Tafadhali: Mwenye habari kamili kuhusu kuuawa kwa mwalimu huko Kinyerezi Dsm, mtaa wa Kifuru- Msitu wa Nyuki.

Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
10,407
2,000
Mwenye nyumba alivamia kiwanja cha huyo mwalimu. Kesi ikaenda mahakamani. Mwenyenyumba akashindwa. Ikaamuliwa nyumba ibomolewe. Akamwomba mwalimu amuuzie. Mwalimu akakataa.
Risasi zikafuatia baadae.
Sasa nae huyo mwalimu mtu ameshajenga hadi nyumba why asingekaa nae chini wayajenge?!

Maana unaweza taka mtu abomoe nyumba ambayo kajenga kwa shida then wewe ukapata eneo lako then yule mtu inakuwaje, pengine ametapeliwa?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zeus1

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
5,176

Kuna awatu wajeuri,unaweza kukuta mnunuaji alijua kabisa eneo ni la watu,

Ila akatumia ubavu tu kuforce kuona ana connection au pesa akajenga.

Kuna watu wanazingua acha tu.
 
Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
10,407
2,000
Kuna awatu wajeuri,unaweza kukuta mnunuaji alijua kabisa eneo ni la watu,

Ila akatumia ubavu tu kuforce kuona ana connection au pesa akajenga.

Kuna watu wanazingua acha tu.
Ni kweli kabisa. Ila kwa namna ilipofikia ingebidi waende taratibu maana huyu aliyefanya mauwaji kwa haraka naweza hisi alipatwa na ukichaa wa kupoteza mali. Nyumba haihamishiki. Ni mawili, amlipe hela mwenye kiwanja tena bei atakayotaka yeye mwenye kiwanja na sio anayopanga huyo mvamizi.

Ama sivyo basi ampishe kwenye nyumba kisha yeye alipwe kwa makubaliano na huyo mwenye kiwanja kama ataikubali hiyo nyumba na kuridhia kuimiliki.Mwenye taarifa zaidi hebu atujuze tufahamu kilichojiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
25,093
2,000
Mwenye nyumba alivamia kiwanja cha huyo mwalimu. Kesi ikaenda mahakamani. Mwenyenyumba akashindwa. Ikaamuliwa nyumba ibomolewe. Akamwomba mwalimu amuuzie. Mwalimu akakataa.
Risasi zikafuatia baadae.
ticha naye bana aaaaah.

sasa mtu anataka akupe hela unaleta gubu la nini??
 
kina kirefu

JF-Expert Member
Dec 14, 2018
4,421
2,000
Sasa nae huyo mwalimu mtu ameshajenga hadi nyumba why asingekaa nae chini wayajenge?!

Maana unaweza taka mtu abomoe nyumba ambayo kajenga kwa shida then wewe ukapata eneo lako then yule mtu inakuwaje, pengine ametapeliwa?!

Sent using Jamii Forums mobile app
hivi uko serious au unaongea utani nakuheshimugi sana

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
5,619
2,000
ticha naye bana aaaaah.

sasa mtu anataka akupe hela unaleta gubu la nini??
Mkuu Acha kurahisisha,Hawa watu wanakela,I have the same story,Kuna baba mdogo alikabidhiwa nyumba ya baba ambayo Ina ofa ya hati miliki, kwa kumdharau baba eti Ni mlevi akakatalia pale home maana baba alikuwa mtumishi sehemu tofauti na pale ilipo nyumba na jamaa ameishi Sana pale Hadi akawa Kama mmiliki,sasa ilipofika muda wa kumuondoa ikawa ngumu,jamaa amejenga na kuboresha Sana pale nyumbani.

Tumemfuata Mara nyingi Sana kuwa ahame pale hataki anatuambia twende mahakamani,kitu alichojichanga mzee alimkabidhi ofa ya kiwanja,sasa ikawa ngumu kupata pa kuanza,tukichokifanya tulienda ofisi za ardhi kufuatilia tukakuta bado kiwanja kinasoma jina la mzee hivyo ikabidi tuingie gharama ya kupata hati miliki maana kiwanja kilikuwa na hati ya ofa tu.Baada ya kuipata tukamfuata jamaa akakataa,kilichofuata Ni kwenda Baraza la ardhi la wilaya kufungua kesi ya kumfukuza,jamaa katika utetezi wake kaleta hati ya kufoji yenye jina lake,Hadi sasa kesi bado inaendelea,hebu niambie kesi ikiisha utakubali kufanya maelewano na mtu Kama huyu?

Kiutu baba hakuwa na shida,alikuwa tayari kumfikiria huyu baba mdogo japo kiasi kidogo Cha fedha ili kufidia gharama zake .

Walimwengu wabaya Sana mkuu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom