia ilinyonga watu...
  8. Kasiano Muyenzi

    JamiiForums Tanzania Mwanandoa hapaswi kuishi mbali na mwenza wake

    Hii inawahusu wale ambao mume anaishi mkoa tofauti na mkewe kwa sababu za kikazi. Sio vyema kuishi namna hiyo. Ikiwa hamuishi pamoja kama wanandoa, mtakuwa na uaminifu kwa ndoa yenu kwa muda mfupi tu, baada ya hapo mambo yataanza kubadilika. Mwili utakusukuma kwenye ukuta, utaanza kutaniana na...
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wanyama 9 wanaoweza kuishi bila Chakula wala maji kwa muda mrefu

    Chakula ndio chanzo kikuu cha nishati kwa mwili wetu kufanya kazi vizuri. Chakula pia huongeza usagaji chakula huku kikiipa nguvu mifupa, misuli na mishipa ya fahamu. Ikiwa hatutakula, tunaweza kuwa na hasira na upungufu wa maji mwilini. Wanadamu hawawezi kuishi bila chakula na maji kwa siku...
  10. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mtoto kawa na tabia isiyonipendeza baada ya kuishi mbali na mimi kwa miezi 3 tu

    Habari za humu wandugu, natumai wengi wenu hamjambo, Mimi ni yule yule ndugu yenu niliyekimbia umande kusoma sikuona dili, Kuna Uzi niliuletaga humu nikijisifia kuwa nimeweza kumlea mwanangu au kumfundiasha kuwa na tabia nzuri akiwa tu na Miaka miwili, Sasa kuanzia mwezi wa 11. 2023...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Binafsi siwezi kuishi na mtu anayeenda kwa Waganga wa kienyeji na Mchawi

    Habari Wakuu! Watibeli ni bora tufe lakini kamwe hatuwezi kuwafuata waganga au wachawi. Ushirikina na uchawi kwetu ni kama kosa la mauaji, au kosa la usaliti. Binafsi siwezi ishi na mtu ambaye anapenda mambo ya kishirikina, anaenda kwa waganga, au anadalili za uchawi uchawi. Mke akijihusisha...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kuna sehemu hatari kuishi kama South Africa?

    mwezi wa 10 last yeakr niliingia south Africa. Ila February nikarud bongo nilifanikiwa kutembelea mikoai karibu yote South Africa kimaendeleo imezidi nchi nyingi sana za ulaya ,Asia ,na america yaani south Africa ipo mbali san kiuchumi. Tatizo Ina raia wenye hasira sana mara nyingi ni watu...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kuishi Dodoma

    Habari ndugu wana jukwaa, naomba kwa wazoefu wa Dodoma hasa maeneo ya Chidachi, Makulu, Mkonze na Kikuyu, mnisaidie natafuta nyumba ya kuishi, walau iwe na vyumba viwili na sebule, choo, jiko, maji, umeme. Bajeti yangu haizidi 200k
  14. Jason Bourne

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

    Nimestushwa na kuogopa tena nikalazimika kuisoma Katiba ya Zanzibar mara mbili. Leo Waislamu wa Zanzibar wanawavamia na kuwapiga vibaya Wazanzibar wenzao ambao sio Waislamu kwakuwa tu wanakula kwa mama lishe mchana mda ambao wale waislamu wanakuwa wamefunga. Vipigo vimeenea kila kona ya mji wa...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mama na Baba kuishi Pamoja ni rahisi kuwasaidia na kuwahudumia kuliko Wakitengana.

    MAMA NA BABA KUISHI PAMOJA NI RAHISI KUWASAIDIA NA KUWAHUDUMIA KULIKO WAKITENGANA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Fainali ya uzeeni naiona kwa wengi ikiwapiga Knockout Matata. Kuna kilio cha mbuzi Mee naliona kinakuja kwa waliowengi. Nilisema, wewe kama kipato chako upo chini ya milioni...
  16. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

    Mimi ni kijana ambae nina mshukuru sana Mungu tokea nimezaliwa hadi hapa nilipofikia, watu wamenisaidia na bado wana nisaidia. Kuna Muda huwa nina kufuru au kukana kutkukubaliana na uwepo wa Mungu😭 hii ni kutokana na asilimia kubwa ya matarajio yangu tokea nikiwa mdogo hayakuwahi kutimia...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtu yoyote aliyewahi kuishi na mwanamke/mwanaume na kuunda familia Hawezi kuwekwa katika Kundi la Kataa Ndoa

    Kwema Wakuu! Vijana wa siku hizi wamechanganyikiwa mno. Hata vitu vidogovidogo kama maana ya maneno au dhana hawajui. Mathalani, Neno "Ndoa". Kuishi na mwanamke au mwanaume kiunyumba kwa lengo la kuunda familia ndio tafsiri sahihi ya Ndoa. Ndoa ni makubaliano ya mwanaume na mwanamke kuishi...
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Anataka kuchagua sehemu ya kuishi kati ya hizi mbili

    Hataki tena ushauri.....
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mwezi mtukufu wa Ramadhan ndio maisha ya kuishi kila siku

    Kila inapofika mwezi wa Tisa kwenye karenda ya Kiislam (hijria), Waislam ulimwengu mzima uingia kwenye mfungo wa Ramadhani. Huu ni mwezi ambao, tumefaradhishiwa Swaum na MwenyeziMungu kama tunavyosoma kwenye aya hii: "Enyi mlioamini mmelazimishwa kufunga (swaumu) kama walivyolazimishwa...
  20. Majighu2015

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya usaliti

    Hivi ikitokea mchumba/mke amekusaliti na ukaamua kumsamehe, unawezaje kurudisha uaminifu na maisha yakaendelea? Kwa wale mliopona na kuamua kusamehe na kuendelea na maisha tupeni uzoefu wenu. Kwa uzoefu wangu naona hilo swala halitoki akilini mana nawaza kwa nini mtu ninayempenda aliamua...
Back
Top Bottom