Huku Haji Manara ukiendelea Kubwabwaja Wasafi FM kuhusu Sakata la Kocha Gomez, hatimaye mwana Yanga Maulid Kitenge amemgeuka

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Huku akiwa kaomba Interview na Wasafi FM katika Kipindi cha Michezo cha Sports Arena ili aizungumzie Yanga SC yake Haji Manara umejikuta unatumia muda mwingi Kuiongelea Simba SC isiyomhusu badala ya Yanga SC yake.

Wakati akiendelea Kubwabwaja kutokana na Uwendawazimu unaomsumbua huku akiwa hana hata details zozote za uhakika Msukule Haji Manara umejikuta ukiumbuliwa kutokana na Sakata la Kocha Gomez wa Simba SC na safari hi tena na mwana Yanga SC Mwenzake Mtangazaji Maulid Kitenge.

Haji Manara ukiendelea Kuikashifu Simba SC na Kocha Gomez kuhusiana na Sakata zima hatimaye Mtangazaji mwana Yanga SC Maulid Kitenge akizungumza katika EFM Sports Headquarters Program amesema kuwa Kocha Gomez ameshamaliza Kusoma hiyo Kozi inayotakuwa kupitia Online na kinachosubiriwa tu sasa ni kwa CAF Kuithibitisha rasmi na kumpa Leseni yake muda wowote kuanzia sasa.

Wasafi FM hasa kupitia Watangazaji wana Yanga SC lia lia Yusuph Mkule na Paul Mkai na Mchambuzi Mnafiki na mwana Yanga SC Edward (Edo) Kumwembe hongereni kwa leo Kumfurahia Msukule Haji Manara akiwa anaichafua na Kuidhalilisha Simba SC huku nyie mkiwa mnafurahia na mkimchajisha (mkimjaza upepo) mkidhani ndiyo yatakuwa mafanikio ya Yanga SC.
 
Ila nimegundua Tanzania hatuna waandishi wa habari wenye weledi wengi ni makanjanja yaani sijawahi sikilza habari za wasafi Leo hapa niko kwenye gari ndo naskia kiukweli hawa waandishi wapimwe mkojo tuu!Aibu tupu bora diva anaetangaza mapenzi!

Haji anatumia nguvu kubwa ili Yanga wamuamini mpk namuonea huruma kwa kweli hana amani kabisa anahisi akikaa kimya Watu wa Yanga watamzodoa anaongea kupitiliza.Ikitokea Yanga wakakosa ubingwa ana hali mbaya aseehh!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Usichukulie kila kitu serious Mightier.

HAJI MANARA hapo alikua anafurahisha genge.

Ila huyu jamaa saa nyingine anakeraa aisee..
Haji wa Simba na HAJI WA YANGA NI WATU WAWILI TOFAUTI
Wa sasa ni mnaafiki hakuna anachokera zaidi ya kujidhalilisha sana...!!
Mkewe atumie uanamke wake kumstopisha hata km njaaa amuambie apunguze ujinga yaani namuona km kavurugwa vile!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Huku akiwa kaomba Interview na Wasafi FM katika Kipindi cha Michezo cha Sports Arena ili aizungumzie Yanga SC yake Msukule Haji Manara umejikuta unatumia muda mwingi Kuiongelea Simba SC isiyomhusu badala ya Yanga SC yake.

Wakati akiendelea Kubwabwaja kutokana na Uwendawazimu unaomsumbua huku akiwa hana hata details zozote za uhakika Msukule Haji Manara umejikuta ukiumbuliwa kutokana na Sakata la Kocha Gomez wa Simba SC na safari hi tena na mwana Yanga SC Mwenzake Mtangazaji Maulid Kitenge.

Msukule ( Haji Manara ) ukiendelea Kuikashifu Simba SC na Kocha Gomez kuhusiana na Sakata zima hatimaye Mtangazaji mwana Yanga SC Maulid Kitenge akizungumza katika EFM Sports Headquarters Program amesema kuwa Kocha Gomez ameshamaliza Kusoma hiyo Kozi inayotakuwa kupitia Online na kinachosubiriwa tu sasa ni kwa CAF Kuithibitisha rasmi na kumpa Leseni yake muda wowote kuanzia sasa.

