kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded TAKUKURU chunguzeni Halmashauri ya Mji wa Kibaha pananuka wizi kuhusu ardhi

    Nawapa alarm TAKUKURU, Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani inanuka wizi wa fedha za wananchi kupitia urasimishaji wa makazi na upimaji wa viwanja katika kata mbalimbali ndani ya Mji wa Kibaha hasa, Kata ya Pangani kwenye mitaa ya Kidimu, Lumumba na Mkombozi. Kwanza awali wananchi...
  2. JamiiForums Tanzania Ukimya na Usiri wangu unanifanya nionekane Usalama wa Taifa

    Iko hivi 1. Mimi sinywi pombe, sigara wala siendi club hivyo sina sababu ya kwenda sehemu za starehe kama bar. 2. Sina ushabiki wa mpira, hivyo sina sababu ya kujichanganya kwenye stori za mpira au mabanda ya mpira. 3. Sina account ya mitando ya kijamii kama instagram, Facebook au Twitter, nk...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka kuzua taaruki kuhusu Afya ya Makamu wa Rais wapuuzwe sawa na wanaozusha kujiuzulu kwa KM CCM

    Kuelekea kikao cha Mkutano Mkuu wa CCm kuna propaganda zinaendelea zikisema Mzee Mpango anaumwa wakati huohuo zikidai KM CCM amejiuzulu Hawa watu wa tweeter wapuuzwe, tufike wakati tubaki na verified information tu. Tunapokuwa na viongozi wa kisiasa wanaoandika na kupost kila kinachovumishwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa Dar es Salaam nenda Mbagala katatue mgogoro mliouanzisha kuhusu soko la Zakhiem

    Mkuu wa mkoa umeonekana kwenye TBC 1 saa mbili usiku ukitoa shutuma kuwa wafanyabiashara wamefoji majina! Pamoja na udogo wao kimadaraka shutuma hizo si za kweli. Mkuu wa mkoa kabla ya soko la awali kubomolewa wafanyabiashara waliokuwepo manispaa ya Temeke iliwapiga picha kila mmoja kwenye...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Ujenzi

    Wakuu habari za wakati huu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Baada ya Kupambana na Mungu kuniwezesha kupata kiwanja. Natamani sana kwa mwaka ujao Mungu anisaidie nianze ujenzi. Ila ningependeza nianze na vyumba viwili kwanza (chumba na sebule) ili ni niweze kuhamia kwangu kwa kuwa bado...
  6. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo sikuwa nayafahamu kuhusu Israel kabla ya "Gaza war"!

    Kwa haya niliyofahamu,basi US na allies wake ni wanafiki wakutupwa na wamejaa double standards! Huu ndio ukatili wa Israel kwa wapalestina! 1.Israel ndio nchi pekee duniani ambayo watoto wanapelekwa mahakama za kijeshi na kuhukumiwa! 2.Israel Wana administrative detention,hii wanaitumia...
  7. JamiiForums Tanzania Mvua zinazonyesha haziingizi Maji kwenye Mabwawa ya Umeme, acheni kulaumu kuhusu Mgawo

    Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza...
  8. JamiiForums Tanzania Je! ni njia gani za kashfa za matapeli wa forex? Jifunze kuhusu njia hizi ulinde pesa zako.

    Watu zaidi na zaidi wanapoingia kwenye soko la uwekezaji, idadi ya utapeli wa uwekezaji inaongezeka siku baada ya siku. Watu wengi hawawezi kupinga mvuto wa uwekezaji wa fedha za kigeni(forex), lakini wana ujuzi mdogo wa soko la fedha, ambayo huwapa matapeli fursa ya kutumia tamaa zao...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kitu kuhusu hii minada ya hapa Dar es aalaam

    Ok, ni hivi wakuu, Kuna hii minada huwa inafanyika kwenye eneo husika Kwa siku maalum. Kwa mfano najua Kwa huku Dar es salaam Kila Ijumaa mnada huwa upo Kitunda, Jumanne huwa upo Kivule sokoni, Jumatatu ni Tabata Kinyerezi, Na Kuna siku huwa upo Tabata segerea Kwa mbele kule sijui ni Tabata bima...
  10. JamiiForums Tanzania Israel wakamata wakuu wa hospitali ya Shifa, watolee maelezo kuhusu handaki lililogunduliwa humo

    Haiwezekani handaki lililogunduliwa la mita 55 liwe chini ya hospitali bila wao kujua na muda wote walikua wanakana halipo, watahojiwa zaidi. ====================== The director of Shifa Hospital in Gaza City was arrested by Israeli forces on Thursday morning, and taken for questioning by the...
  11. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
  12. JamiiForums Tanzania U.S.A, China, Singapore wanatufundisha mambo gani na vipi kuhusu nchi nyingine?

    Meza ya siasa na uongozi Somo lililopo mezani je, ni mambo gani Singapore, U.S.A na China wanatufundisha sisi nchi iliyo poteza dira ? Kwangu mimi kama tukitaka kujifunza Vyama bora vya siasa, Mifumo/taasisi imara na Bunge bora Basi yatupasa kuzama hizi nchi. Kwa Bunge bora Hapa tutazame na...
  13. JamiiForums Tanzania Anaandika Edo Kumwembe Kuhusu Utambulisho Wa D Voice

    KITU AMBACHO HAKITAHOJIWA KWA SASA.... Mamilioni Yanayotumika Kumpaisha Leo Ukianzia Shughuli Yenyewe Ukumbini Pesa Imezama mule, Halafu Kwenda Studio Na Pia Video Kali, Mavazi Ya Kufa Mtu, Location Za South Africa etc... Promotion ya kufa mtu Anaelekea kuwa staa mkubwa. Baadae Akiamua Kujitoa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tujadili Wabunge wanaoshindwa kutimiza ahadi zao majimboni

    Moja ya jimbo linalotabiriwa kwenda upinzani ni jimbo la Kawe, hata hivyo tunayo miaka miwili mbele. Naamini yapo maoni yanayoweza kumwonyesha Mbunge husika alipokosea then aboreshe. Mchungaji Gwajima amepeleka bonanza na mchezo wa rede Kawe, amejenga madaraja na kufanya jogging zakutosha akiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Papa Francis amtimua Askofu anayempinga kuhusu kuruhusu ndoa za jinsia moja, kutoa mimba na waliobadili jinsia

    Ikumbukwe huyu Papa wa Vatican anaeongoza Kanisa la RC almaaufu Kanisa Takatifu la Mitume kama wanavyojiita wao ameamua kuwaburuza wenzake wafuate msimamo wake. Baadhi ya mambo ambayo anataka Kanisa lake lifuate ni - Kuwatambua Mashoga bila kukemea akisema wenye dhambi ndio wanatakiwa kwenda...
  16. JamiiForums Tanzania John Obi Mikel: Familia za Kiafrika zinachangia kuwavuruga Wachezaji waliofanikiwa kifedha

    Kiungo wa zamani wa Chelsea na Nigeria, John Obi Mikel amedai Waafrika wengi waliofanikiwa kiuchumi wanakumbana na presha kubwa kutoka kwa Familia wakitakiwa kutoa msaada wa fedha kwa lazima na wasipofanya hivyo wanaonekana wabaya na wengine wanapewa vitisho. Anasema "Hatuzungumzi sana kuhusu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kuhusu ICT project for final year

    Wakubwa zangu i hope mko powa, Nilikuwa nawaomba mnisaidie title ya project ya ICT itakayo husisha (html,CSS,PHP na MYSQL)
  18. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Lazaro aliyefufuliwa na Yesu, alitoa ushuhuda gani kuhusu kuzimu baada ya kufufuka?

    Mimi sio msomaji mzuri wa Bibilia, ila nimesikia habari ya Lazoro kufa na baadae kufufuliwa na Yesu wakati Yesu bado yuko hapa duniani na tena tunaambiwa alikuwa anatoa harufu. Swali ni je, Lazaro alihadithia nini kuhusu kifio au hakusema chochote? Kwa mfano, wakati anakata roho, nini hasa...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kikokotoo cha wastaafu: Serikali na CCM muwe na haya. Nanyi wabunge na bunge letu oneni aibu na muwe na utu

    Kabla sijasema lolote kila mmoja asome huu ujumbe wa mstaafu mmoja wa jeshi la polisi akigugumilia maumivu ya kikokotoo alioutuma kwa aliyekuwa mbunge mstaafu wa Jimbo la Tarime vijijini (CHADEMA) ndugu John Heche na kuuposti Instagram page yake... Mimi umeniumiza sana na nimeamua kuuleta...
  20. JamiiForums Tanzania Ufumbuzi wa kudumu kuhusu changamoto ya nishati ya umeme hapa Tanzania

    •••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Kuhusu changamoto ya Nishati Ya Umeme, Hapa nyumbani TANZANIA, na ufumbuzi wa kidumu, ili Tatizo hili liwe HISTORIA, NAOMBA KUSHAURI yafuatayo, kwa mpendwa wetu, Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Kuwa; 1...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…