kuingia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtakaoenda Uwanjani kwa Mkapa kabla na baada ya kuingia ndani tukutaneni pale Baa ya Minazini tujuane tafadhali

    GENTAMYCINE nitafurahi mno nikiwaona wana Simba SC Wenzangu wa hapa JamiiForums. Nitakuwa nimekaa na Wachezaji Wastaafu ( wa zamani ) wa Simba SC ambao Fainali ya 1993 Uhuru Stadium mbele ya Rais Mstaafu Mzee Mwinyi tuliyosalitiwa na Azim Dewji walikuwepo na Mmoja wao ana Mwanya na alikuwa...
  2. Mchele tani 130 wapigwa marufuku kuingia sokoni, TFDA yataja sababu

    Tani 130 za mchele wa Kampuni ya Sahal General Store Zanzibar zimeharibika moja ya sababu ikidaiwa ni kukaa kwenye makontena bandarini muda mrefu bila kushushwa. Tani hizo zimebainika leo Machi 11, 2023 baada ya kampuni hiyo kuhisi kuharibika kwa mchele huo na kutoa taarifa kwa Wakala wa...
  3. Mbowe aitaka CCM iweke mfumo wa kudhibiti viongozi wanaoweza kuingia Serikalini, atao mfano ANC inavyoweza kumng'oa Rais

    Mbowe akitolea mfano chama cha ANC kinaweza kumng'oa kiongozi hata kama tayari yuko Ikulu, ameitaka CCM pia iwe na mfumo huo akilalamikia tabu ambazo wapinzani wamepitishwa miaka michache iliyopita na kuitaka CCM badala kuwalinda hata wanaofanya dhambi ya wazi. Mbowe amesema ameamua kufunguka...
  4. Chris Brown ahojiwa na Polisi kwa vurugu zilizotokea baada ya kuingia Klabu

    Polisi wa England wamemhoji Star huyo wa R&B kutokana na vurugu zilizotokea kwenye Klabu ya Usiku ya 'Tape' jijini London ambapo Watu walioambatana naye walipigana na Walinzi wa Klabu na kusababisha Mtu mmoja kujeruhiwa kwa Chupa Kichwani na kukimbizwa Hospitali. Chris Brown anayeendelea na...
  5. Naomba kujuzwa juu ya makampuni ambayo ni rahisi kuingia nayo katika busines venture!

    In short nina eneo ambalo ni very potential kwa biashara ya apartment's, lengo ni kupata mbia atakaye jenga jengo la ghorofa labda 15, yeye akachukua ten floors, akanipatia 5 floors, tukamalizana mazima, ten floors tittle kwa jina lake, na 5 floors zikawa titled kwa jina langu, Je venture, au...
  6. Tuwe wakweli, kuna timu dhaifu inaweza kuingia kwenye ligi ya makundi CAF?

    Kuna mbumbumbu Tanzania hili halipingi, leo Nina swali moja tu, naomba nielimishwe mchakato unaopitia timu mpaka kufika kwenye makundi ni UPI? Tukishaujuwa mchakato huo tueleza ukweli je kuna timu dhaifu unaweza kutobowa kufika makundi? Kama jibu ni ndio turudi kwetu tujiulize Simba na Yanga...
  7. Mkanganyiko wa biashara ya kamari: Mitandao vs vyombo vya habari

    Tuliandika, tunaandika na tutaandika tena na tena lakini ni kama mamlaka zimetiwa upofu machoni na kuweka nta masikioni.. Ni wazi kuna mfaidikaji/wafaidikaji bila kujali madhara makubwa ya baadae Nilikaa kwenye hii biashara kwa mwaka mzima... Haya ndio niliyaona Ni biashara ya faida kubwa Ni...
  8. Utaratibu wa kuingia stendi ya Magufuli kwa Kadi walalamikiwa kuchelewesha abiria

    Zikiwa zimepita siku mbili tangu tangu Manispaa ya Ubungo, ianze utaratibu mpya wa kuingia na kadi katika stendi ya mabasi ya Magufuli, mfumo huo umelalamikiwa kuchelewesha abiria, huku baadhi ya madereva nao wakilalamikia ucheleweshaji wa safari zao. Hatua ya matumizi ya N- Card yalianza...
  9. M

    Je, ulitumia mbinu gani kuingia kinyemela shuleni na kitu kisichotakiwa?

    Kuna dogo anasoma shule zenu za kishua ila zenye mitambo ya kukagua na ina walimu wanoko ila kaingia (kazama) getini na bangi na simu bila kugunduliwa na najua muda huu wa saa 4 kuelekea saa 5 ndiyo huwa mida yake ya kuvuta na kutupigia simu sisi washkaji na kaka zake wa mtaani tupige story...
  10. Abiria kulipa ushuru kwa kadi getini Stendi ya Magufuli hata kama ana tiketi

    Manispaa ya Ubungo, imeanzisha utaratibu mpya wa kuingia na kadi katika stendi ya kimataifa ya mabasi ya Magufuli ili kudhibiti upotevu wa mapato kwa abiria wanaoingia katika kituo hicho kilichopo Mbezi Luis. Hatua ya matumizi ya N- Card iliyoanza leo Jumatatu Februari 20, 2023 imelenga pia...
  11. Watanzania tunapenda kulalamika sana wakati ni waoga wa kupindukia kuingia barabarani

    Imagine Lissu alipigwa lisasi tena 32 na Mungu akamkingia kifua yule mwovu akaaibika akafa yeye lakini hakuna mtanzania hata mmoja ambaye alionesha kukerwa na jambo lilo kwa angalau kuonesha demonstration barabarani au kulaani tu. Eti Leo Lissu anapambana na maisha yake wanashangaa kwamba...
  12. Bosi wa Toyota ajiuzulu kupisha mabadiliko ya kampuni kuingia kwenye Magari ya Umeme

    CEO na Rais wa Toyota Group ametangaza kuachia nafasi yake ya kuisimamia Toyota. Akio Toyoda ni mjukuu wa muanzilishi wa Toyota - Kiichiro Toyoda. Akio amekuwa President na CEO tangu mwaka 2009 hivyo amekuwa kiongozi mkuu wa kampuni hiyo kwa miaka 14. Akio alikuwa Man of Year wa mwaka 2012...
  13. R

    Ukweli usiopingika: CHADEMA ndicho chama kinachozuia Upinzani kuingia Ikulu. Watanzania tujitathmini kabla ya 2025

    Habari JF, Kuna kitu hakiko sawa katika siasa za Tanzania. Kama ilivyo kwa viongozi na wanachama wakongwe wa vyama vya upinzani wengi wao walitoka CCM. Kwa kipindi hicho kuunda kwao vyama vya siasa ilikuwa ni kuhakikisha kuna mfumo wa vyama vingi na SIO KUCHUKUA NCHI, hivyo viongozi hao...
  14. Hivi ishakutokea ukachepuka au kujaribu kuingia kwenye mahusiano baadae yakakung'ang'ania

    Kuna wale vijana na kuendelea mpaka uzee unasema acha nichepuke au kujaribu ili mradi tu nifurahishe au nimempeda kwa tamaa tu mambo yakawa mengine mpaka ukatamani kukimbia. Miaka ya nyuma nilishawahi kuchepuka na ka dada kanajiuza, ilikuwa lengo langu na mimi ni suuze roho ndio kosa lilipo...
  15. Ndugu yangu anataka kwenda kutafuta maisha Uingereza kwa gia ya kuingia kama mkimbizi. Je, atafanikiwa?

    Habari zenu ndugu, Nina ndugu Yangu anafikiria kwenda kutafta maisha Uingereza kwa kufata taratbu zote yan kwa passport, visa na kila kitu, ila njia anayotaka kuitumia ni kwanza kuhakikisha anafika katika kambi ya wakimbizi huko uingereza. Chengine ni kuwa amesoma na ana degree yake ya uhasibu...
  16. Je, katika ujana wako umewahi kuingia na Demu chumbani, ghafla mashine ikagoma kusimama. Ulifanyaje? Maada hii ni kwa wanaume tu

    Morning wakuu! Kumekuwa na stori nyingi za vijana wakati tukisoma secondari na vyuo ,anamtokea Binti mkali na anamfatilia kwa muda mrefu hata miezi 2 na zaidi lakini ikitokea siku bint amekubali kuja kuliwa, amefika gheto/ room ghafla Hofu na Ile mstuko unafanya jogoo likatae kupanda mtungi. Je...
  17. L

    China kuboresha hatua za kuingia na kutoka kutaleta msukumo mpya kwa biashara kati yake na Afrika

    Hivi karibuni, serikali ya China imeboresha na kurekebisha hatua za kukabiliana na virusi vya COVID-19 kulingana na wakati na hali. Kuanzia Januari 8, watu wanaokuja China watapimwa virusi saa 48 kabla ya kuondoka, na wale wasioambukizwa wanaweza kuja China. Hatua hii itaandaa mazingira bora...
  18. Kim Jong-un taratibu anaendelea kujipenyeza kwenye mzozo wa vita ya Ukraine, haingilii ki-maneno matupu tena bali sasa anaanza kuingia mzima mzima!

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kusini imesema inalaani hatua ya Korea Kaskazini kupeleka silaha kwa kampuni binafsi ya kijeshi ya Urusi ya Wagner Group. Wizara hiyo imesema leo pia inaunga mkono shinikizo la Marekani kuliwasilisha suala hilo mbele ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa...
  19. C

    Polisi Temeke imarisheni ulinzi muda huu katika tamasha la Vuka na Chako kwani walioshindwa kuingia Wanaporwa na Vibaka

    Mbele ya Msikiti unaotizamana na Petro Station iliyo Jirani na Mgulani Barracks kuna Vibaka hapo na wakipora wanakimbilia kule Makaburini. Kwingineko ni huku kama unakuja ilipokuwa TCC kuelekea Kona ya Keko kuna Kipande hapo kina Giza Watu Wanaporwa. Tafadhali kwakuwa Uwanja umejaa mpaka...
  20. Majirani wazuia jeneza la kijana kuingia kwa wazazi wake

    Wananchi wa Mtaa wa Maganga, maeneo ya Nurulyakini, Temeke, Dar es Salaam wamezuia mwili wa marehemu Pius Beda maarufu Stahimili (32) kuingia nyumbani kwa wazazi wake, kuonesha hasira zao kwamba wazazi hao walishindwa kumhudumia alipokuwa hai. Kijana huyo alikutwa amekufa kwa kujinyonga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…