Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,561
- 22,876
Niache blah blah nyingi twende moja kwa moja kwenye swali langu la msingi.
Katika kiswahili kuna maneno au viambishi ambavyo vinaashiria kukubali au kukanusha unachodhamiria kusema.
Sasa katika salamu ya Hujambo tumezoea kuitikia Sijambo, ambayo ni kukanusha.
Mwenye ufafanuzi wa hii salamu anisaidie.
Salamu nyingine ni Shikamoo, ina maana gani hasa, maana kuna mama mmoja nilimsalimia (anapendelea salamu ya kikabila) akakataa kuitikia akanijibu "shikamoo na wewe nishikemo wapi kuwa na adabu"
Hii shikamoo maana yake nini na marhaba maana yake nini, wengi tumeikuta na tunasalimia lakini hatuelewi maana yake.