TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,742
- 4,146
Hiki kikundi cha wahuni kinachojiita Serikali kumetoa tamko kuhusu mfululizo wa makala kupitia kipindi cha AFRICA EYE DOCUMENTARIES,wanalalamika kwamba BBC haizingatii weledi.
Ukiangalia na kufuatilia kwa umakini utagundua namna gani sehemu nyeti zinaongozwa na matakataka ambao wanajina maarufu chawa,ukifikia hatua yakuandaliwa documentary kupitia "AFRICA EYE" Ujue umeshatoboka kila kona,kipindi hiki mpaka kirushe makala huwa uchunguzi wa kina umefanyika na kuthibitishwa pasipo shaka,hata hivyo mashuala yaliyozungumziwa katika makala hii sio yakufanya uchunguzi deep kiasi hicho yapo wazi kila kona,waliohojiwa wamenogesha tu makala.
Kikunde cha wahuni badala yakuchukua hatua za kidiplomasia wanapiga kelele kuhusu BBC,wakifikiri BBC ni TBC,walifanya hivyo kwa CNN iliporusha mauaji ya oktoba 29.,wanarudia yaleyale na ni mtu yuleyule.
Mmesha chafuka,naweza kusema mmejiharishia na hakuna maji yakutosha kujisafisha katika safari ndefu na hamna njia mbadala ya kupunguza ama kumaliza harufu hiyo,kaeni mkao mzuri,CNN wanakuja na part two ya mauaji ya oktoba 29 na baada ya hapo wakionesha makaburi ya alaiki na miili mliyotuma mto Ruvu,Rufiji na zile sehemu mlizofukia na kwenda kuchoma.
Bichwa maji lenu limesikika likisema matamko ya Umoja wa madola yanaiweka kikundi chake katika wakati mgumu.