kuingia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Tanzania wanalipishwa zaidi ya milioni moja kwa siku 90 wawapo Zambia; Watanzania wanalipa Visa kuingia DR Congo. Majirani zetu si wema

    Madereva wa Tanzania wanalalamika kwamba Zambia imewakataaa badala yake wanataka madereva wote wanaoingiza magari Zambia wawe RAIA wa Zambia. Dreva mmoja anatakiwa kuwa na siku 90 kwa mwaka, akizidisha siku 90 kwa mwaka anatakiwa kulipia si chini ya milioni moja na laki mbili ndipo aingize gari...
  2. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtazamo: Maandamano ya CHADEMA ya 24/01/2024 yaachwe ili lengo la Mbowe lisitimie

    Mbowe na CHADEMA wana lengo la kupeleka ujumbe duniani juu ya demokrasia ya Tanzania na watatumia maandamano kufikisha ujumbe huo. Kwa kuwa CHADEMA kinakabiliwa na kutokukubalika na wananchi wa hapa nchini hivyo wanaamini wakifanya jambo litakalochochea vurugu na ikitumika nguvu kudhibiti...
  3. JamiiForums Tanzania Upewe billion moja au free ticket ya kuingia mbinguni

    Una two options 1-upewe billion moja Leo Siku ya mwisho uende moton. Au 2-Free ticket ya kuingia mbinguni Siku ya mwisho.
  4. JamiiForums Tanzania Kama huna hela unaenda bar kufanya nini? Huo ndio mwanzo wa kuingia kwenye ushoga

    Baba jitu zima una zaaidi ya miaka 18, unendaje bar ukiwa hauna kitu? Unaenda bar unaanza kuombaomba bia kwa wanaume marijali wenzako, hùu ndio mwanzo wa kufanyiwa vitendo vya hovyo. Kama huna hela baki ndani mwako, na kama unataka kulewa chukua buku mbili kununue Smart Gin Rudi nyumbani...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga ikiingia robo fainali inaweza kuipaisha Simba katika rank za CAF na FIFA

    Huu unaweza kuwa uzi wangu wa mwisho kwa mwaka 2023 na nataka nimalize mwaka kwa ujumbe chanya. Wenye akili zao watausoma na yale watakayoona ni mazuri wataenda kuyafanyia kazi. Yanga na Simba bado wako kwenye mbio za kufuzu kwenda katika robo fainali ya klabu bingwa ya Afrika. Yanga hajacheza...
  6. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuingia kwenye Mahusiano tufanye uchaguzi wa Kina

    Naomba tujengane kwenye masuala ya mahusiano. Majuzi nilicheki uzi ambao watu wanasema kataa ndoa, wengine wanalaumu, wengine wanaponda ndoa na wengine wanazisifu, mimi binafsi nilijenga hoja zangu na watu wakadai nimewabomoa! Yaah! Sometimes inabidi tubomoe ili tujenge kitu imara zaidi. Fanya...
  7. JamiiForums Tanzania Jua lile literemke mama! Maisha ni mapambano hakuna budi kuingia vitani.

    Wakuu habari za uzima? Jua lile literemke mama ni moja ya nyimbo wengi wetu tuliokuwa tukiimba pindi tupo mchakamchaka shule. Hii nyimbo ilikuwa inatupa nguvu na hali mpya siku nyingine inapoanza. Leo nita share na nyinyi stori ya kaka yangu ni mtoto wa baba mkubwa Na kanizidi umri. Stori...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hamas wajibu sababu ya kuteka na kuua raia wa kigeni: Inatuma ujumbe taifa haramu la Israel sio salama kuingia

    Kundi la Hamas limejibu kuhusu shutma mbalimbali zinazotolewa kwa kundi hilo kuwa limeua raia wa kigeni ambao hawahusiki na mgogoro wake na Israel Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia...
  9. JamiiForums Tanzania Nataka kuingia kwenye siasa, nafikiria CCM ndio njia pekee rahisi ili kufika mbali

    Habari wakuu Ikiwa kama njia yangu ya kujipenyeza, hatimaye niwe kiongozi mkubwa kama ilivyo ndoto yangu, imenipasa niingie kwenye siasa, sina akili wala moyo wa kichawa, mzee ni chadema mkubwa, hata mimi ningefata njia zake ila naona hio njia ni ngumu. Kabla sijajisajili kwa uvccm ili...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna faida gani za nchi kuruhusu mataifa kuingia bila VISA?

    Nimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake. Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji? Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini? Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30? Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini...
  11. JamiiForums Tanzania Nashawishika kuingia kwenye uislamu kutokana na sheria za ndoa walizonazo

    Nahisi sheria hizo ndio chanzo kikubwa cha wanawake wengi wa kiislamu kuwa ni wenye maadili na wanaothamini sana ndoa zao. Sheria ya talaka inawabana sana, hawana namna zaidi ya kutumikia ndoa na kuheshimu waume zao Ndoa sio kifungo kwenye uislamu Ni kama vile walifahamu mapema kuwa wanawake...
  12. JamiiForums Tanzania Bilioni 2.15 za tigo, Mwana Fa huenda alizitumia kuingia kwenye siasa, Ay kawekeza wapi?

