kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye waraka wa Chadema kuhusu Tume ya Lioa anisaisie hapa

    Dr. Rugemeleza Mwanasheria Mkuu wa Chadema alitoa msimamo wa CHADEMA kuhusu Tume ya Lila. Naomba aniwekee hapa
  2. min -me

    JamiiForums Tanzania Wayahudi na mtazamo wao kuhusu Palestina

    Ukitaka kujua wayahudi wanafikiri nini kuhusu palestina , mfuatilie mtengeneza maudhui maarufu huko tiktok Hamzah saadah, kijana wa kipalestina anaye anaishi Houston Texas US , anaefanya mahojiano ya live tiktok na jamii ya wayahudi. Hawa jamaa wa kiyahudi mpaka watoto wadogo kabisa...
  3. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Andiko la Ben Saanane akihoji kuhusu uhalali wa PhD ya Marehemu John Magufuli

    Na, Ben-Rabiu Wa Saanane Kuanzia nilipoibua mjadala wa Uhalali wa Phd ya Mhe.Magufuli niliacha rasmi kumu-address kama Dr.Magufuli na kutumia Ndugu au Mheshimiwa tu hadi itakapothibitika ni Halali. Nimesoma Hoja ya Prof.Kitila kuhusu PhD ya Magufuli. Prof.Kitila ni Rafiki yangu sana.Yeye ni...
  4. Outsiders

    JamiiForums Tanzania HOJA Hoja kuhusu Posho na Usawa wa kipaumbele katika sekta ya Afya

    Kumeibuka mjadala wenye utata mitandaoni kuhusu suala la posho kwa madaktari, ambapo wananchi pamoja na watumishi wa kada mbalimbali ndani ya sekta ya afya wamejitokeza kutoa maoni yao kuhusu jambo hilo. Moja ya changamoto kubwa inayojadiliwa ni namna siasa na mifumo ya uongozi ilivyoingia na...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Sandaland kuongea na wanahabari kesho. Ni kuhusu Makonda kuingilia mkataba halali na TFF

    Uongozi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear limited unatarajia kuzungumza na Waandishi wa Habari kesho September 22 2026 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam kuanzia saa tano kamili asubuhi. Hata hivyo kupitia taarifa yake kwa Umma, Kampuni hiyo ambayo ndiyo yenye tenda ya jezi za Timu...
  6. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Ni hatua gani zinapaswa kutumika kurejesha usalama Wilayani Tunduru ambapo Wafugaji na Wakulima wanapingana?

    Ndugu zangu, Tumepokea taarifa nzito kutoka Kijiji cha Chikomo, ambapo mtu mmoja ameripotiwa kupoteza maisha, watu wanane wako katika hali mbaya kiafya, huku nyumba saba zikiripotiwa kuteketea kwa moto. Kwa mujibu wa taarifa zilizopo, hali katika Kijiji cha Chikomo ni ya wasiwasi baada ya...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya madola (common wealth) yatoa msimamo kuhusu Tanzania

    Katika taarifa yake ya kikao chao cha Septemba 20, 2026 CMAG imesisitiza yafuatayo: 1. Kuendeleza mchakato Unaojumuisha pande zote, unaoaminika na unaowezeshwa kupitia ushirikiano kati ya vyama vya siasa. 2. Kulinda Uhuru wa kiraia, Uhuru wa kisiasa na Uhuru wa vyombo vya habari. 3...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche. Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri...
  9. cocastic

    JamiiForums Tanzania Ommy Dimpoz ajibu kuhusu tuhuma za yeye kuitwa Chakula (Shoga) na Dudu Baya

    Msanii wa Bongo Flava maarufu km Ommy Dimpoz amejibu kuhusu sakata la yeye kutuhumiwa ni shoga, na msanii mwenzake wa music wa zamani Dudu baya, wakati wakiwa kwenye tamasha la miaka 30 ya Bongo flava huko Arusha. Ommy Dimpoz amejibu kupitia IG yake, na ujumbe huo unasomeka km hivyo hapo...
  10. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania WANAYANGA MSIJE KUINGIA MTEGO WA MAKOLO KUHUSU MANQOBA MNGITHI, CHUKUA HII.!

    Wakuu I salute you kinsmen Imepita muda sasa sijaingia hapa lakini leo nimepata nafasi na sasa Acha niongelee jambo hili linalosumbua wanayanga ambalo kimsingi ni propaganda tu. Mosi Wakuu sioni tatizo la kocha wetu kabisa, bwana manqoba ni kocha mzuri ambaye tulisubiri muda mrefu. Tatizo ni...
  11. O

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Gachagua Alidai Amewekewa Sumu?

    Graphic inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inadai kuwa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua alisema akiwa Marekani kwamba alikuwa hajisikii vizuri na kwamba huenda alikuwa amewekewa sumu kabla ya kuondoka Kenya. Graphic hiyo inahusisha madai hayo na serikali ya Rais William Ruto na kudai...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kina: Wimbo 'No Condition is Permanent' wa Rocha Maria na Ujumbe wa Kifalsafa Kuhusu Maisha

    Habari za wakati huu wana-JamiiForums, Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la nyimbo zinazovuma kwenye mitandao ya kijamii, lakini wimbo wa "No Condition is Permanent" ulioachiwa mnamo Agosti 2026 na msanii Rocha Maria umeacha alama ya kipekee sana. Huu sio wimbo wa kuburudisha tu, bali ni...
  13. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Update Kuhusu kutaka kununua "Drone" kwa Matumizi Binafsi

    Maboss. Mwezi August niweka Uzi wenye kichwa: Nilitaka kununua Drone kwa Matumizi Binafsi, ila mbona gharama ya kulipia ni kubwa kuliko kununua? Baada ya kupata madini kutoka kwa wadau, wengine tukajadili inbox nimenunua DJI Lito X1. Siku ya kwanza baada ya kununua nikamgusia muuzaji kuhusu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wanasheria, tunaomba ufafanuzi wa kilichotokea mahakamani kuhusu kesi ya uhaini inayomkabili Lissu

    Japo teyari tuna mtazamo yetu kuhusu kilichotokea leo mahakamani hasa baada ya DCI KIngai kukataa kuwa shahidi wa kumteta Lissu na kitendo cha Kingai kuwasemea mashahidi wenzake (CDF na IGP), nadhani itakuwa jambo jema tukapata ufafanuzi wa kisheria ili tuweze kuonanisha na mtazamo yetu...
  15. Faana

    JamiiForums Tanzania Hebu Tumsikilize Huyu Ndugu Kuhusu Continuity Cable

  16. funaku

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu picha zinazoenea za jezi za Tanzania kwenye Afcon?

    Kama ni kweli zile tunazoziona kwenye social media ndio Jezi watakazovaa timu ya Taifa kwenye Afcon basi tutakuwa na tatizo la afya ya akili. Waziri Makonda usikubali huu usanii utakaopelekea kuharibu saikolojia ya wachezaji uwanjani. Mbona uzi wa Yanga ni mzuri na una kiwango iweje uzi wa Taifa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu kuchelewa kutoka kwa Miundo ya Mitihani ya Kidato cha sita kwa mtaala mpya

    BARUA YA MALALAMIKO Tarehe: 17 Septemba 2026 KWA: Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, S.L.P. 10, DODOMA. YAH: MALALAMIKO KUHUSU KUCHELEWA KUTOKA KWA MIUNDO YA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA (ACSEE) KWA WANAFUNZI WA MTAALA MPYA Ndugu Katibu Mkuu, Tunakuandikia kuwasilisha...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Vijana waliotoka JKT walifundishwa kuhusu kutoshiriki maandamano? Baadhi ya vijana wanatishia wengine

    Kuna vijana watu walikuja kumsalimia kijana wangu, kwa bahati mbaya sikua nimewasikiliza mwanzo wa mazungumzo yao ila nikuta wakiwa kwenye ajenda ya maandamno, wakidai kuwa wameambiwa walinde amani. Vijana hao walikuwa kambi ya Kibiti, nikawahoji kwa nini kulinda amani, wakanijibu kuwa...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Ikijulikana mahakama ilidanganya kuhusu CDF itaaminika tena?

    Jana Mahakama ilisema CDF yupo nje lakini kuna tetesi yupo. Najiuliza, mahakama ni sehemu ya kutoa haki ukiidanganya mahakama unaweza kufungwa, inapotokea mahakama yenyewe ndiyo imedanganya itakuwaje.
  20. min -me

    JamiiForums Tanzania Hili lilikuwa kama swali kuhusu pisi tano nilizofanikiwa kuona hata picha tu

    Bila unafki na kunyooka kama rula Namba moja nampa Depal Angel Nylon binti kiziwi Mzigua90 Seran
Back
Top Bottom