Msaada tafadhali: Kuweka majina matatu kwenye Cheti

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
51,912
Reaction score
101,405
Cheti cha kuzaliwa kina majina matatu. Vyeti vyote vya shule vina najina mawili. Ni taratibu gani naweza kufanya ili majina yangu ya vyeti vya shule niweke jina la tatu ambalo liko kwenye cheti za kuzaliwa.

Kindly advise, please!
 
Kwani kuna Utata? Passport yako ina majina mangapi?
 
yes, siku hizi lazima uwe na majina matatu. Ni kuwa shuleni enzi hizo kabla ya mifumo majina mawili ndiyo ilikuwa kawaida. Siku hizi wanahitaji majina matatu.

Passport sina......
 
Back
Top Bottom