Habari gani mwanajamvivletu pendwa la MMU. Kimsingi MMU ndio Jamvi linalopata engagement ya kitosha ukilinganisha na majukwaa mengine. Hebu twende kwenye maada,
Namzungumzia mshikaji wangu, ambaye sio member wa humu ila alinijia kuomba ushauri. Mshikaji anasimulia.... "Kabla ya kumuoa huyu...
Software development ni jumla ya Juzi nyingi sana ukiachana na zile ndani ya Programming knowledge, Mtu anahitaji pia Tehama kiujumla na Mambo yake mengi na hata uwezo wa kusikiliza tatizo na kuliandika kabla ya kuanza kuandika code
Tembelea kiungo hiki kuingia kwenye mafundisho ya IT-TEHAMA...
Nimeshangazwa kuwa andiko lenyewe kumbe lilikusudiwa liwe ni kwa ajili ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, lakini limekuwa ni nyaraka kwa umma (Public document)
Kwa mujibu wa andiko lenyewe, ni kwamba kundi la watu 55 liliandika barua hiyo kwenda kwa Katibu baada ya kuingia hofu kwamba maoni yao...
Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za waandishi wa habari, israel ilioogundua na kuwa eliminate, dunia ikasema kuwa israel inauua waandishi wasio na hatia.
Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za wafanyakazi wa UN, Israel ilipo wa eliminate, dunia ikasema kuwa...
Vitu 10 Vya Kutisha Kuhusu Ndege Ambavyo Vitakufanya Ujisikie Wasiwasi Hata Kama Wewe ni Mwingiliaji Hodari
Unachojua huenda kikayumbisha meza yako ya chakula...
Ndege ni salama kimasafa—lakini nyuma ya pazia, ulimwengu wa anga unaficha ukweli wa kutisha. Hapa kuna mambo 10 ya kutisha ambayo...
Habari za Leo wakuu,
Kijana wenu naomba kuuliza mwenye kujua chochote kuhusu chuo Cha Afya Kolandoto kwenye upande wa utoaji maarifa.
Maana kijana wangu anataka kwenda, Kusomea diploma ya radiology katika taasisi hiyo,
Je, chuo hicho kina uwezo mzuri katika utoaji wa kozi hiyo?
Japo nasikia...
Askari wa Jeshi la Polisi, akifurahia hotuba ya Lissu kuhusu No Reforms No Election ambapo Lissu amegusia pia namna maaskari na watumishi wengine wa umma wanavyokutana na kikotoo baada ya kustaafu.
Kila mmoja atafikiwa tu na Lissu kwa namna yake. Lissu ndio habari ya nchi kwa sasa
Habari za jumapili wakuu,
Kijana wenu naomba kuuliza mwenye kujua chochote kuhusu chuo Cha Afya Kolandoto kwenye upande wa utoaji maarifa.
Maana kijana wangu anataka kwenda, Kusomea diploma ya radiology katika taasisi hiyo,
Je, chuo hicho kina uwezo mzuri katika utoaji wa kozi hiyo?
Japo...
Mods msiunganishe Uzi Huu, lengo ni Wahusika wake na majibu !!
Hili ni Bandiko la MwanaJF Megalodon ambalo wengine hatukuliona hili mapema !!.
Ni Ukweli ulio Wazi, Kwa miaka mitatu mfululizo ya nyuma , kote Report ya CAG ilionyesha NHIF imepata Hasara kubwa.
Mwaka 2023 ,Hasira ilikua Kubwa...
Habari za muda huu watu wangu wa nguvu kabisa
Hili ni jukwaa ambalo kwakweli nikitafuta maelezo kuhusu kitu flani lazima nipate.
Naomba msaada wa mwenye kujua aina hii ya baiskeli
Gharama yake used na mpya,
Upatikanaji wake wa spare,
Specification zake.
Maana nina taka ninunue baiskeli ya...
Habari wana Technology,
Nipo Dar, nilipenda kupata huduma ya unlimited kwa Vodacom.
Kabla ningependa kujua kwa wanaotumia, wana maoni gani kuhusu huduma hii.
Na pia kulingana na ufuatiliaji nimeweza kuona kuna vifurushi mpaka vya 50000 unapata GB 30, ila naambiwa ni unlimited. Ningependa...
Habari Wana JamiiForum, naomba msaada wa topics zinazopatukana kwenye mtaala mpya wa A level katika masomo ya Biology, Chemistry na Physics, watakao anza nao form five wa mwaka 2025.
Lakini pia kama Kuna mwenye pdf anisaidie kupata nitashukuru sana.
Naomba kuwasilisha wakuu
Habari wanaJf,
Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli.
Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa changamoto iliyojitokeza leo asubuhi katika njia za manunuzi ya umeme (LUKU) imefanyiwa kazi. Kwa sasa wateja wetu wanaweza kufanya manunuzi ya umeme kupitia njia zote za mawakala, mitandao ya simu na njia za kibenki.
Shirika...
No reforms No election ni kaulimbiu inayopanga kuzuia kufanyika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 ikiwa hakutakuwa na Reforms za Uchaguzi. Kwa hiyo itakuwa kama ifuatavyo:-
1. Wapinzani watazuia uchaguzi kwa nguvu. Kuzuia uchaguzi kwa nguvu kutasababisha pengine watu wengi kupata madhara makubwa...
Habari za wakati huu Ndugu zangu Wana-jamiiforums. Nina maswali kadhaa kuhusu kirusi kinachosababisha HIV.
1. Kwanini ni vigumu kirusi kinachosababisha HIV kufa hata kikiwa nje ya mfumo wa mwili wa binadamu? Mfano( Mtu mwenye maambukizi anashona viatu ila bahati mbaya sindano inamchoma...
Ni akina nani Huwa wanakagua makampuni ya kubeti nchini ili kuhakikisha hakuna utapeli kwa wananchi? Je Kuna mfumo wowote imara wakufanya auditing ya mifumo inayotumika kwenye michezo husika ya kubahatusha?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.