Jana Mahakama ilisema CDF yupo nje lakini kuna tetesi yupo.
Najiuliza, mahakama ni sehemu ya kutoa haki ukiidanganya mahakama unaweza kufungwa, inapotokea mahakama yenyewe ndiyo imedanganya itakuwaje.
Wakuu, naomba msaada kwa wenye uzoefu kuhusu mada tajwa hapo juu.
Nimeona baadhi ya nafasi za ajira zinazotangazwa kupitia Ajira Portal, hasa upande wa ICT/Software Development, mfano nafasi za Systems Analysis. Kwenye baadhi ya nafasi hizo, moja ya vigezo vinavyotajwa ni mwombaji kuwa na...
Wana-JamiiForums,
Hivi karibuni kumekuwa na mjadala mzito mtandaoni na kwenye ulingo wa kisiasa nchini unaomhusu Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema. Tuhuma za yeye "kulamba asali" zilizosambazwa mitandaoni baada ya yeye kuchapisha salamu za pole za Mwenyekiti Tundu Lissu kwenda kwa...
Wakuu,
Kuna suala limekuwa likichanganywa hapa hivi maridhiano ni kati ya serikali ya CCM na vyama vya upinzani? au ni kati ya Serikali ya CCM na wananchi, katika mambo ambayo yanatakafaklisha sana
Nawasilisha
=================
(Full text from @EsirEid X-Twitter copy & paste)
KWA NINI NAUNGA MKONO MARIDHIANO KATI YA SERIKALI NA CHADEMA?
Wengine wanauliza: “Kwa nini unaunga mkono maridhiano? Mbona tumepambana mpaka hapa?”
Kwanza, tusidanganyane kuhusu tulikotoka. Lissu aliwekwa kizuizini hata kabla ya...
Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz:
Ali Taher Ridge ni sehemu ya mstari wa njano na eneo la usalama la Israeli nchini Lebanon - IDF inajiandaa kivitendo kudhibiti ukingo na kuzuia jaribio lolote la Hezbollah au kipengele kingine chochote kurudi na kuanzisha uwepo hapo. Mtu yeyote...
Ninaiweka barua hii hapa nikiamini itamfikia mlengwa, Nabii David Richard anayehudumu hapa Dar es Salaam katika huduma ya The Angels of God Ministry au itawafikia wasaidizi wake wa karibu.
Ninaandika haya si kwa nia ya kushambulia huduma yake, chuki, wala dharau. Ama kumshambulia yeye mwenyewe...
Tunapoona ACT kama chama cha siasa wanatoka hadharani kuhoji ni wapi alipo Dr.Nchimbi, basi huenda tayari wana taarifa ya wapi alipo au ni nini alifanyiwa kiasi kwamba haonekani hadharani.
Tusisahau mambo kama haya ni kete kwa vyama vya upinzani dhidi ya chama tawala hata kama ACT...
Salaam,
Wote tunajua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda ni shahidi wa Tundu Lissu.
Hivyo kutokana na kesi inavyoendelea, haya ni maswali ya dodoso na ambayo naamini afande atakutana nayo.
1. Tundu Lissu: Afande CDF, Umeamka salama? Jambo afande. Nitakuuliza...
Neno hili linatafsiriwa katika makundi makuu matatu:
1. Mashabiki Wenye Fujo na Magenge ya Soka (Football Hooligans)
Huu ndio muktadha mkuu unaotumika duniani kote, hasa nchini Uingereza na Ulaya. Kuna makundi ya mashabiki wa soka yaliyojipanga kama magenge ya kihalifu (yanayoitwa Hooligan...
Hili ni moja ya swali ninalotamani Lissu amuulize IGP.
Je, wewe unasemaje au unatamano aulize swali gani?
Tukumbuke ripoti ya Jaji Chande ilikuja na idadi ya watu zaidi ya 500 waliouwawa katika mauaji ya Oktoba 29, 2025.
Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu:
Rais Trump alitangaza jana kwamba Iran inajaribu kujihami tena kwa silaha za nyuklia. Hiyo ni kweli.
Baada ya kuharibu uwezo wake wa moja kwa moja wa kutengeneza mabomu ya nyuklia, wanajaribu tena.
Ninawaahidi hapa, kwenye Ukuta wa Magharibi, mbele...
Habari wakuu,
Naomba ushauri kutoka kwa wenye experience na mikopo ya 10% inayotolewa na Halmashauri, hasa wale waliowahi kupitia mchakato huu.
Wife ni mmoja wa wanakikundi cha watu watano, na aliomba mkopo kupitia Halmashauri ya Kigamboni. Kwa upande wake, aliomba kiasi cha Tsh 9.6 milioni...
Kuna mdogo wangu amechaguliwa kwa programme ya Arts in diplomatic and defence studies, ameona aende hiyo (kwakuwa kapata UDSM), kozi zoote alizoomba Ud kapata hiyo tuu na ye humwambii kitu kuhusu UDSM. Kaacha sehemu nyingine alizopata procurement and logistics, BBA, insurance and risk...
administration
arts
bachelor
business
course
defence
insurance
kuhusu
kujua
kutoka
logistics
management
mdogo
mdogo wangu
procurement
risk
science
studies
vyuo
wangu
Naomba kuuliza ni nini mahakamani iliamua kuhusu hao mashahidi kwenye kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu?
Hawa wanatakiwa kufika mahakamani kama mashahidi wa upande wa utetezi kwahiyo ni mashahidi muhimu kwa mshitakiwa.
Kuhusu Samia, najua kulikuwa na mvutano, sasa hao wengine mahakama...
Habari zilipoibuka kwamba Israeli ingefunga Ubalozi wa Uingereza huko Yerusalemu Mashariki kutokana na vikwazo vya hivi karibuni vya Uingereza, waangalizi wengi waliitaja hatua hiyo kama kulipiza kisasi cha kidiplomasia. Kwa kuwa nilikuwa mkuu wa mawasiliano katika ubalozi wa Uingereza huko Tel...
https://youtu.be/aiKGF_wPISk?si=5kk8dH-yAG6vnAEB
Je, ni akina nani waliokuwa nyuma ya harakati za kudai uhuru wa Tanganyika kabla na wakati wa kuanzishwa kwa TANU? 🇹🇿
Kwa nini baadhi ya majina ya viongozi na wanaharakati waliokuwa sehemu muhimu ya harakati hizo hayatajwi kwa uzito unaostahili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.