Mbagala stendi
JF-Expert Member
- Nov 8, 2020
- 289
- 266
Assalamualaikum.
Natumaini wote ni wazima wa afya.
Leo napenda niongelee swala moja linalo litikisa dunia na ulimwengu kiujumla katika pitapita zangu za kuongeza maarifa nikavutiwa na hii mada.
Bila kupoteza muda twende moja kwa moja katika dhima yetu.
Nanotechnology hi ni technolojia ngeni katika nchi masikini na zile zinazoendelea.
Kwa wale waliobahatika kupita katika chuo kikuu cha dodoma UDOM faculty ya natural science wapo wale wanaosoma bachelor of science in physics baadae unaweza uka specialize to nano-technology as specialist studies.
Katika nano technology kuna field study mbalimbali Kama vile nano medicine it's so fantastic field study ever seen hapa utaweza kujua mambo mengi kuhusu researchs mbalimbali.
Kwa hapa bongo bado haya mambo ya nano medicine hayajaanza kufundishwa katika vyuo vyetu utakuja kugundua kuwa hata hizi chanjo (protein particles and lab chip) tunazozitumia pia hata usambaaji wa nano particles Kama vile usambaaji wa virus lab made katika miili ya binadamu.
Katika nchi zilizoendelea Kama vile marekani na nchi nyingine za ulaya madaktari wao baadhi ni lazima wawe na elimu hukusu nano medicine hasa wale specialist, mpaka saizi kuna vyuo takribani vitatu dunia nzima vinavyofundisha nano medicine.
Nano medicine hi ni haina ya medical practice that use more technology than human ability.