passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,779
- 13,005
Ukweli ni kwamba CCM/Samia hayamtaki Heche awe kwenye nafasi yake kwa sababu ya misimamo yake ya kutokutaka maridhiano feki.
Ukweli ni kwamba CCM au regime hii ovu hawatafanikiwa kwa sababu baada ya kufanya yale mauaji na kufanya uhuni kama utekaji,ulawiti,ufisadi Regime hii imelaaniwa kwa hiyo hizi jitihada zote ovu hazitafanikiwa bali ni kuharakisha kusambaratika kwa hii Regime.
Lakini bado nafasi ipo kwa huu utawala wa kuomba msamaha kwa watanzania na kukiri kutokurudia matukio haya ya kihuni.