Wasafi FM hasa kupitia Watangazaji wana Yanga SC lia lia Yusuph Mkule na Paul Mkai na Mchambuzi Mnafiki na mwana Yanga SC Edward ( Edo ) Kumwembe hongereni kwa leo Kumfurahia Msukule Haji Manara akiwa anaichafua na Kuidhalilisha Simba SC huku nyie mkiwa mnafurahia na mkimchajisha ( mkimjaza upepo ) mkidhani ndiyo yatakuwa mafanikio ya Yanga SC.
Hakika Haji Manara ni kama amechanganyikiwa, anatia huruma, kiufupi niupongeze uongozi wa Simba kupitia Madam Babra kwa kumfurusha, anatumia nguvu kubwa kuwaaminisha wana Yanga kuwa wako wote lakini kwa wenye uelewa mkubwa wanamchora anavyobwabwaja hakika ni swala la muda tu ndugu yetu huyu hana mda wanajangwani watamfurusha mana hawana uvumilivu kama simba. Jamaa haaminiki tena kashajipaka Kinyesi mwili mzima, mchumia tumbo, lopolopo,tapeli, anguko lake lijirani kabisa.
 
Haji Manara wa Yanga anapambana na Haji manara wa Simba.
Huku akiwa kaomba Interview na Wasafi FM katika Kipindi cha Michezo cha Sports Arena ili aizungumzie Yanga SC yake Msukule Haji Manara umejikuta unatumia muda mwingi Kuiongelea Simba SC isiyomhusu badala ya Yanga SC yake.

Wakati akiendelea Kubwabwaja kutokana na Uwendawazimu unaomsumbua huku akiwa hana hata details zozote za uhakika Msukule Haji Manara umejikuta ukiumbuliwa kutokana na Sakata la Kocha Gomez wa Simba SC na safari hi tena na mwana Yanga SC Mwenzake Mtangazaji Maulid Kitenge.

Msukule ( Haji Manara ) ukiendelea Kuikashifu Simba SC na Kocha Gomez kuhusiana na Sakata zima hatimaye Mtangazaji mwana Yanga SC Maulid Kitenge akizungumza katika EFM Sports Headquarters Program amesema kuwa Kocha Gomez ameshamaliza Kusoma hiyo Kozi inayotakuwa kupitia Online na kinachosubiriwa tu sasa ni kwa CAF Kuithibitisha rasmi na kumpa Leseni yake muda wowote kuanzia sasa.

Wasafi FM hasa kupitia Watangazaji wana Yanga SC lia lia Yusuph Mkule na Paul Mkai na Mchambuzi Mnafiki na mwana Yanga SC Edward ( Edo ) Kumwembe hongereni kwa leo Kumfurahia Msukule Haji Manara akiwa anaichafua na Kuidhalilisha Simba SC huku nyie mkiwa mnafurahia na mkimchajisha ( mkimjaza upepo ) mkidhani ndiyo yatakuwa mafanikio ya Yanga SC.
 
Huku akiwa kaomba Interview na Wasafi FM katika Kipindi cha Michezo cha Sports Arena ili aizungumzie Yanga SC yake Msukule Haji Manara umejikuta unatumia muda mwingi Kuiongelea Simba SC isiyomhusu badala ya Yanga SC yake.

Wakati akiendelea Kubwabwaja kutokana na Uwendawazimu unaomsumbua huku akiwa hana hata details zozote za uhakika Msukule Haji Manara umejikuta ukiumbuliwa kutokana na Sakata la Kocha Gomez wa Simba SC na safari hi tena na mwana Yanga SC Mwenzake Mtangazaji Maulid Kitenge.

