Matunda safi
Member
- May 30, 2025
- 38
- 65
Je mwanamke akiwa na mimba hedhi inaweza kuendela kutoka?au imekaaje wakuu,naomba ufafanuzi Kwa madakitari na mtu yoyote mwenye uelewa humu JF
Unamaanisha nini mkuuAcheni fedheha
Msaidieni dogo.
Inaweza kutokea ndio mtoto alipojipandikisha huwa zinatoka damu japo nyepsi sio kama zile za hethi zenyewe damu hizi zinaweza kukata muda mfupi baada ya mimba kukua au zinaweza kuendelea hadi mtoto kuzaliwa japo ikitokea zimezidi muone daktariJe mwanamke akiwa na mimba hedhi inaweza kuendela kutoka?au imekaaje wakuu,naomba ufafanuzi Kwa madakitari na mtu yoyote mwenye uelewa humu JF