    Mwan a Fa na Ay waliwahi kuwashtaki Tigo kutumia nyimbo zao kwenye miito ya kupiga simu, Tigo waliwalipa bilioni 2.15 lakini kiuhalisia huenda walibaki na bilioni 1.5 (kila moja milioni 750), Huenda walimlipa mwanasheria wao Albert Msando milioni 150 na wazee wazito wakapiga mchinjo wa milioni...
  13. JamiiForums Tanzania Masharti ya Hamas kuanza kutekelezwa mwanzo.Malori 200 ya misaada kila siku kwa siku nne kuingia Gaza

    Katika orodha ya masharti ya kusitisha vita ni kuruhusiwa kuingia Gaza kwa malori 200 ya misaada mbali mbali yakiwemo kwa uchache malori 4 ya mafuta kila siku. Masharti hayo yatakayoanza kutekelezwa kesho Ijumaa saa moja asubuhi za Gaza itaanza kwa kutosikika risasi yoyote hewani halafu malori...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi wachezaji wanawezaje kuingia uwanjani bila utaratibu rasmi (kuruka ukuta) lakini mashabiki hawawezi?

    Kuna kitu huwa kinanishangaza sana katika karne hii ya 21 kila nikisikia kuwa wachezaji wa timu fulani (hususani Yanga na Simba) wamepigwa faini kwa kosa la kuingia uwanjani pasipo kupita kwenye geti rasmi la wachezaji (kuruka ukuta) na wakaingia uwanjani (pitch) na vyumbani. Maswali...
  15. JamiiForums Tanzania Wana Simba tususie kuingia Uwanjani kama Matola na Cadena Wataiongoza Simba mechi ya Asec

    Viongozi lazima wawe siliasi. Kulikuwa na mda wa kutosha kupata kocha mzuri. Na kama Mo amekataa kutoa Mpunga akitaka mumpe timu Mgunda sasa kwanini mzilie kwa kumwachia Matola. Matola kaachiwa timu mara ngapi kaishindwa. Kama wanampenda sana wampe u ceo tu. Kadena Toka aje kama kocha wa...
  16. JamiiForums Tanzania Hayawi hayawi huwa; Makomando wa IDF waanza kuingia kwenye hospitali, mpambano unaendelea

    Kila kitu kina mwisho wake, HAMAS waliofanya hospitali kuwa makao makuu yao ndio mwisho wao sasa, makomando wa Israel wameanza kuingia kiaina fulu mpambano....yaani movie. Israel’s military has said it was carrying out a raid against Hamas in al-Shifa hospital early on Wednesday, conducting...
  17. JamiiForums Tanzania Mbeya: Wahamiaji haramu 16 kutoka Ethiopia wakamatwa kwa kuingia Nchini bila kibali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia wahamiaji haramu 16 raia wa nchini Ethiopia, wote wanaume, umri kati ya miaka 18 - 53 kwa kosa la kuingia nchini bila kibali. Watuhumiwa walikamatwa Novemba 09, 2023 majira ya 2:00 asubuhi huko kijiji cha Kasumulu, Wilaya ya Kyela, wakati Askari wa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania CIIE yasaidia bidhaa za kilimo za Afrika kuingia katika soko kubwa la China

    Alfajiri na mapema kwa saa za Kenya, wakulima wa maua nchini humo walichuma waridi katika mashamba yao yaliyoko Naivaisha. Kutokana na ndege za moja kwa moja kati ya Kenya na China na njia maalumu ya forodha nchini China kwa bidhaa za Afrika, maua hayo yanaweza kufika mikononi mwa wateja wa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania CIIE ni jukwaa bora kwa nchi za Afrika zilizojiunga na BRI kuingia kwenye soko la China

    Kutoka mpunga chotara hadi nyasi za juncao, kutoka maeneo ya kielelezo ya kilimo hadi vijiji vya kielelezo vya kuondokana na umaskini... katika miaka ya hivi karibuni, China na Afrika zimeendelea kuimarisha ushirikiano wa kilimo kutokana na msukumo wa mifumo mbalimbali kama vile Pendekezo la...
  20. JamiiForums Tanzania Ninachokutana nacho kila nikijaribu kuingia kwenye mahusiano kinanifanya nahofia huenda nikabaki single hadi muda wa ndoa

    Naombeni ushauri wakuu. Leo pia nimeahirisha jaribio langu la kutaka kuingia kwenye mahusiano, hii ikiwa ni mara yangu ya nne sasa, na hiki ndio hupelekea mimi kukumbana na hali hii. 👉Msichana nayempenda na kudhamiria kumtongoza nakuja kugundua kuwa kuna mtu mwingne bora zaidi yangu (status)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…