kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania Nishauri jambo kuhusu QT

    Wakuu habari zenu. Kuna binti alimaliza kidato cha nne 2022. Lakini alisoma Art subjects, sasa anatamani kusomea afya awe nurse. Sasa anauliza kama anaweza kusoma QT masomo ya science ili apate credit za masomo ya physics na chemistry na bios, japo biology alipata B kwenye matokeo yake ya fm4...
  2. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Bajeti Kuu, mmesikia tu deni la Taifa na ufafanuzi wa bajeti ya Tr 56?

    Habari za mchana. Leo nimepata nafasi ya kusikiliza hotuba ya bajeti toka kwa Waziri. Pamoja na deni la Taifa kuendelea kukua, hii itupe ishara kwamba tunaenda uelekeo usio sahihi. Sijui ni kwa nini wananchi huku chini wanasononeka ila wakubwa huko juu wako kimya. Kubwa ninalotaka kulisemea...
  3. itakiamo

    JamiiForums Tanzania MX Carter ni Nani? Na Kwanini Wasanii Wanalalamika Kuhusu Dhuluma Zake?

    Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums, Kumekuwa na gumzo kubwa mitandaoni kuhusu mtu anayejulikana kwa jina la MX Carter. Inaonekana kuwa jina hili limehusishwa sana na masuala ya usambazaji wa kazi za wasanii kwenye majukwaa ya kidijitali kama YouTube, Spotify, na mengineyo. Kinachoshangaza...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi Dudu baya ndio nani kila jambo kuhusu dunia hii yeye kawa mchambuzi na kuna watu wanamsikiliza kweli

    Kuna wakati kunatakiwa kuzuia hawa wanahabari kujua mahojiano na wanataka kuwahoji. Yani huyu Dudu baya kila jambo yeye kawa mchambuzi mpaka maisha ambayo hakisikia Lucas Mwashambwa kachanganyikiwa kesho dudu kahojiwa. Wanaompa Airtime ni kwamba hawana content za kutengeneza.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu UTT , Treasury Bonds/Bills na Fixed deposit accounts

    Habari zenu wadau? Nilikua naomba maelezo kwa mifano halisi namna ya ku calculate hiyo mifuko , nikiwa na maana nikitaka kupata income ya kila mwezi kwa kiasi cha uwekezaji wa Milioni 100,000,000/= , natanguliza shukran.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Toa neno kuhusu hizi chipsi

    😁😁😃
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Muhusika wa series ya Mr robot ndio kacheza sinema ya The mature.Ila zinaonesha kuhusu serekali na ubabe na jinsi ya kushindana nazo

    Kwa wale waliofatilia MR robot Mtakuwa sio wageni kuhusu mambo ya utawala na ushenzi wa dunia ulivyo kwa watawala. Sasa amekuja na sinema ambayo kumbe serikali kuna ponjoro wengi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Biblia imeandika wazi kuhusu wajane na wagane kwelikweli. Si kama hawa wa siku hizi wahuni tu

    Pomoja na biblia kutowa mwongozo kuhusu wajane wa kweli na wagane wa kweli.Lakini kumekuwa na tatizo kubwa la watoto na watu wazima ombaomba jambo ambalo linatafakarisha na kudhalilisha. Kuna watu wanaoombaomba wanaviungo vyote,au wanaupungufu wa akili kidogo lakini unaona kunashida ktk...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Chukua hii mapema kabisa ya kuhusu makubaliano ya Siri na ya Kimkakati kati ya Yanga, Simba, TFF na Serikali juu ya Mechi yao

    Ile ya Simba SC kusema / kutangaza kuwa Mechi na Yanga SC ya tarehe 15 Juni Ipo ni Geresha / Zuga tu. Hata hizi Press Conference mbili za juzi za Yanga SC na zenyewe ni Zuga / Geresha tu. Kwakuwa Yanga SC wamegomea Kucheza na Simba SC tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa na Bodi ya Ligi na...
  10. P

    JamiiForums Tanzania JPM Aliona mbali kuhusu home shopping center,Karia hukuijua GSM Sasa ulinywe

    Ndugu wapenzi wa mpira, hasa wa Tanzania,kama mnakumbuka wakati JPM anaingia madarakani alibaini madudu makubwa sana kuhusu ukwepaji wa Kodi uliokuwa unafanyika Tanzania.Miongoni mwa kampuni iliyobainika ilikuwa ni home shpng center Hadi kupelekea kupotea. Watu wenye akili walitia...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuwa Mwanaharakati wa wanyama wafugwao, kuhusu zoezi kuchinja

    Hawa wanyama ni wema na ni rafiki kwetu sisi binadamu Lakini binadamu wamekuwa wapumbavu na wakatili Kwa viumbe hivi Wanyama hawawezi kuongea wala kujitetea, watatetewa na nani ? 1. Kuhusu suala la kuchinja. Tunaweza kuwa tunahitaji kitoweo kutoka Kwa wanyama ila utaratibu wa kuchinja, ni...
  12. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha baada ya CRDB kuijibu Yanga SC kuwa pesa walishatoa

    Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi? Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita --- TAARIFA KWA...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tohara kwa watoto wa kiume inavyo wajibu atheists kuhusu " The Problem of evil"

    ATHEISTS wana sema 👇👇👇👇 " Kama kweli Mungu anatupenda Sisi viumbe wake kwanini ameruhusu maumivu kwenye maisha ya watu? " KUHUSU TOHARA : Hakuna asie jua kwamba TOHARA ni suala lenye maumivu makali sana kwa watoto wa kiume. Licha ya kuwekewa ganzi etc lakini still bado TOHARA ina maumivu...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Hananja anajilipua kuhusu Gwajima, asema unapokuwa Kiongozi unatakiwa uwe na uvumilivu

    https://www.youtube.com/live/s50bQ_jh8Us
  15. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania Webinar kuhusu wanaotaka kusoma na kufanya kazi Ujerumani

    Join us, on Thursday 12th of June 10:00 AM (EAT) this Thursday, 12th of June.for an exclusive webinar featuring a special guest, Mike. Mike has successfully navigated the journey from student life in Germany to a thriving career in Europe. Learn firsthand about university life, application tips...
  16. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kuna mjadala kuhusu mfalme wa saudia kuingia AlKaaba kavaa viatu

  17. Mr Fan

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleimishwa kuhusu mimba ya huyu mke wangu

    Nina mwanamke wangu mara ya mwisho kuingia hedhi ilikua tarehe 20 august 2024 na tulisex tarehe 31 august na tarehe 1 september ila tarehe za kujifungua naona zmepitiliza zile siku 280 lakini mpka leo tarehe 8 june 2025 bado anayomimba au mm calculation zangu sijapiga vzur naona tarehe...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gerson Msigwa ajibu kuhusu vijana waliomzomea UDOM wakisema 'No reforms No election' asema ni walevi wachache waliotumwa kupiga kelele

    Kupitia Instagram story yake Msemaji mkuu wa serikali na katibu mkuu wa wizara ya habari utamaduni sanaa na michezo Gerson Msigwa ameweka ujumbe unaojibu tukio la kuzomewa jukwaani na wanafunzi wa UDOM wakisema 'No reforms, No election' kwa chochote alichothubutu kukisema jukwaani hapo, ambapo...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu Mercedes benz c class 2005

    Habari za majukumu wakuu Kama kichwa kinavyojieleza nahitaji kununua mercedes benz c class (c180/c200) ya (2000-2005) hizi ndonamudu ushuru wake naomba kufahamu kuhusu uimara kwa ujumla na upatikanaji wake wa spare...gharama za huduma Natanguliza shukrani
  20. B-2 STEALTH BOMBER

    JamiiForums Tanzania Tutaelimisha mpaka babu na bibi zetu kuhusu hili la NO REFORMS NO ELECTION

    Wakuu mpo wazima hapa. Binafsi nimeamua kuwapa elimu ya NO REFORMS NO ELECTION babu na bibi yangu pia wazazi na wajomba na mashangazi. Kwa wingi wa vijana wa kitanganyika na zanzibar tunao uwezo wa kuifikisha NO REFORMS NO ELECTION kila kona ya nchi yetu. Tuna weza na tutawafikia wote...
Back
Top Bottom