KERO Tufanyeje kupata haki yetu kutoka NSSF?

KERO Tufanyeje kupata haki yetu kutoka NSSF?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Naomba msaada nijue haki yangu naipata wapi Mimi niliajiriwa katika kampuni binafsi na nimemaliza mkataba wangu.

Kama ilivyo makubaliano ya mkataba ni WA muda mfupi 12 months na yote nimetumikia, nilipoandika barua ya kutoa taarifa ya kutoendelea na wao baada ya mkataba huu kuisha kama ilivyo taratibu kuwa lazima mwezi mmoja kabla umwambie au akuambie na walinijibu kupokea barua yangu; Kisha taratibu zingine zikafanyika lakini nilipoenda kudai mafao ya kukosa ajira NSSF nikaambiwa naonekana mimi ND nime resign sio kuisha kwa mkataba wetu.

Niliandika barua kwenda NSSF kuwaomba wachunguze lakini pia hawakuonesha hushirikiano wakisema nirudi niongee na muajiri wangu lakini nilipofika tena kwao wanasema mimi Sina haki pia kuna wenzangu wameshaenda hadi mahakama ya kazi lakini wameshindwa kesi.

Niachane na hilo suala? Yaani vitisho vingi pia, tuko wengi wa tatizo hili hatuna msaada wa kisheria. Kampuni inatumia madaraka yake sisi tunakosa msaada

🙏🙏
 
Sheria mpya za Nssf zinawakataza kukulipa pesa Yako kama hujafikisha umri wa kustaafu. Ni maelekezo Yao wao wenyewe kwenda kwa kampuni.
Me Nina jamaa zangu kampuni imechangia fresh TU na mzigo wote upo Nssf LAKINI Nssf wakagoma
 
Sheria mpya za Nssf zinawakataza kukulipa pesa Yako kama hujafikisha umri wa kustaafu. Ni maelekezo Yao wao wenyewe kwenda kwa kampuni.
Me Nina jamaa zangu kampuni imechangia fresh TU na mzigo wote upo Nssf LAKINI Nssf wakagoma
hapana, mkataba ukiisha wa kazi. Wanaruhusu. Huyo jamaa kaacha kazi
 
Mbona simple endelea na kazi alafu wapige tukio ili wakufukuze kazi
 
Hii mifuko kuingizwa ni vyepesi na kwa lazima ila kutoka udai haki yako ndio kasheshe
 
KUKAA mlangoni HAMNA kufungua ofisi MPAKA upewe chako
 
Pole ndugu, kukusaidia tu ni kwamba NSSF watakulipa ikiwa MKATABA UMEISHA,UMEPUNGUZA KAZI au UMEFUKUZWA KAZI lakini kama UMEACHA mwenyewe HAWAKULIPI. Na hata zile Fomu zao zile sehemu 4 nawe unayefungua madai unatiki sehemu Moja(MKATABA UMEISHA,KUPUNGUZWA,KUFUKUZWA au UMEACHA).Kwa hiyo kama ULIACHA mwenyewe ndio hivyo HULIPWI. Na pia kwa kuwa ulichangia kwa muda wa chini ya miezi 18,ingekuwa Ulifukuzwa,Ulipunguzwa au MKATABA uliisha ungelipwa asilimia 50 ya michango yako yote(namaanisha nusu ya ulichochangia)kingine wanabaki nacho
Hapo kwenye 50% siyo kweli
 
Ukweli ni upi kwa Mwanachama aliyechangia chini ya miezi 18?na nikikuwekea ushahidi utanipa makalio hayo au?nipo ndani namaanisha nilichokiandika acha usenge
Sasa ukiwa ndani ndo unajibu kwa kutumia matusi. Kwamba watumishi wa NSSF ndo wanakuwa kama wewe. Wewe utakuwa mvuta bangi au Teja tu.
 
Back
Top Bottom