Wakuu mpo wazima hapa.
Binafsi nimeamua kuwapa elimu ya NO REFORMS NO ELECTION babu na bibi yangu pia wazazi na wajomba na mashangazi. Kwa wingi wa vijana wa kitanganyika na zanzibar tunao uwezo wa kuifikisha NO REFORMS NO ELECTION kila kona ya nchi yetu.
Tuna weza na tutawafikia wote...
Nina bachelor degree in Gender and Development, nataka kwenda Dubai kutafuta maisha.
Ila ndoto zangu nataka kwenda nchi za kiarabu kama njia ya kwenda ulaya...
Hasa scandinavian countries, Sasa naomba kujua vyeti vyangu nibebe au niachane navyo!!
Mana nasikia kule elimu yetu Haina Thamani...
Mimi ni mwalimu, juzi kati nikiwa nafundisha kuhusu topic ya Promoting Peace” wanafunzi walikuwa na maswali mengi sana.
Maswali yao yalikuwa ya kutaka kujua
1. kwa nini kuna nchi zipo vitani
2. kwa nini vita hutokea
3. Na ni namna gani vita uanza
Mfumo wa ufundishaji wangu ni wa kuwafanya...
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anashutumu hatua za Israel huko Gaza kuwa "haziwezi kuvumilika" na kutishia vikwazo zaidi, huku akipuuza ugaidi wa Hamas na mgogoro unaoendelea wa mateka.
Starmer anapongeza kusimamisha mazungumzo ya FTA na kuwawekea vikwazo walowezi wa Israel, huku akitoa...
Swali nililouliza;
"Tanzania tuna maeneo ya makumbusho kama bagamoyo na kilwa ila tayari maeneo hayo yenye majengo ya kale yalisha kuwa over polluted na usasa mwingi na watu wengi. Ni vipi maeneo ya kale kama bagamoyo iliyoaribiwa na usasa inaweza kutengeneza filamu Kali ya kihistoria kama...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, SACP Richard T. Mchomvu, ametoa tamko rasmi kufuatia kusambaa kwa picha mjongeo kwenye mitandao ya kijamii zinazoonyesha kundi la vijana wakimvamia na kumshambulia mwananchi kwa kutumia silaha.
Jeshi la Polisi limewashikilia Vijana 8 kwa tuhuma za...
Habari za Asubuhi!
Kule Kwetu Kilimanjaro, Moja ya Mambo muhimu wananchi wanayazingatia kumpa Mtu Ubunge ni Elimu yake.
Unajua Kilimanjaro mtu anaheshimiwa kwa mambo makuu yafuatayo;
1. Pesa
2. Elimu
3. Familia.
Wananchi wa Kilimanjaro hata wale wajinga kabisa ambao hawakusoma hata darasa...
Kampuni ya Google kupitia program yao ya Google play store imefanikiwa kuzindua feature mpya inayotumia muundo wa akili bandia (AI),
kwa kuweza kumruhusu mtumiaji wa play store kuweza kuuliza app wanayotaka kuipakua ikoje kama hajaamua kuwa nayo kwenye simu yake.
Feature hii inatumia...
Mh Luaga Mpina , Tangu Enzi na Enzi wewe ni MTU Haki, unaijua Haki na Kusimamia Haki.
Haijawahi kutokea ulimi wako ukafurahia Maovu !!.
Kama ambavyo Vyeo huja na Kupita, Ndivo ambavyo unatakiwa Ulichukue Hilo yaaani Uwe tayari kupoteza Ubunge.!!.
Sasa Uchaguzi ni Mmoja tu, Ukawa Kimya bado...
Kuna wimbi kubwa la wamama wanakuja mjini kuomba wakiwa na nguvu zao wala si wahitaji kwa maana wana uwezo kufanya kazi haya maeneo niliyotaja wamefanya kama vijiwe vyao yaaani wanasumbua sana Wageni na sio tu kuomba wanapora kabisa wanakuwa na watoto wadogo yaaninwamama wazima wana maisha yao...
📆 Mei 29, 2025 Jioni...
Nilikuwa nimetulia chumbani kwangu Huku niki-scroll Tu Instagram — boom! Nikakutana na post Kumuhusu:
"John D. Rockefeller Yenye mkusanyiko Wa barua 38 kwa mwanae kuhusu mafanikio. Hizi barua Niliandikwa Kwa sentence fupi fupi Tu
Sikupoteza muda... Nikaamua...
MALALAMIKO KUHUSU UKAMATAJI WA WAFANYABIASHARA NA TOZO ZISIZOFUATA TARATIBU – MKATA, WILAYA YA HANDENI
Mdau wa Maendeleo na Mwana Jamii:
Napenda kuwasilisha kwa umma na mamlaka husika kilio cha Wananchi wa Mkata, Wilaya ya Handeni, kufuatia tukio la tarehe 28 Mei 2025 ambapo Wafanyabiashara...
Anonymous
Thread
handeni
kuhusu
malalamiko
taratibu
tozo
wafanyabiashara
wilaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.