kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Picha: Umegundua nini kuhusu Harmonize?

  2. JamiiForums Tanzania Kijiweni kwako wanasemaje kuhusu hawa wauza madafu ikulu?

    Haya tiritika na userereke…
  3. JamiiForums Tanzania Nini mtazamo wako kuhusu hii picha?

  4. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kodi ya meza

    Mtu ukiwa umeoa kila siku mezani unatakiwa kuacha kuanzia shingapi?
  5. JamiiForums Tanzania Mwanahabari azungumzia ripoti kuhusu Mikutano Miwili ya China mjini Beijing

    Mwanahabari Abubarkar Harith toka Kituo cha televisheni cha Zanzibar anatuletea ripoti ifuatayo kuhusu Mikutano Miwili ya China mjini Beijing. https://www.facebook.com/watch/?v=430890095997725
  6. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuhusu Elimu: Nini sifa za mgombea Urais 2025?

    Wadau naomba nikumbushwe na kisha tujadili kwa faida mapana ya nchi yetu. Kama sijakosea Kuna mwaka fulani kigezo cha mgombea Urais kiliwekwa kuwa ni pamoja na kuwa na walau digrii moja bila kueleza ni ya nini. Kigezo hiki kilimfanya Frederick Sumaye kukimbilia Marekani kusaka digrii. Hali...
  7. JamiiForums Tanzania HAMAS watoa onyo kwa Wapalestina kuhusu ulinzi wa misaada ya chakula

    Israel inakusudia kutumia Wapalestina kulinda chakula cha misaada maana HAMAS huiba sana hicho chakula, sasa hao HAMAS wamesema ole wao Wapalestina watakaothubutu..... Hamas-linked website warns Palestinian individuals or groups against cooperating with Israel to provide security for aid...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu utabiri wa hali ya hewa

    Naomba nielemishwe kuhusu utabiri unaotolewa na Watalaam. Anaposema kuwa eneo fulani watapata mvua ya WASTANI na juu ya WASTANI ana maana gani?.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Bmw 3series GT au 5series GT

    habari ndugu naomba kujua vizuri kuhusu bmw 3series gt 2013 - 2015 au 5series gt uzuri wake na ubaya pia
  10. JamiiForums Tanzania Ngoja niwahabarishe mambo kadhaa usiyo yajua katika ujenzi

    Ngoja niwahabarishe mambo kadhaa usiyo yajua katika ujenzi. 1.Jengo/Nyumba siyo lazima liwe na msingi. Unabisha....? Nenda Msasani makangira(Namanga), Kuna nyumba kadhaa hazina msingi. 2.Unyevu ndiyo sababu kubwa ya kuharibika kwa Majengo . unabisha....? Chumvi,ukungu na kutu vyote hutokana na...
  11. JamiiForums Tanzania KWELI Ngozi ya kuku ina mafuta mengi, haishauriwi kuliwa na Watu wenye Changamoto za Moyo, kisukari na mafuta mengi mwilini

    Nimekuwa nikisikia kuhusu madhara ya mafuta yatokanayo na wanyama (fat) kuwa huganda kwenye mishipa na kusababisha shinikizo la damu. Kilichonishitua zaidi ni kuwa ngozi ya kuku kuwa ni hatari zaidi kwani huwa na mafuta mengi sana na husababisha cholesterol kwa kiasi kikubwa. Hii imekaaje?
  12. R

    JamiiForums Tanzania Je Kindamba ni mtu sahihi UDART? Ana exposure yoyote kuhusu sekta ya usafirishaji?

    Mradi wa DART umepewa mkurugenzi mpya ambaye ni Kindammba. Kwa utendaji wa Kindammba kama mkuu wa mkoa sidhani kama huyu ni kiongozi wa nafasi za kitaalamu kama makampuni. Najiuliza baraza la mawaziri lililokaa wiki hii na kumpitisha lilijishauri vyema au lilitumia influence ya kiongozi mkuu...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote hapa kuhusu malezi?

    Mdau kasema ukosefu wa Wanaume "Baba" kwenye malezi ya watoto wa kiume ndio kunapelekea vijana kuwa na mahusiano na wanawake wenye umri mkubwa. Huyu ndio Mwanamke mwenye ujauzito wa Dogo Nb. Dogo ana miaka 22 kampa ujauzito Mwanamke mwenye miaka 39.
  14. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Destination Marketing Business

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama na juhudi zenu za ujenzi wa taifa. Leo ninawaletea mjadala kuhusu model ya biashara inayoitwa Destination Marketing Services(DMS).Kampuni zinazofanya shughuli hizi huitwa pia kama Destination Marketing Corporation(DMC)...
  15. JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu matangazo ya kulipia Facebook na Instagram

    Mimi siyo expert wa kutangaza online kwenye Facebook na Insta lakini nina uzoefu kidogo wa kama miaka miwili hivi kutangaza huko. So niulize swali lolote kuhusiana na sekta hiyo nami nitakujibu. Nikishindwa watakuja wataalamu zaidi na mimi nitazidi kujifunza. Karibuni.
  16. JamiiForums Tanzania Naendelea kujifunza kuhusu mwanamke nje ya mama

    Nje ya mama mwanamke hana upendo wowote kwa mwanaume. Nje ya mama mwanamke hana huruma kwa mwanaume. Mwanamke hamuhitaji mwanaume kwa aina yoyote ya hitaji kinyume na mwanaume mwanaume anavyo muhitaji mwanaume. Mwanamke haingii kwenye ndoa kwa ajili ya sex na sababu zake nyingine. Naendelea...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mahojiano na Mzee Malebo: Safari ya Maisha yake / kukataa kuokoka / Urafiki na Pastor Munishi

    MAHOJIANO NA MALEBO Ma-Label Interview matata sana hii inatupa picha Tanzania ilikuwa nchi ya aina gani, gharama za maisha, na kwa ujumla jamii iliishi vipi kusaka maisha https://m.youtube.com/watch?v=s-8ms_N8IDU Mzee Mabelo jina halisi Ndeanka mwenyeji wa kutoka Kilimanjaro Tanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu shule ya EM iliyogoma kutoa uhamisho wa mwanangu anayetakiwa kufanya mtihani wa std 4: Asanteni sana wanaJF kwa msaada wenu

    Habari zenu wana Jf mwezi ulio pita nilianzisha Uzi hapa kuhusu namna ambavyo shule moja ya EM ya huko Mwanza ambao waligoma kutoa uhamisho kwa kijana wangu wa darasa la nne jambo ambalo lingeleta ugumu kwa kijana wangu huyo kuandika mitihani yake ya darasa la nne. Nashukuru sana kwa wana Jf...
  19. JamiiForums Tanzania Niuluze chochote kuhusu utapeli

    Boss la DP World niko hapa kujibu maswali yako. Nimekunja 4 hapa kwenye ofisi yangu ya kifahari najizungusha zungusha kwenye kiti changu wakati nikifikiri kuhusiana na michongo ya kuongeza ukwasi wangu kupitia watu wa Africa na rasilimali zao. Karibuni.
  20. JamiiForums Tanzania Gypsy Rose atoka jela miaka nane baadae, baada ya kumuua mama yake

    Amezaliwa Louisiana, USA mwaka 1991, Alifungwa Jela kwa kumuuwa Mama yake Dee Dee Blanchard mwaka 2016 kwa msaada wa mchumba wake Nick Godejohn. Gypsy( Binti) na Nick walikutana mtaandaoni kwenye dating site na aliweza kumshawishi wasadiane kumuuwa mama yake kwa sababu alikuwa akimdanganya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…