kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Je, Lissu anaweza kumuuliza IGP kuhusu ni wapi walzika miili ya watu waliouwawa kwenye mauji ya October 29?

    Hili ni moja ya swali ninalotamani Lissu amuulize IGP. Je, wewe unasemaje au unatamano aulize swali gani? Tukumbuke ripoti ya Jaji Chande ilikuja na idadi ya watu zaidi ya 500 waliouwawa katika mauaji ya Oktoba 29, 2025.
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aunguruma tena kuhusu Magaidi wa Iran!!!

    Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu: Rais Trump alitangaza jana kwamba Iran inajaribu kujihami tena kwa silaha za nyuklia. Hiyo ni kweli. Baada ya kuharibu uwezo wake wa moja kwa moja wa kutengeneza mabomu ya nyuklia, wanajaribu tena. Ninawaahidi hapa, kwenye Ukuta wa Magharibi, mbele...
  3. Spliffcharm

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkopo wa 10% Halmashauri Kigamboni: Mke wangu alipangiwa 9.6M lakini mwisho anaambiwa atapewa 3M – Je, hii ni kawaida?

    Habari wakuu, Naomba ushauri kutoka kwa wenye experience na mikopo ya 10% inayotolewa na Halmashauri, hasa wale waliowahi kupitia mchakato huu. Wife ni mmoja wa wanakikundi cha watu watano, na aliomba mkopo kupitia Halmashauri ya Kigamboni. Kwa upande wake, aliomba kiasi cha Tsh 9.6 milioni...
  4. BumbleBeeBot

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kuhusu Bachelor of Arts in diplomatic and defence studies

    Kuna mdogo wangu amechaguliwa kwa programme ya Arts in diplomatic and defence studies, ameona aende hiyo (kwakuwa kapata UDSM), kozi zoote alizoomba Ud kapata hiyo tuu na ye humwambii kitu kuhusu UDSM. Kaacha sehemu nyingine alizopata procurement and logistics, BBA, insurance and risk...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mahakama iliamua nini kuhusu mashahidi wa utetezi aliotaka Lissu wafike mahakama ambao ni IGP, CDF, DGIS, Majaliwa na Mpango?

    Naomba kuuliza ni nini mahakamani iliamua kuhusu hao mashahidi kwenye kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu? Hawa wanatakiwa kufika mahakamani kama mashahidi wa upande wa utetezi kwahiyo ni mashahidi muhimu kwa mshitakiwa. Kuhusu Samia, najua kulikuwa na mvutano, sasa hao wengine mahakama...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Shalom Kates aelezea kuhusu kwa nini Ubalozi wa Uingereza huko Jerusalem Mashariki umefungwa!,,

    Habari zilipoibuka kwamba Israeli ingefunga Ubalozi wa Uingereza huko Yerusalemu Mashariki kutokana na vikwazo vya hivi karibuni vya Uingereza, waangalizi wengi waliitaja hatua hiyo kama kulipiza kisasi cha kidiplomasia. Kwa kuwa nilikuwa mkuu wa mawasiliano katika ubalozi wa Uingereza huko Tel...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mahojiano na Tujuze Online TV: Swali Kuhusu BAKWATA

    https://youtu.be/aiKGF_wPISk?si=5kk8dH-yAG6vnAEB Je, ni akina nani waliokuwa nyuma ya harakati za kudai uhuru wa Tanganyika kabla na wakati wa kuanzishwa kwa TANU? 🇹🇿 Kwa nini baadhi ya majina ya viongozi na wanaharakati waliokuwa sehemu muhimu ya harakati hizo hayatajwi kwa uzito unaostahili...
  8. TANAPA

    JamiiForums Tanzania Unadhani una mbio sana? Tazama Facts kuhusu wanyama wa porini!

    Unadhani una mbio sana? Kuna wanyama ukikutana nao hifadhini, mwonekano wao unaweza kukudanganya kabisa, wanaonekana wazito, watulivu na wa mwendo wa pole… lakini ukijua uwezo wao wa kukimbia, unaweza kuanza kuheshimu umbali salama zaidi na kukumbuka kwamba si salama kutoka nje ya gari bila...
  9. min -me

    JamiiForums Tanzania Naona madaktari bingwa kabisa wamepanic kuhusu mimi 😁😁😁

    Aseee mimi ni mchaga mmoja mpumbavu tu ,ambae nilimaliza elimu yangu chuo kikuu cha udom kama mkunga na nursing. Now bado nasoma na ninatafuta degree ya medical doctor kwa sasa , na nyie mnaodharau ma nesii na wakunga , madaktari wa bongo nyoso wa ugoko tunawajia kwa kasi ya 6 g gademitt 😁
  10. min -me

    JamiiForums Tanzania Nimeona reply ya rafiki mmoja kuhusu JF

    de Gunner nimeona reply yako , unasema mimi ni daktari nisiye na kitu , nikitoka kazini napitia bar kulewa tu , ndio nasumbua jf🤣 Mimi kweli asili yangu ni nurse, mimi ni muuguzi na mkunga , MD ndio nimeanza kusoma juzi tu , kwa sababu nilipata gs f tu , same boys kipindi hicho😅 Kitu...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Argentina kuishitaki Kampuni ya Navitas ya Israel kuhusu Falkland!!