Msukule ( Haji Manara ) ukiendelea Kuikashifu Simba SC na Kocha Gomez kuhusiana na Sakata zima hatimaye Mtangazaji mwana Yanga SC Maulid Kitenge akizungumza katika EFM Sports Headquarters Program amesema kuwa Kocha Gomez ameshamaliza Kusoma hiyo Kozi inayotakuwa kupitia Online na kinachosubiriwa tu sasa ni kwa CAF Kuithibitisha rasmi na kumpa Leseni yake muda wowote kuanzia sasa.

Wasafi FM hasa kupitia Watangazaji wana Yanga SC lia lia Yusuph Mkule na Paul Mkai na Mchambuzi Mnafiki na mwana Yanga SC Edward ( Edo ) Kumwembe hongereni kwa leo Kumfurahia Msukule Haji Manara akiwa anaichafua na Kuidhalilisha Simba SC huku nyie mkiwa mnafurahia na mkimchajisha ( mkimjaza upepo ) mkidhani ndiyo yatakuwa mafanikio ya Yanga SC.
Sikia da rosa hajamaliza kusoma ila anaendelea kusoma ndio maana simba wameamua kumchukya kocha wa mtibwa hitimana kwa muda,na kwa sasa hitimana kishaonfoka mtibwa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Haji endelea kupiga spana, wakati Haji ni msemaji wa Simba alikua aki ikashfu Yanga mlikua mna shangilia, anachofanya Haji kwa Sasa niyaleyale aliyokua akiyafanya akiwa Simba.
Yanga wamevumilia kwa miaka minne nyie ata wiki tatu bado mmeanza kulalamika subirini ipite miaka mi nne au mitano ili mjue mashabiki na uongozi wa Yanga walikua unavumilia kashfa kwa kiasigani.

Mimi nasema Haji endelea kupiga spana tena usiongeze dozi , tumia dozi Ile Ile uliyo wachoma Yanga ili tujue uvumilivu wa Simba.
 
Huku akiwa kaomba Interview na Wasafi FM katika Kipindi cha Michezo cha Sports Arena ili aizungumzie Yanga SC yake Msukule Haji Manara umejikuta unatumia muda mwingi Kuiongelea Simba SC isiyomhusu badala ya Yanga SC yake.

Wakati akiendelea Kubwabwaja kutokana na Uwendawazimu unaomsumbua huku akiwa hana hata details zozote za uhakika Msukule Haji Manara umejikuta ukiumbuliwa kutokana na Sakata la Kocha Gomez wa Simba SC na safari hi tena na mwana Yanga SC Mwenzake Mtangazaji Maulid Kitenge.

Msukule ( Haji Manara ) ukiendelea Kuikashifu Simba SC na Kocha Gomez kuhusiana na Sakata zima hatimaye Mtangazaji mwana Yanga SC Maulid Kitenge akizungumza katika EFM Sports Headquarters Program amesema kuwa Kocha Gomez ameshamaliza Kusoma hiyo Kozi inayotakuwa kupitia Online na kinachosubiriwa tu sasa ni kwa CAF Kuithibitisha rasmi na kumpa Leseni yake muda wowote kuanzia sasa.

Wasafi FM hasa kupitia Watangazaji wana Yanga SC lia lia Yusuph Mkule na Paul Mkai na Mchambuzi Mnafiki na mwana Yanga SC Edward ( Edo ) Kumwembe hongereni kwa leo Kumfurahia Msukule Haji Manara akiwa anaichafua na Kuidhalilisha Simba SC huku nyie mkiwa mnafurahia na mkimchajisha ( mkimjaza upepo ) mkidhani ndiyo yatakuwa mafanikio ya Yanga SC.
Duuuh
 
Hahahahah
hawa watangazaji wa wasafi lazima watakuwa wanafadhiliwa na tajiri yake haji. sio wasafi ile tuliyokuwa tunapenda kusikiliza michezo sasahivi ni kimekuwa kijiwe cha umbea. kijiwe cha kumsafisha manara.
 
Back
Top Bottom