Mimi ni mwanachama halali kabisa wa ccm,niliomba kubadilishiwa kadi yangu iwe katika mfumo mpya.
Mwezi july walinitumia ujumbe kuwa kadi yangu iko tayari,wakaniambia niende na kadi zangu za nida na inec.ingawa bado sijaenda kuichukua ila niliwaza mara mbilimbili hizo kadi zangu wanazitaka za...
Habari za alfajiri hii wana Jf!! Kwanza nipende kupongeza uwepo wa jukwaa hili la hoja mchanganyiko
Niende moja kwa moja kwenye mada, Mimi ni mtumishi wa umma idara ya elimu nimejikuta katika mkwamo mkubwa mno na hii ni baada ya kuhamishwa kituo cha awali miezi kadhaa nyuma kwa ukatili mkubwa...
Nadhani Watanzania tumekuwa wazembe sana kuhoji vitu muhimu. Tunashindwa kuhoji hasa kuhusu akina Bashungwa, Bashe na wengine kuendelea na majukumu ya Uaziri na huku Bunge limevunjwa. Sheria inasemaje nafasi ya Uaziri pindi Bunge linapovunjwa.
LICHUKUENI SUALA HILI KI OFFICIAL ZAIDI ,NI SUALA ZITO, SIO SUALA LA KUISHIA MITANDAONI , CHADEMA BADILIKENI.
CHADEMA kuweni Serious , na muache kufanya kazi kupitia Mitandao tu!!
Suala la Polepole kuhusu Mifumo ni suala Zito na Kubwa linalogusa USALAMA WA NCHI MOJA KWA MOJA.
Mh Polepole...
Kumekuwa na malalamiko ya ana kwa ana na ya mitandao ya jamii kuhusu warundi wakidai kuwa Kigoma ni ardhi ya Burundi.
Wengi wao wanaenda mbali kabisa wakisema ipo siku watapambana kuirejesha Kigoma yao, wakidai kuwa Tanzania inawanyanyasa sana warundi wakiingia nchini.
Je kuna ukweli gani...
Ni jambo jema kutumia nishati isiyochafua mazingira na kuumiza watumiaji. Tatizo la wanasiasa wetu kila wanachokipigia debe nyuma yake wanasukumwa na faida binafsi.
Watu wanahoji yafuatayo:
1. Kwanini nishati safi suala la matumizi ya gesi linasisitizwa zaidi huku umeme ukiachwa?
2. Kwanini...
Sabato Njema!
Najua Watanzania wengi hawapendi ukweli na hili likiwa mojawapo.
Kabla hujawatetea Watanzania ni vizuri kuwajua vizuri kuwa ni watu wa aina gani. Kisaikolojia, kitamaduni, na kisosholojia;
1. Watanzania wengi ni wanafiki.
Sio wakweli. Waongo waongo. Rahisi kukugeuka na...
Hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa tete huku watu wengi zaidi wakiendelea kukosa imani na mchakato wa uchaguzi kila kukicha. Kiufupi Polepole ambaye ni kada wa ndani wa CCM emeendelea kuwafungua macho watanzania huku shauku ya kumsikiliza ikizidi kukua kila pahali.
Komredi Polepole...
Binafsi nilijua naenda kusikiliza vitu vizito kutoka kwa Polepole. Jina lilikuwa kubwa sana kwamba ni siku inayokwenda kushangaza watu. Watu wakaunda nadharia ya vitu ambavyo viko likely kusikika muda umefika tukapata kitu gani?
Kwanza tukawekwa zaidi ya lisaa na kutoa trafik kwa youtube mmoja...
Baada ya kuanika huu uovu ambao mwenyewe umekiri kuhusika kuuandaa ingawa ulisema uliandaliwa kwa malengo mazuri tofauti na sasa, elewa utashambuliwa sana mitandaoni na pia itatumika propaganda kubwa kutaka kuaminisha watu kuwa ulichoongea hakiwezekani na ni uongo ingawa hawatakubali uchunguzi...
Ethiopia imepiga marufuku watu wasiosomea udaktari kuitwa au kujiita madaktari ima kwa sababu ya udaktari wa. heshima kama ule wa Jakaya Kikwete na Samia au wa kununa kama ule wa Gwajima na Msukuma. Nasi, kama taifa lenye watu wanaoona mbele hata kama tupo wachache, tupige marufuku ukilaza huu...
Kama ana uchungu na Tz, ni nini kinamzuia kuongea hapo hapo??.....ni anataka kuogopewa ili kupata maslahi yake binafsi??
Nyie wa tz kina Mshana Jr, mbona akili zenu ndogo sana, yaani mnategemea mtu ambaye anawapa Dola mda wa maamuzi, maamuzi yapi sasa wajinga nyie?? huoni kama anataka atimiziwe...
Wakuu,
Huyu hapa ya Kamanda Muliro alipoulizwa kuhusu hizi slogan mbili ya No Reforms No Election pamoja na ile ya Oktoba Tunatiki
Hapa Muliro amesema kwamba ya Oktoba Tunatiki inafuata sheria maana kupiga kura ni jambo ambalo lipo kwenye katibas meanwhile hii ya No Reforms No Election...
Kuna jambo nimeona kwenye kutumia huduma za fedha mtandao (Yas, kwa case yangu) likanitatiza. Wakati nikifanya malipo ya serikali kutumia app yao, sikuwa na namna ya kuingiza senti kuendana na nilichokua nalipia. Badala yake, mfumo ukafanya ukadiriaji wa juu (rounding up) na kunilazimu kulipia...
FAHAMU ZAIDI:
Corrugated / Migongo Midogo rangi ya carrot ni nzuri sana hustahimili hali zote za hewa mvua na jua kwa ubora uleule huzalishwq kwa Geji30 ambazo zinakaa 16pcs kwa kila bando na Geji28 zinakaa 12pcs kwa kila bando
kwa kila bando na Geji28 zinakaa 12pcs kwa kila bando
FAHAMU...
Kuna watu wanapenda kufuatilia maisha ya watu ambapo hutoweza kuwaepuka lazima ukutane nao tu. Watu hawa lazima kuna kitu wakiongea unahisi wanakukera.
Kuna mambo kadhaa k.v
1.Wewe ni mweusi,
2.wewe ni handsome kumbe kuchoranatu
3Umeoa? au utaoa lini umri umeenda
4.Umeolewa? Utaolewa lini...
Nilipata maumivu ya jino yaliyopelekea sikio kuuma na kufika baadae nikapata kama presha katika sikio, ile hali kama kuna kitu sikioni au maji hivi.
Ni siku mbili sasa jino limepona kelele zimepungua ila ear fullness ,bado ipo
Dawa za matone zimedoda, kuna njia yoyote ya huduma ya kwanza...
Kwenye link hii ya YouTube Jaji Warioba aliwaambia akina Lissu na CHADEMA kuwa madai yao kuhusu kuhusu kurekebisha mapungufu kwenye sheria/ Tume ya uchaguzi ni HALALI kabisa. Lakini aliwaqmbia kuwa HIWEZEKANI kuahirisha uchaguzi
https://youtu.be/E2J9Cx7Nt0U?si=8ZRqGpGkAbA9pr1Q
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.