    Argentina itawasilisha malalamiko ya jinai dhidi ya kampuni ya nishati ya Israel Navitas Petroleum na makampuni mengine yanayohusika katika uundaji wa hidrokaboni karibu na Visiwa vya Falkland vinavyodhibitiwa na Uingereza, na kuongeza mzozo wake wa uhuru na Uingereza. Waziri wa Mambo ya Nje...
  12. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Maswali ambayo watanganyika wanapaswa kujiuliza kuhusu Muungano na Tanganyika

    Tukiacha kwanza hisia, itikadi na hofu za kisiasa, kuna swali moja la msingi: Je, ndani ya Muungano wa watu wawili, Tanganyika bado ipo kama upande wa Muungano, au imegeuka kuwa jina la kihistoria huku Tanzania Bara ikitumika kama sura ya Tanganyika ndani ya Muungano? A. Kuhusu utambulisho wa...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Magufuli Stand wajibu malalamiko kuhusu vyoo, mpangilio wa stendi

    Soma pia: Sheikh alia na hali mbaya ya vyoo Mbezi Magufuli stendi Kufuatia malalamiko ya watumiaji wa stendi ya Magufuli iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam kuhusu ufinyu wa vyoo kwa abiria, Meneja wa stendi hiyo, Isaac Kasebo amesema vyoo vilivyopo vinatosha, ila tatizo abiria wengi hawajajua...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Jaji Warioba anaendelea vizuri

    Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dorothy Semu amesema Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba anaendelea vizuri. Jaji Warioba alipata shida ya kiafya na kudondoka ghafla wakati akihutubia katika mkutano wa kitaifa wa kutafakari hali ya kisiasa nchini unaofanyika jijini Dar es...
  15. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Habari ya asubuhi wakuu. Wale ambao ni watumiaji M-WEKEZA tusaidieni mawili matatu kuhusu akiba baada ya kuitumia

    Ni kweli wanakupa riba 13% kwa mwezi? Changamoto zake? UZuri wa hii huduma? Karibuni
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ile imani yangu na uelewa wangu wa utotoni kuhusu "wanajeshi" na "Majaji(Hakimu)" sasa naweza kuuthibitisha

    Nikiwa mdogo kama walivyo watu wengi kuna mambo unakuwa huyaelewi elewi na kadiri unavyokuwa ndivyo unavyoendelea kupata ufahamu Nikiwa mdogo nadhani hadi umri wa kidato cha Pili (hapa sio mdogo tena hii ilikuwa imani) tungegombana endapo ungeniambia "nafaa" kuwa mwanajeshi au uniambie nikiwa...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Komesha Ushabiki maandazi na uchawa: Ukweli Kuhusu China, Marekani, na Ndoto za Kujitegemea

    Watu wengi mtandaoni wamekuwa wakipiga kelele wakiamini kuwa China au Marekani zinaweza kusimama peke yake bila kusaidiwa na mtu, au kwamba nchi hizi zinaweza kutengana kirahisi tu. Huu ni upofu wa kifikra unaoletwa na kukosa data na kutazama dunia kupitia vioo vya simu. 1. Kwa nini Marekani...
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mambo 20 ya kipekee usiyoyajua kuhusu Tanga

    Reli ya Kwanza Tanzania Bara – Tanga (1893). Shule ya Kwanza ya Sekondari ya Serikali – Tanga (1890) (Tanga Old School). Shule ya Kwanza kabisa (ya Anglikana) nchini Tanzania – Magila, Muheza, Tanga (1848). Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani – Ubwari, Muheza, Tanga (1949). Hospitali...
  19. Think2

    JamiiForums Tanzania Je unajua kuhusu METADATA?

    Metadata ni taarifa zinazoelezea taarifa nyingine Hizi taarifa mara nyingi zinakuwa zimehifadhiwa kwenye picha au video metadata itasoma hio picha ilipigwa wapi muda gani camera gani ilitumika au simu gani ilitumika kupiga picha Sasa hii metadata imesababisha watoto wadogo kukamatwa na hii...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Biblia inavyosema kuhusu kiburi

    Biblia inavyosema kuhusu kiburi Kiburi siyo dhambi unayofanya kwa njia sawa na kuiba au kusema uwongo. Ni mtazamo wa moyo na njia ya kufikiria. Huwezi kuona upepo, lakini unaweza kuona athari za upepo, na ni sawa na kiburi. Huwezi kuona kiburi, lakini unaweza kuona matokeo yake. Kimsingi...
Back
Top Bottom