Mrejesho kuhusu gari la kuanzia maisha

Mrejesho kuhusu gari la kuanzia maisha

Youbettersleep

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2019
Posts
955
Reaction score
1,671
Asanteni sana wadau wa jukwaa hili, jana niliomba ushauri kuhusu gari la kuanzia maisha dogo dogo aina ya Toyota.

Kuna mdau alinipa option zaidi ya 5 kuhusu gari hizi
IST
ALLEX
RUNX
PREMIO
PASSO

Nilipenda jinsi RUNX na ALLEX zilivyo na muundo mzuri na kapo safi, baada ya kutoka kanisani nilipita showroom mliman pale kucheki ABCD nikapata RUNX used kwa bei nzuri sana. Baada ya kuikagua kila kona na kuridhia nimeamua kuinunua na bahati nzuri bei yake haijazidi juu ya bajeti yangu. Services watafanya wao Offer nimelipa Nusu na kesho namalizia

ASANTENI SANA WAKUU, NIKIPATA CHANGAMOTO JUKWAA HILI NITALITUMIA KUOMBA USHAURI.
 
Back
Top Bottom