Hamas wajibu sababu ya kuteka na kuua raia wa kigeni: Inatuma ujumbe taifa haramu la Israel sio salama kuingia

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,837
Screenshot_20231218-171940.png

Kundi la Hamas limejibu kuhusu shutma mbalimbali zinazotolewa kwa kundi hilo kuwa limeua raia wa kigeni ambao hawahusiki na mgogoro wake na Israel

Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia wa nchi nyingine wasiwe wanaendelea kukaa huko,

Msemaji wao ameongeza kuwa raia wa kigeni kwenda Israel kwa ajili ya shughuli yoyote ni kama anaunga mkono taifa hilo haramu na hivyo naye ni muhusika kwenye vita yao isiyoisha dhidi ya Israel
 
Wanadhani kila Raia wa kigeni anaifahamu kwa undani historia ya mgogoro wao na israel. Humo humo israel kwenyewe kuna wasioiunga mkono hiyo vita.

Mbona hatukusikia wameteka ama kuwaua wapalestina waliokuwa wakiishi israel? Kitendo cha mtu kuwepo israel hai justify hicho wanachowafanyia.

Hawana akili ndiyo maana wametoa sababu ya kipuuzi sana isiyokuwa na mashiko.
 
View attachment 2846212

Kundi la Hamas limejibu kuhusu shutma mbalimbali zinazotolewa kwa kundi hilo kuwa limeua raia wa kigeni ambao hawahusiki na mgogoro wake na Israel

Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia wa nchi nyingine wasiwe wanaendelea kukaa huko,

Msemaji wao ameongeza kuwa raia wa kigeni kwenda Israel kwa ajili ya shughuli yoyote ni kama anaunga mkono taifa hilo haramu na hivyo naye ni muhusika kwenye vita yao isiyoisha dhidi ya Israel
Waangamizwe tu hao HAMAS.
 
Kwa hiyo kauli yao, hao magaidi hawaoni wamejigeuza kuwa maadui na nchi zote zenye raia wao ndani ya Israel?

Ajabu kuna wajinga wanaotetea ushetani unaofanywa na hawa magaidi, wakati wao wenyewe wanakiri kuua raia wasio raia wa Israel, tena wasio na hatia.

Hamas ni kundi lenye wanachama wajinga sana. Kutumia utetezi ukiwemo Nyerere kuwaunga mkono Palestina, Nyerere niliyemjua angewalaani hawa wahuni mchana kweupe, kama alivyowaunga mkono hao Palestina, hakuwa mnafiki.

Au kusema Vita ina "collateral damage", na mwingine wowote ni ujinga mtupu, mbona hatujaskia Israel wakiwaua raia wasio wa nchi yao kwa makusudi kama wafanyavyo Hamas?

- Kwanini hao magaidi wa Hamas wasiwe wanatoa ultimatum, kwa raia wasio wa Israel kuondoka kabla hawajaanza kuwateka na kuwaua?

Huo utetezi wa collateral damage unathibitisha Hamas ni wendawazimu, ningeuelewa kidogo endapo bomu lingetupwa sehemu liue mpaka raia wasio husika, lakini sio kuwachagua kabisa, kisha kuwapiga risasi individually. Never.

Hata kama mnasema vita haina macho, lakini mtambue wanaoipigana wana macho, tusifiche maovu ya hao wahuni kwa sababu zozote, wakemewe.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2846212

Kundi la Hamas limejibu kuhusu shutma mbalimbali zinazotolewa kwa kundi hilo kuwa limeua raia wa kigeni ambao hawahusiki na mgogoro wake na Israel

Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia wa nchi nyingine wasiwe wanaendelea kukaa huko,

Msemaji wao ameongeza kuwa raia wa kigeni kwenda Israel kwa ajili ya shughuli yoyote ni kama anaunga mkono taifa hilo haramu na hivyo naye ni muhusika kwenye vita yao isiyoisha dhidi ya Israel
KWANZA CHAPISHO ULILOWEKA LIPO NJE YA MADA..
NA HIYO HAIWI SABABU YA MDOGO WANGU MOLLEL KUUAWA NA KISASI KINAENDELEA KULIPWA NA IDF HUKO GAZA NAONA KUPITIA AL JAZEERA TV...
NB: TAIFA HARAM KWA WAARABU NA WAISLAMU...ILA KWA WAKRSTO WA MADHEHEBU YOTE NA WAYAHUDI NI TAIFA LILILOBARIKIWA
 
Wanadhani kila Raia wa kigeni anaifahamu kwa undani historia ya mgogoro wao na israel. Humo humo israel kwenyewe kuna wasioiunga mkono hiyo vita. Mbona hatukusikia wameteka ama kuwaua wapalestina waliokuwa wakiishi israel? Kitendo cha mtu kuwepo israel hai justify hicho wanachowafanyia. Hawana akili ndiyo naama wametoa sababu ya kipuuzi sana isiyokuwa na mashiko.
Umeongea pointi mkuu
 
Back
Top Bottom